19/02/2024
*SABABU KUU ZA MAUMIVU YA MIFUPA, MGONGO, KIUNO, MAGOTI, SHINGO, MIGUU KUVIMBA NA KUWAKA MOTO.*
0754568335
Sababu zipo nyingi lakini hizi ni sababu kuu 👇👇;
*1.Kuwa na infection (mashambulizi ya bakteria na virusi) kwa mfano virusi vya influenza, hepatitis.*
*2. Kuwa na uzito mkubwa kwa sababu ya mafuta mengi mwilini.* Watu wenye uzito mkubwa husababisha kuwa na uvimbe kwenye viungio kitaalamu hutambulika k**a inflamation.
*3.Mfumo wa kinga mwilini (autoimmune diseases) kushambulia maeneo ya viungo na kupelekea inflamation ama kuuwa seli.*
*4.Kukusanyika kwa asidi ya uric kwenye viungo (uric acid) mara nyingi hii huathiri miguu na utahisi k**a miguu inawaka moto.* Kutokunywa maji kwa wingi kunaweza kuwa moja ya sababu ya hambo hili.
*5. Watu wengine walio hatarini ni wenye kunywa pombe, wenye maradhi ya Figo, wenye shinikizo la juu la damu (presha ya kupanda), marahi ya ini kisukari na shida kwenye tezi ya thyroid.
4.Ongezeko kubwa la uriki acidi Mwilini.
5.Kulainika na kuvunjika kwa mfupa laini (cartilage) kwenye magoti.*
6.Upungufu wa *kilainisho cha maungio (synovial fluid)* maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo.
7.Ugonjwa huu husababishwa na kuharibika kwa gegedu. *Kuvimba kwa viungo kunaweza kusababishwa na mfumo wa kinga kushambulia tishu za mwili kimakosa na kuziharibu hasa uti wa mgongo.*
10. Kuwa na majeraha.
11.Kufanya kazi ngumu kwa muda mrefu
12.Kukosa muda WA mazoezi ama kukaa Sana Kwa muda mrefu (siku nyingi).*
13.Kumung’unyika na kuvunjika kwa mifupa kutokana na ugonjwa unaojulikana k**a osteoporosis.*
14.Udhaifu wa mifupa na matege kwa sababu ya ukosefu wa madini muhimu kwenye mifupa. *Madini k**a vile Zinc, Calcium, Manganese, Magnesium, Phosphorus