Bertha na AFYA

Bertha na AFYA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bertha na AFYA, Medical and health, Daresalaam, Dar es Salaam.

03/11/2021

Tiba ya bawasiri kwa kutumia mitishamba asilia
(0625913515)

JE, UNAJUA BAWASIRI NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe
# # # *CHANZO CHA TATIZO*
~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni Ă·
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CHOO KIGUMU)
👉MATATIZO YA UMRI
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU

# # # DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

*MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI*
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume.
👉kuathirika kisaikolojia
👉kukosa morali ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
👉Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya UTUMBOCANCER) kwa sababu kile kinyama kinakaa K**a kidonda.,,

(TUMIA KIRUTUBISHO CHA ASILI KINACHOSAIDIA KUPAMBANA NA BAWASIRI,
IMETENGENEZWA KWA VIAMBATA VYA ASILI AMBAVYO NI JAMII YA MALIMAO NA MACHUNGWA (CITRUS FRUITS)
INAONDOA PRESHA KUBWA KWENYE MISHIPA YA DAMU YA SEHEMU YA HAJA KUBWA
PIA UTATUMIA NA VIRUTUBISHO KWA AJILI YA KUREKEBISHA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA.
HUONDOA MAUMIVU MAKALI NDANI YA MUDA MFUPI SANA,
HUKATA DAMU INAYOTOKA HARAKA,
HUREKEBISHA MMENG'ENYO WA CHAKULA.

HAINA KEMIKALI IMETHIBITISHWA NA MAMLAKA HUSIKA.

(0625913515) kupata huduma

Share na wengine Tiba ya bawasiri kwa kutumia mitishamba asilia pia like page yetu,,, pia tazama video hii hapa chini kwa maelekezo zaidi

01/09/2020

TUMIA VIRUTUBISHO VYA ASILI KUPAMBANA NA TATIZO LA KUOTA KINYAMA KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA

JE, UNAJUA BAWASIRI NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe
# # # *CHANZO CHA TATIZO*
~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni Ă·
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CHOO KIGUMU)
👉MATATIZO YA UMRI
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU

# # # DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

*MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI*
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume.
👉kuathirika kisaikolojia
👉kukosa morali ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
👉Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya UTUMBOCANCER) kwa sababu kile kinyama kinakaa K**a kidonda.,,

(NOVEL DE PILE
NOVEL DE PILE NI KIRUTUBISHO CHA ASILI KINACHOSAIDIA KUPAMBANA NA BAWASIRI,
IMETENGENEZWA KWA VIAMBATA VYA ASILI AMBAVYO NI JAMII YA MALIMAO NA MACHUNGWA (CITRUS FRUITS)
INAONDOA PRESHA KUBWA KWENYE MISHIPA YA DAMU YA SEHEMU YA HAJA KUBWA
PIA UTATUMIA NA VIRUTUBISHO KWA AJILI YA KUREKEBISHA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA.
HUONDOA MAUMIVU MAKALI NDANI YA MUDA MFUPI SANA,
HUKATA DAMU INAYOTOKA HARAKA,
HUREKEBISHA MMENG'ENYO WA CHAKULA.

HAINA KEMIKALI IMETHIBITISHWA NA MAMLAKA HUSIKA.

Piga 0767750013 kupata huduma

Share na wengine pia like page yetu,,,

01/09/2020

FANGASI NA U.TI SUGU SASA BAAASI!!!
Je wewe ni mwanamke na unahangaika na matatizo yafuatayo
1:Fangasi sehemu za siri
2:U.T.I isiyoisha
3:Muwasho sehemu za siri
4:Kutokwa na uchafu sehemu za siri
5:HARUFU MBAYA
Hali hii inakera sana kwa wanawake wengi na wengi hawajui wafanye nini kutatua matatizo haya kwani njia nyingi zitumiwazo kutatua matatizo haya hazisaidii

Pole sana mwanamke leo nitakujuza kwa ninitatatizo haya hutokea na dawa take ya kujikinga ni nini?

-KWA NINI UKUAJI WA BACTERIA NA FANGASI USIOKUWA WA KAWAIDA???
Kawaida sehemu za siri za mwanamke(ukeni) kuna viumbe vinaishi(bacteria na fangasi)ambao hawana madhara na kazi yake kubwa ni kuulinda uke na bacteria na fangasi wenye madhara kwa hiyo huwa k**a askari

-Sasa ili hawa viumba(fangasi na bacteria wasiona madhara) waweze kuishi vyema wanahitaji mazingira rafiki ya kuishi k**a vile hewa ya kutosha ,joto kiasi n.k

-Sasa kutokana na matumizi ya pedi za nylon,uvaaji wa skinny jeans, kukaa sana kwenye viti kwa wanawake wa maofisini, kutokufanya mazoezi hawa bacteria walinzi hufa, hali hii husaidia bacteria wabaya kuzaliana kwa kasi sana sehemu za siri za mama(ukeni) hivyo mwanamke ataanza kuhisi hali ya kukera sehemu za siri, k**a muwasho

-Pia matumizi mabaya antibiotics huua hawa bacteria walinzi,

-Bacteria na fangasi walinzi wanapokufa uke wa mama unakosa mlinzi hivyo mama anapotumia public toilets(vyoo vya jumuia),anapofanya tendon la ndoa ni rahisi kuambukizwa bacteria na fangasi wabaya kwa sababu ukeni kwake hakuna.mlinzi tena.

TUMIA FEMICARE FEMININE CLEAN NJIA SALAMA YA KUJITIBU NA KUJIKINGA KABISAA
Hii ni lotion maalum ambayo mwanamke hutumia kujisafishia sehemu za siri(ukeni)
-Ni ya asili, haina madhara na hutumika maalumu kwa Ku safina sehemu za siri

1:FEMICARE inachokifanya huua bacteria wote wabaya na kutengeneza mazingira rafiki kwa bacteria walinzi kuishi
2:Huua fangasi wote wabaya
3:Hufanya uke use na uwezo binafsi wa kupambana na bacteria na fangasi wabaya huna haja ya kukimbia vyoo vya public
4:Huondoa harufu mbaya na uchafu shemu za sir za mwanamke
5:Femicare imetengenezwa na madini maalum,vitamini, protini hivyo huuponya uke na kuzitibu kura zake hivyo humrudisha mama kuwa msafi na mkavu pia humfanya awe k**a zamani.
PIGA NAMBAA 0767750013

01/09/2020

JINSI YA KUPAMBANA NA TATIZO LA TEZI DUME KUPITIA MITISHAMBA ASILIA.
0767750013
Tezi dume nini ..ni tezi inayopatikana kwa mwanaume tu.
Mtu anapofukisha miaka arobaini na kuendelea hiyo tezi huanza KUVIMBA ikiibana njia ya mkojo.
Hivyo pale unapokojoa mkojo hauishi Kwenye kibofu unabakia..

Hapo MTU huanza kupata dalili zifuatazo.👇
1.kukojoa Mara kwa Mara Hasa nyakati za usiku.Mara Tatu au Zaidi

2.unapobanwa kukojoa huwezi kusubiri unatamani kukojoa papo hapo.

3.ukikojoa mkojo hauruki mbele unatoka kwa kasi ndogo sio k**a zamani

4.unatumia muda mrefu k**aliza mchakato wa kukojoa.

5.unapata ugumu kuanza mchakato wa kusukuma mkojo pindi unapokwenda haja ndogo

6.baada ya kumaliza kukojoa unajisikia tena hamu ya kukojoa tena unajihisi mkojo bado Upo Kwenye kibofu.

7..unapomaliza kukojoa mkojo unatoka kisirisiri na kolowanisha nguo ya Ndani .unajishangaa umelowana.

UKIONA UNA HIZO DALILI BASI UJUE TEZI YAKO IMEANZA KUVIMBA TAYARI..Yaani unatatizo La tezi dume.Sasa KUNA SULUHUSHO..
PROSTATRELAX ni bidhaa ya asili inayosaidia watu wengi sana..haina kemikali, imetengenezwa kwa mtishamba asilia.
Tazama video hapo chini kwa maelezo Zaidi na piga 0767750013 kwa ushauri na matibabu

Address

Daresalaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bertha na AFYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram