Hatua Therapies and Consultancy

Hatua Therapies and Consultancy Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hatua Therapies and Consultancy, Psychotherapist, Ukonga Madafu Mtaa wa Shughuli nyumba namba 46, Dar es Salaam.

Hatua Therapies and Consultancy tunajikita kwenye huduma za kisaikolojia katika tabia za binadamu, malezi, makuzi, mahusiano na ufanisi kazini n.k

Huu ni ukurasa Maalumu wa kuonesha huduma zetu, kuelimisha umma na kushirikishana na wafuasi wetu.

Watoto wetu wakishiriki katika shughuli ya kufurahisha ya kuweka karatasi za rangi mbalimbali kwenye umbo la mbwa . Kupi...
24/04/2026

Watoto wetu wakishiriki katika shughuli ya kufurahisha ya kuweka karatasi za rangi mbalimbali kwenye umbo la mbwa . Kupitia mchezo huu rahisi, watoto wanajifunza kutambua rangi tofauti huku wakikuza umakini na ustadi wa kufikiri.
Ilikuwa ni jambo la kufurahisha kuona jinsi walivyokuwa makini na wenye shauku wakati wa kupanga rangi zao.

24/04/2026

Kwenye somo hili, watoto walijifunza umuhimu wa kusafisha meno kila siku ili kulinda afya ya kinywa na kuzuia magonjwa ya meno. Walielekezwa hatua kwa hatua jinsi ya kutumia mswaki na dawa ya meno kwa usahihi, ikiwa ni pamoja na kusafisha sehemu zote za menoβ€”mbele, nyuma,juu na chini ya meno ya kutafunia. Pia walikumbushwa kusafisha ulimi kwa upole na kusukutua mdomo baada ya kumaliza. kusafisha meno yao angalau mara mbili kwa siku, asubuhi na kabla ya kulala, Lengo letu ni kuwajengea tabia bora za kiafya tangu wakiwa wadogo.

Watoto wa Baby Class wakifurahia kujifunza kupitia sanaa 🎨🍎🍌.Katika shughuli hii, watoto wanapaka rangi k**a njia ya kui...
11/03/2026

Watoto wa Baby Class wakifurahia kujifunza kupitia sanaa 🎨🍎🍌.

Katika shughuli hii, watoto wanapaka rangi k**a njia ya kuimarisha ustadi wa mikono (fine motor skills) pamoja na kujifunza aina mbalimbali za matunda. Kupitia mchezo na ubunifu, watoto wanajifunza kutambua rangi, maumbo na majina ya matunda kwa njia rahisi na ya kufurahisha.

Tunaamini kuwa kujifunza kwa vitendo huwasaidia watoto kukua kiakili, kimwili na kijamii wakiwa na furaha.

Watoto wa KG 2, wakijifunza kutambua rangi mbalimbali. Katika zoezi hili mtoto anajifunza  kutambua rangi kwa wepesi na ...
11/03/2026

Watoto wa KG 2, wakijifunza kutambua rangi mbalimbali.
Katika zoezi hili mtoto anajifunza kutambua rangi kwa wepesi na kuongeza umakini.

Pichani ni watoto wetu wa Kindergarten 2, wakiwa na Madam Farha, ambapo wanajifunza jinsi ya kulinganisha maumbo (umbo m...
11/02/2026

Pichani ni watoto wetu wa Kindergarten 2, wakiwa na Madam Farha, ambapo wanajifunza jinsi ya kulinganisha maumbo (umbo mraba, pembetatu na duara). Zoezi hili linamsaidia mtoto kutambua na kukumbuka kwa haraka, na pia huongeza ufahamu wa mtoto. Sijaona.

Tabasamu, nidhamu na umoja .Ni nguvu kwa watoto wetu wakiwa  shuleni.   sijaona day care
28/01/2026

Tabasamu, nidhamu na umoja .Ni nguvu kwa watoto wetu wakiwa shuleni. sijaona day care

WELCOME BACK TO SCHOOL OUR BEAUTIFUL STUDENTS.  sijaona daycare
15/01/2026

WELCOME BACK TO SCHOOL OUR BEAUTIFUL STUDENTS. sijaona daycare

Ndoto zinaanzia utotoni,hawa ni MADAKTARI wetu wadogo wakijifunza kwa furaha.Je,ulipokua mdogo ulitamani kuja kuwa nani?...
18/12/2025

Ndoto zinaanzia utotoni,hawa ni MADAKTARI wetu wadogo wakijifunza kwa furaha.Je,ulipokua mdogo ulitamani kuja kuwa nani??

Admissions 2026 Now Open! Karibuni Ambassador Sijaona Daycare β€” Mahali pa Kucheza, Kujifunza na Kukua Pamoja!
10/12/2025

Admissions 2026 Now Open! Karibuni Ambassador Sijaona Daycare β€” Mahali pa Kucheza, Kujifunza na Kukua Pamoja!

Baby class wamekuwa wasanii! Wamepaka rangi mswaki uliochorwa.Shughuli hii huwasaidia kukuza ubunifu, umakini na ustadi ...
18/11/2025

Baby class wamekuwa wasanii! Wamepaka rangi mswaki uliochorwa.

Shughuli hii huwasaidia kukuza ubunifu, umakini na ustadi wa mikono, huku wakifurahia rangi na michezo salama kwa umri wao. πŸŒˆπŸ’›

Kila siku ni nafasi mpya ya kujifunza kwa furaha hapa Ambassador Sijaona Day Care! 🌟

πŸŽ‰πŸŽ‚ Happy Birthday to our wonderful Head Teacher, Madam Flo! πŸŽ‚πŸŽ‰Today we celebrate an incredible woman whose heart, laught...
13/11/2025

πŸŽ‰πŸŽ‚ Happy Birthday to our wonderful Head Teacher, Madam Flo! πŸŽ‚πŸŽ‰

Today we celebrate an incredible woman whose heart, laughter, and dedication make every day brighter at our daycare. πŸŒžπŸ’›

Madam Flo, your warmth inspires our little ones to explore, learn, and shine. 🌈 Your patience and love guide our team to give the very best to every child. πŸ‘©πŸ«πŸ’

Thank you for leading with kindness, joy, and that beautiful smile that lights up every room! ✨
May this new year bring you endless happiness, good health, and the same love you so freely share with everyone around you. πŸ₯°

We’re so lucky to have you as part of our family β€” today we celebrate YOU! πŸŽŠπŸ’–

Sijaona Daycare # JoyfulLearning

Happy birthday ms.Asteria β€οΈπŸŽ‚.
11/11/2025

Happy birthday ms.Asteria β€οΈπŸŽ‚.

Address

Ukonga Madafu Mtaa Wa Shughuli Nyumba Namba 46
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hatua Therapies and Consultancy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Hatua Therapies and Consultancy:

Share