Abou-Adam Herbalist

Abou-Adam Herbalist Bin-Adam Herbal Tunatibu kwa dawa asili zisizo naKemikali kama UTI,PID,Typhoid,Uzazi Mke/Mme,Kupungu

18/06/2023

ZIJUE FAIDA ZA HII ASALI ORIGINAL MAARUFU YA UTURUKI KUTOKA BIN-ADAM HERBALIST
EPUKA AIBU NDOGO NDOGO ( JIPATIE TIBA UKATAWALE JIMBO LAKO PREMIUM HONEY inayokidhi haja na Tiba kwa Mwanaume anayejihisi tatizo au Udhaifu kwenye mfumo wa uzazi πŸ‘‡
-Walio wahi kuitumia wanahifahamu hii kitu
namna ilivyowarudisha Mchezoni

βœ…Inatibu dalili zote za Tezi Dume.

βœ…Ngiri sugu , Mingurumo ya tumbo ,
maumivu chini ya kitovu .

βœ…Tatizo la kuwahi kumaliza , kukosa hamu
ya mchezo kwa marudio au kua lege
lege.

βœ…Madhara ya kujichua , na Mashne kurudi
ndani na kuwa k**a ya mtoto.

βœ…Ni Dawa inayotoa matokeo kuanzia siku
ya kwanza inapoingia mwilini.

Ni dawa Madhubuti haswa na matokeo yake sio ya kubabaisha Ni yenye kudumu mda wote katika Ubora.

Ipo katika mfumo wa Asali na Hakuna atakayejua kuwa unatumia dawa kwa wakati huo hata mbele za watu hivyo inakuweka huru wewe mtumiaji βœ…

Haina Madhara na Ni Asilia 100%βœ…

SASA TIBA KAMILI DOSE OFFER NI Tsh 45,000/= TU.

PIA YALE MAFUTA ORIGINAL YA KUCHANJIA YA MBORO BORO MAARUFU KWA KUKUZA DHAK*ARI au MASH*iNE YANAPATIKANA KWA BEI YA PUNGUZO KIDOGO.

Tunapatikana Ilala Machinga Complex Jirani na TFF Karume.

Sim no 0769120400/ 0783400170
Huduma ya Derivery ipo ni bure kwa mkoa wa Dar es salaam.

Bin-Adam Herbal Tunatibu kwa dawa asili zisizo naKemikali k**a UTI,PID,Typhoid,Uzazi Mke/Mme,Kupungu

29/05/2023

Je wajua UTI na PID ikiachwa bila kutibiwa inaweza ikaharibu ndoto zako za kuitwa MAMA ?
Naam UTI na PID ni ugonjwa hatari sana ambao usipotibiwa huweza kusababisha makovu na vifuko vyenye majiyenye wadudu kwenye mkondo wa njia ya Uzazi kwa mwanamke ,Vitu hivi vinaweza kusababisha Madhara ya kudumu kwenye Viungo vya uzazi.
Pata ufafanuzi kidogo juu ya hali hizi hatarishi katika mfumo wako wa uzazi .

ZIJUE DALILI ZAKE
*Maumivu chini ya kitovu.

*Kutokwa na Uchafu mzito wenye rangi ya maziwa mgando usiowakaida na wenye kutoa harufu mbaya(Shombo/Mtindi)

*Maumivu wakati wa tendo au baada yake.

*Kuhisi kichefu chefu, na maziwa kuumuka k**a vile unanonyesha.

*Kuvurugika kwa Ada ( He*dhi),Kutokwa damu nyingi au cache muda mwingine kua na mabonge bonge na hali ya kuambatana na maumivu wakati wa kipindi hicho.

*Kupata haja ndogo mara kwa mara au haja kutoka kwa shida ikiambatana na maumivu
Haya na mengine mengi Karibu Tukupatie Dawa yetu yenye uwezo wa kuondosha hilo tatizo kwa mda wa siku nne mpaka saba tu.

Dose moja mnaweza kutumia watu wawili (mke na mume) hivyo kuwafanya nyote muwe salama na kuutokomeza ugonjwa huu.

*Ukitumia dawa hii huwezi kusumbuka tena na tatizo la kukosa mtoto,hata k**a uliwahi kutumia zana za kuzuia au kuharibu mimba k**a vidonge ,Vijiti na sindano vya kuzuia kuzaa itakusaidia kutoa sumu zote mwilini na kukufanya Uwe Huru.

β˜†Dawa ya kuwezesha upatikanaji wa Mapacha inapatikana pia

USISUBIRI KUADITHIWA AGIZA WEWE MWENYE NA UONDOKANE NA TATIZO HILO LEO KISHA NDANI YA SIKU SABA NJOO UTUHADITHIE MWENYEWE MATOKEO ULIYOYAPATA

BEI NI 45,000/= Dozi kamili Bei hii niya OFA WAHI KABLA YA OFA HII KUISHA.

Tunapatikana ILALA-Machinga Complex Mtaa wa Lindi (Karibu na Soko la Karume au TFF)
Simu No 0769120400/ 0783400170
Pia huduma ya Derivery inapatikana mda wote.
Kwawalio DAR ES SALAAM ni BURE na utalipia endapo mzigo ukikufikia ulipo.

Bin-Adam Herbal Tunatibu kwa dawa asili zisizo naKemikali k**a UTI,PID,Typhoid,Uzazi Mke/Mme,Kupungu

12/04/2023

UGONJWA WA SUKARI ( DIABETES )
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”
-Sukari hutokaana na hatua za mmeng’enyo wa Chakula endapo utachukua nafasi yake na kuanza kuvunjavunja.
Matokeo kadhaa hutikea awali ikiwa ni Sukari kitaalamu ni GLUCOSE ambayo ni chanzo cha nishati (NGUVU)mwilini na kuingia kwenye Damu.Pili ni Kongosho ( PANCREASE )Kutengeneza kichocheo cha INSULIN kazi yake ni kuondoa GLUCOSE kwenye damu na kuingia kwenye misuli, Ini na Seli za Mafuta ambazo hua K**a nishati.

SUKARI ( DIABETES ) NI NINI ?!
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”
-Ni hali ya mtu kua na kiwango kikubwa cha sukari nyingi kupita kiasi kwenye damu. Ugonjwa huo huaribu mpangilio wa kuingiza sukari ndani ya chembe kutoka kwenye damu kwani huhitaji sukari ili kupata nishati.

Ugonjwa huu wa Kisukari hutokea pale ambapo tezi ya kongosho inaposhindwa kutengeneza kichocheo (Homoni) aina ya insulin au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo hicho na kusababisha kuongezeka kwa sukari (Hyperglycemia) au kushuka kwa kiwango cha sukari (Hypoglycemia). Ugonjwa wa kisukari unaweza kusababishwa na kuwa na kiwango kidogo cha insulin mwilini, mwili kutosikia kichocheo hicho au yote mawili.
WALIO HATARINI KUA NA SUKARI ( DIABETES )
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”
– Wenye uzito uliozidi.

– Wenye historia ya kuwa na wagonjwa wa kisukari katika
familia zao.
– Wanawake waliozaa watoto wenye kilo 4 au zaidi.

– Watu wasiojishughirisha au wasiofanya mazoezi.

– Wenye shinikizo la damu.

– Wenye msongo wa mawazo.

– Wenye matumizi makubwa ya pombe na sigara.

Inashauriwa kwa watu aww kupima sukari kila mwaka wakiwa na umri wa miaka 45 na kuendelea.

DALILI ZA SUKARI ( DIABETES )
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

1.Kupatwa na kiu kisicho kata ata kwa majimegi.

2.Kukojoa mara kwa mara.

3.Kukosa nguvu(Udhaifu),Uchovu mara kwa mara.
4.Kupungua uzito.

5.Kuhisi njaa kwa haraka.

6.Kupoteza nuru ya macho(Kutoona vizuri).

7.Kuoungua usanifu wa tendo(Mke&Mme)hamu nk

8.Kutopona vidonda kwa haraka.

Kwa msaada zaidi wa ushauri na matibabu:-

Piga simu:- 0783 400 170
Au
Whattsap:- 0769 120 400

Bin-Adam Herbal(Sunna)& Remedies]]] Bin-Adam Herbal(Sunna)& Remedies]]]

Bin-Adam Herbal(Sunna)& Remedies]]] Bin-Adam Herbal(Sunna)& Remedies]]]

18/03/2023
DIABETE GUARD CAPSULES β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”Dawa hii ya DIABETE GUARD ni nzuri sana wa walio patwa na Changamoto hii ya Kisukar...
18/03/2023

DIABETE GUARD CAPSULES
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”
Dawa hii ya DIABETE GUARD ni nzuri sana wa walio patwa na Changamoto hii ya Kisukari.

Inauwezo mkubwa wa kurudisha hali ya kiwango cha sukari mwilini kwa kurudisha hali ya mmeng’enyo wa chakula wa kawaida na kufuata hatua stahiki za kuvunja vunja chakula (virutubisho ) kwa mana yakwamba Sukari (GLUCOSE) ita weza kufanya hatua zake kwa usahihi na kupenyeza katika Damu na INSULINI kutengeneza kwa kua KONGOSHO lita kua na uwezo tena k**a awali.

Moja kwa moja mzunguko wa damu utapitisha kiwango cha kawaida cha sukari kwenye misuli, Ini na seli mbalimbali k**a za mafuta na kuzalisha nishati.

Ugonjwa huu wa Kisukari hutokea pale ambapo tezi ya kongosho inaposhindwa kutengeneza kichocheo (Homoni) aina ya insulin au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo hicho na kusababisha kuongezeka kwa sukari (Hyperglycemia) au kushuka kwa kiwango cha sukari (Hypoglycemia). Ugonjwa wa kisukari unaweza kusababishwa na kuwa na kiwango kidogo cha insulin mwilini, mwili kutosikia kichocheo hicho au yote mawili.
WALIO HATARINI KUA NA SUKARI ( DIABETES )
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”
– Wenye uzito uliozidi.

– Wenye historia ya kuwa na wagonjwa wa kisukari katika
familia zao.
– Wanawake waliozaa watoto wenye kilo 4 au zaidi.

– Watu wasiojishughirisha au wasiofanya mazoezi.

– Wenye shinikizo la damu.

– Wenye msongo wa mawazo.

– Wenye matumizi makubwa ya pombe na sigara.

Inashauriwa kwa watu aww kupima sukari kila mwaka wakiwa na umri wa miaka 45 na kuendelea.

DALILI ZA SUKARI ( DIABETES )
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

1.Kupatwa na kiu kisicho kata ata kwa majimegi.

2.Kukojoa mara kwa mara.

3.Kukosa nguvu(Udhaifu),Uchovu mara kwa mara.
4.Kupungua uzito.

5.Kuhisi njaa kwa haraka.

6.Kupoteza nuru ya macho(Kutoona vizuri).

7.Kuoungua usanifu wa tendo(Mke&Mme)hamu nk

8.Kutopona vidonda kwa haraka.

Madhara ya SUKARI ( Diabetes) ni upofu, figo kushindwa kufanya kazi, mshtuko wa moyo, kiharusi na kukatwa viungo vya chini vya miguu.

Kwa msaada zaidi wa ushauri na matibabu:-

Piga simu:- 0783 400 170
Au
Whattsap:- 0769 120 400

Bin-Adam Herbal(Sunna)& Remedies]]] Bin-Adam Herbal(Sunna)& Remedies]]]

Bin-Adam Herbal(Sunna)& Remedies]]] Bin-Adam Herbal(Sunna)& Remedies]]]

NJIA YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO✍️Jambo la msingi kabisa ni kuzingatia mlo ulio kamili.✍️Kunywa maji kwa wingi na ...
18/03/2023

NJIA YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO
✍️Jambo la msingi kabisa ni kuzingatia mlo ulio kamili.
✍️Kunywa maji kwa wingi na kuepukana na msongo wa mawazo ( stress).
✍️fanya mazoezi kwajili ya kupunguza Mafuta na kuupa mwili nafasi ya kufanya mzunguko wake vizuri ili kuondoa rehemu(CHOLESTEROL.)
✍️Pumzika kwa muda wakutosha.
✍️Epuka miadalati na vileo

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO
✍️Tatizo hili lina tesa watu wengi sana na kuwanyima raha, Tatizo hili linaitaji umakini sana na pia hupelekea kuoatwa na magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito,Bawasili Au HEMORHOIDS kudhohofika kwa mwili nk

✍️Tatizo hili tiba yake hutolewa kulingana na ukubwa pamoja na ukongwe wa madhara ya muathirika.
ONYO: Usidharau wala kupuuza moja ya dalili zilizo ainishwa,hutasababisha hali yako kua mbaya zaidi kutokana na athari kuendelea kushambulia sehemu dhohofu tumboni na kupatwa na matatizo makubwa zaidi.

MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO
✍️Awali ya yote nikumshukuru MUUMBA wa MBINGU na ARDHI kwa kutupa Afya ilio kua NJEMA.Ni yeye aliye tushushia mitihani ya MARADHI na TIBA ZAKE pia kupita MIMEA,MATUNDA , MZIZI na baadhi ya WADUDU k**a NYUKI ili tupone na kuendelea
na MAISHAπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™.
✍️Tusidharau dawa asili ndizo alizo tuelekeza MUNGU tujitibu kwazo na ndipo lilipo ponyo lisilo na udanganyifu,ghalama na linapatikana uwepesi pia ni dawa zinazo maliza kabisa tatizo kwa yeyote alie athirika na maradhi haya.

✍️Dawa za kutibia kabisa tatizo la Vidonda vya Tumbo zinapatikana ofisini kwetu kwa uadilifu na uaminifu mkubwa
Tuna dawa ya kutibu Vidonda vya tumbo ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa.
✍️Dawa hiyo hutibu tatizo kulingana na muda wa tatizo.
✍️Baada ya kutumia dozi kulingana na maelekezo ya mtoa dawa kuna uwezekano mkubwa wakuona mabadiriko baada ya siku tatu ( 3 ) hadi ifikapo wiki na dawa hizi huponya tatizo kabisa.
✍️Vilevile tunashauri mtu kubadili mwenendo wa maisha kulingana na maradhi yanayo msumbua k**a yatakua na chachu yeyote ile katika kuathiri Afya yake.

✍️Asante kwa kusoma makala hii iliyo andaliwa na BIN - ADAM HERBAL ( SUNNA ) & REMEDIES wasiliana nao kwa;-
Kupiga simu au Whattsap: +255 769 120 400

MADHARA AU ATHARI ZA PUNYETO β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”~Athari au madhara ya punyeto yana wahusu wote kwaujumla yaani Mwanamume ...
18/03/2023

MADHARA AU ATHARI ZA PUNYETO
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”
~Athari au madhara ya punyeto yana wahusu wote kwaujumla yaani Mwanamume na Mwana wa K**e.

✍️Athari za punyeto kwa mwanamume

1️⃣Upungufu wa nguvu za kiume.

2️⃣kulegea kwa misuli ya uume na kutokwa na manii k**a
k**asi.
3️⃣Mbegu kua chache na dhaifu.

4️⃣Ugumba na uhanithi k**a hatokoma.

5️⃣Kukosa hamu ya tendo na mwanamke kumuona hana
mana.
6️⃣Msongo wa mawazo.

7️⃣Uchovu wa mwili.

8️⃣Kuathirika saikolojia.

9️⃣Kuathiri mfumo wa fahamu.

πŸ”ŸKupoteza kumbukumbu.

piga simu 0783400170 au whattsapp 0769120400



SHINIKIZO LA DAMU/PRESHA YA KUPANDA/KUSHUKA.β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”-Presha hua na namba mbili ya juu na chini nazo ni :-1. Namba ya j...
18/03/2023

SHINIKIZO LA DAMU/PRESHA YA KUPANDA/KUSHUKA.
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”-
Presha hua na namba mbili ya juu na chini nazo ni :-
1. Namba ya juu (systolic)
Hii hufanya nguvu ambayo moyo husukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili.

2. Namba ya chini (Diastolic)
Hii humaanisha nguvu ya damu yako inayotembea kwenye mishipa ya damu wakati moyo umepumzika baada ya kusuma damu katika kila pigo.

VIWANGO VYA PRESHA.
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”
-Chini ya 110/65mmHg Hypotension (Presha ya kushuka au shinikizo la damu la chini)

-Chini ya 120/80mmHg Normal (Kawaida)

-Kati ya 120-129/80mmHg Pre- hypertension (Hatari ya
kupata presha ya juu

-Kati ya 130-139/80-89mmHg 1st stage hypertension
( presha ya juu steji ya kwanza)
Ikifika 130 na kuendelea basi presha yako inakua juu na inakuoasa kuanza tiba nakua makini zaidi kwa Afya yako.

-140/90mmHg au zaidi 2nd stage hypertension (presha
ya juu steji ya pili)

Kuanzia 180/120 na kuendelea , Hypertensive crisis ( shinikizo la damu la juu zaidi).

DALILI ZA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA).
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”
1.Maumivu ya kichwa hasa nyakati za asubuhi.

2.Kuhisi kizunguzungu.

3.Mapigo ya moyo kwenda kwa kasi.

4.Maumivu ya kifua.

5.Kupoteza fahamu.

6.Kupumua kwa shida.

7.Kuhisi uchovu mara kwa mara.

8.Uoni hafifu (Kupungua nuru ya macho)

CHANZO CHA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA).
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”
*Msongo wa mawazo (strees)

*Matumizi ya chumvi nyingi kenye chakula .

*Kutozingatia mlo stahiki & Umri.

*Kuto ushughulisha kimwili & Unene ulio pitiliza

*Matumizi ya mihadarati kithiri.

MADHARA YAKE
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

-Moyo kushindwa kufanya kazi (Heart Failure)

-Moyo kutanuka (Cardiomegaly)

-Shambulio la moyo ( Heart attack)

-Kiharusi/Kupooza (stroke)

-Kuharibika figo na figo kushindwa kufanya kazi

-Kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.

Serikali na mashilika ya Afya duniani wanaongeza jitihada kila kukicha na kutoa dawa mbalimbali ila bado haijawa chachu kwa Changamoto hii na kila mwaka hutangazwa visa vipya na vifo pia.

Kwa Mujibu wa Tafiti za WHO β€œWatu duniani kote na la juu la damu na upelekea shambulio la moyo,Moyo Kutanuka na hata kupooza.

Piga simu 0783400170 AU whattsapp 0769120400

Address

Ilala
Dar Es Salaam
11105

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abou-Adam Herbalist posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Abou-Adam Herbalist:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram