Eternal Hospital Tanzania

Eternal Hospital Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Eternal Hospital Tanzania, Hospital, Dar es Salaam.

30/05/2020

HUANG TIAO SHUN ZHI ELECTUARY.

Bidhaa hii ni lishe maalum ya 'isomalto-oligosaccharide' inasaidia kuondoa sumu zinazotokana na maji,chakula,hewa,pamoja na matumizi ya madawa mwilini.

Bidhaa hii ina uwezo mkubwa wa kuondoa sumu kwa kiasi kikubwa na kwa muda mfupi.

Inasaidia kusafisha mfumo wa chakula hasa tumbo na kulifanya liwe katika hali nzuri zaidi.

Ni nzuri kwa watu wenye matatizo ya vidonda vya tumbo,tumbo kujaa gesi na asidi,tumbo kukata au tumbo la kuharisha.

Pia husaidia kwa wasiopata choo au wanaopata choo katika hali ya ukavu sana.
Inasaidia kuwapa nguvu bacteria wa mwilini"ambao husaidia mfumo wa uyeyushaji wa chakula".

Wiki tatu baada ya kutumia bidhaa hii,kinga ya mwili huongezeka mara kumi zaidi ikilinganishwa sawa na kinga ya kijana wa miaka 20.

Matokeo huonekana baada ya siku moja mpaka 3 na matokeo mazuri zaidi huwa ni baada ya matumizi ya wiki moja mpaka 3.
Bidhaa hii haina mafuta,homoni wala haijaongezwa kiambata chochote cha kuongeza nguvu.

KWA MAHITAJI MAWASILIANO
>0743781301

Eternal InternationalKaribu katika kituo cha Afya kilichopo chini ya wa CHINA upate tiba sahihi kwa dawa salama zisizo n...
28/01/2020

Eternal International

Karibu katika kituo cha Afya kilichopo chini ya wa CHINA upate tiba sahihi kwa dawa salama zisizo na kemikali.

Tiba salama kwa kutumia dawa zisizo na kemikali yoyote.

🔹Presha, 🔹Matatizo ya Moyo na INI
🔹Kansa, 🔹Vidonda vya Tumbo,
🔹Kisukari 🔹Pumu
🔹Stroku. 🔹Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
🔹Matatizo ya mifupa, 🔹Matatizo ya miguu
🔹Ngozi, 🔹Figo, 🔹Fangasi sugu
🔹Kupunguza unene, uzito, na matumbo
🔹Kuongeza kinga mwilini(CD4)
🔹U.T.I sugu, 🔹Gesi
🔹Bawasiri,

Tupo kinondoni morroco
Mawasiliano 0743781301

TERNAL WHITE TEA MUCH EFFECT TOOTHPASTE.Hii ni dawa ya meno inayotokana na mimea tiba ya asili ambayo imechanganywa kwa ...
21/01/2020

TERNAL WHITE TEA MUCH EFFECT TOOTHPASTE.

Hii ni dawa ya meno inayotokana na mimea tiba ya asili ambayo imechanganywa kwa pamoja na kufanya kuwa dawa yenye nguvu zaidi na ubora kuliko zote.

Mimea tiba yake inaweza pia kusaidia kuboresha afya ya ngozi kwa mfano kwa wale wanaosumbuliwa na fangasi wa vidoleni au katika kucha.

Ni dawa nzuri ya kusafishia meno kwa ulinzi kamili wa meno yako na kinywa.

Inasaidia kukuweka "fresh" na kuwa na harufu nzuri ya kinywa wakati wote.

Inasaidia kuua wadudu"bacteria" wanaoeneza maradhi ya kinywa na meno.

Inasaidia pia kwa wale wanaosumbuliwa na ganzi ya meno na wenye meno mabovu inazuia yasiendelee kuharibika na kuliwa na wadudu.

Hufanya meno yako kuwa meupe zaidi na ya kuvutia hasa kwa wale ambao meno yao yameharibiwa na matumizi ya vitu k**a sigara na kadharika.

KWA UNAEHITAJI PIGA SIMU NAMBA 0743781301

20/01/2020

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eternal Hospital Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category