
01/04/2023
Moja ya changamoto kubwa inayosumbua watu katika jamii Ni maumivu makali ya viungo na mifupa
Na nimekutana na watu wengi ambao wamehangaika Ma HOSPITALINI bila kupata nafuu na mpaka wengine kufanyiwa upasuaji na kuwekewa vyuma ila still Bado wana PITIA maumivu makali ya viungo na mifupa
Sababu kubwa ya changamoto hizi za maumivu ya viungo ni
Upungufu wa UTE UTE (synovial fluids) na kulika kwa GEGEDU (cartilages) hivyo hupelekea maungio kuwa Makavu na kuongeza msuguano katika maungio na kupelekea maumivu makali sana ya viungo
MAGOTI
KIUNO
UTI WA MGONGO
MABEGA
SABABU NYENGINE ZA ZIADA
-kukaa sana chini Muda mrefu /hasa wafanya kazi mahofisini/Madereva wa masafa
-AJALI
-UMRI kuwa mkubwa sana kupelekea kuathiri virutubisho vya kuzalisha UTE UTE MWILINI kupungua
SULUHU ya changamoto hii Ya maumivu makali ya viungo na mifupa tunayo kwa Tiba mbadala asili na unapona bila kufanyiwa upasuaji 100%
Kwa msaada wa Karibu zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo:-
0675187707 (WhatsApp/normal call)
Pia tunatoa elimu bure juu mifupa na viungo kwa group la WhatsApp kujiunga gusa link hii
👇🏿
https://chat.whatsapp.com/HTdPIDPfzrn7QISPWh6voO