Afya Secrets

Afya Secrets AFYA/UZAZI/USHAURI/TIBA
SAID MASESA
Health Consultant, Advisor and Distributor from BF SUMA0620661412

Jinsi Ya kupona UTI Sugu Ndani Ya Siku 7 Tu...!Je Umekuwa Ukisumbuliwa Na UTI Za Mara Kwa MaraJe Umekuwa Ukitumia Kila D...
20/09/2024

Jinsi Ya kupona UTI Sugu Ndani Ya Siku 7 Tu...!

Je Umekuwa Ukisumbuliwa Na UTI Za Mara Kwa Mara
Je Umekuwa Ukitumia Kila Dawa Lakini Bado Inajirudia?
Nipe Dakika 5 Nikupe Story Hii...

Nakumbuka Ilikuwa Mida Ya Saa 6 Mchana Nikiwa Mimi Na Rafiki Yangu Max Tukiwa Pale Amana Hospital Jijini Dar Es Salaam Tulivyoenda Kusalimia Wagonjwa.
Kuna Mdada Alikuwa Amekaa Peke Yake Pale Kwenye Benchi Ndipo Nikamfuata Na Kuanza Kupiga Nae Story. Ilikuwa Hivi...
Mimi: Mambo Best
Mdada: Poa Habari Yako?
Mimi: Safi Na Salama, Hofu kwako
Mdada: Mimi Pia Mzima, Karibu
Mimi : Asante, Mbona Umekaa Peke Yako Una Mgonjwa Huko Ndani Au?
Mdada: Hapana Ni Mimi Mwenyewe.
Mimi: Una Changamoto Gani?
Mdada: Yani Kaka Nina Sumbuliwa Na UTI Mwezi Wa 7 Huu.

Basi Tulizungumza Mengine Na Nilizidi Kumdadisi Kwanini Haponi UTI Yake?
Nilikuja Kugundua Kuwa Kwanza Ni Kutokana Na Dawa Anazotumia. Iko Hivi...
Kuna Bidhaa Ambazo Hupambana Na Tatizo Tu Na Sio Kupambana Na Chanzo Cha Tatizo Na Hizi Wengi Ndio Hukukutana Nazo Mitaani. Sasa Ili Upone Changamoto Yako Hutakiwi Kutumia Bidhaa Hizi Kwa Sababu Kinachofanyika Ni Kupumbuza Au Kupunguza Makali Ya Bakteria Tu Na Sio Kuwatokomeza Kabisa Na Ndomana Ukiacha Kutumia Dawa Kwa Muda Waanza Upya Na Kuzaliana Tena Ili Kukutafuna Upya Na Hurudi Kwa Kasi Ya 5G. Sasa Ili Upone Unapaswa Kutumia Bidhaa Ambayo Hupambana Na Chanzo Au Mzizi Wa Tatizo Na Sio Tatizo Tu.

Sababu Ya Pili Ni Kwamba K**a Hujui UTI Yako Imesababishwa Na Nini Basi Huwezi Kupona Hata Utumie Dawa Za Bilioni Moja Hutopona Ng'oo.

Tatu. Kutokujua Maelezo Au Maelekezo Ya Aliekupatia Dawa, Yaani Akakwambia Fanya Hivi Lakini Wewe Unafanya Tofauti, Usifanye Hivi Lakini Wewe Unafanya. Iko Hivi... Dawa Ina Asilimia Zake Za Kukuponya Na Wewe Una Asilimia Kadhaa Za Kufanya Ili Ikuponyeshe.
Ukifanya K**a Inavyotakiwa Basi UTI kwako Itakuwa Ni Historia.

Mpaka Sasa Mdada Yule Anaendelea Vizuri Na Ananishukuru Kwa Ile Bidhaa Niliyompatia Na Amekuwa Anikiunganisha Na Wanawake Wengine Wenye Changamoto K**a Zake...
Na Kwa Hilo Nafurahi Kuwafanya Wanawake Wawe Na Afya Njema Kwa Kuwapitisha Kwenye Daraja Kutoka Kwenye Maumivu Kuja Kwenye Furaha

By The Way Niko Nawasaidia Wanawake Wengine Kuondokana Na UTI Za Mara Kwa Mara. Kutokana Na Tuzo Za Safari Ndani Ya Taasisi Yetu Basi Niko Na Ofa Kwa Ajili Yako Wewe Mwanamke. Niko Na Bidhaa Kwa Ajili Yako. Leo Sitokuuzia Kwa 70,000 Tena Bali Utaipata Kwa 55000 Tu.

K**a Ukiwa Mteja Wa Kwanza Nitakupatia Na Sabuni Moja Bure Kabisa Ili Kuifanya Ngozi Yako Kuwa Nyororo, Kuondoa Makunyanzi, Mapele Chunusi Na Harara.
Nitakupa Mbinu Za Kuepuka UTI
Nitakwambia Ni Vitu Gani Ufanye Na Vipi Usifanye Ili UTI Ikuogope Kabisa.

Ofa Hii Sihitaji Wanawake Wengi Kuipata Bali Nitahitaji Wanawake 10 Tu.
Ofa Hii Itadumu Ndani Ya Siku Moja Tu Yaani Masaa 24 Sawa Na Dakika 1440 Tu. Usipopata Ndani Ya Muda Huo Sahau Kuipata Tena Kwa 55000 Milele.
Masaa 24 Tu
Wanawake 10 Tu
Baada Ya Muda Huo Bidhaa Utaipata Kwa 70,000 Na Sabuni Utaipata Kwa 15000.

Tuma Neno OFA YA UTI Kwenda Namba +255620661412
Au Gusa Link Kuja WhatsApp Moja Kwa Moja
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
wa.me/255620661412
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†

Simu/Ujumbe +(255) 620 661 412

*βœ…βœ…ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP(DAKTARI WA NGOZI)* βœ…βœ…      ( PRODUCT FROM USA)               0% chemical-Ni sabuni ya  mit...
05/09/2024

*βœ…βœ…ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP(DAKTARI WA NGOZI)* βœ…βœ…
( PRODUCT FROM USA)
0% chemical
-Ni sabuni ya mitishamba iliyotengenezwa na viambata asili k**a ifuatavyo.

*INGREDIENTS(VIAMBATA)*
1. Wild honey..( asali mwitu)
2. Green tea ...(mchai chai)
3. Grape fruit..(mbegu za mzabibu)

*KAZI MUHIMU*
1. Hupamabana na uzee
na kuondoa makunyanzi
2. Hufanya ngozi kuwa na unyevu unyevu na kuonekana nadhifu
3. Huondoa mapunye, chunusi na mafuta yaliyozidi kwenye ngozi
4. Inafuta uchafu uliopo ndani ya ngozi na uchafu unaosababisha chunusi pamoja na vipele
5. Inaondoa madoa/makovu kwenye ngozi
6.Inaondoa seli za ngozi zilizokufa hvyo kufanya ngozi iwe laini na nyororo
7. Inazibua njia za jasho kwenye vinyoleo hvyo kuthibiti tatizo la harufu mbaya mwilini
8. Inatibu vidonda vya kuungua, jeraha pamoja na vidonda vya kisukari
9. Inatumika k**a mafuta ya kupaka pia
10. Inatunza ngozi ya mtoto.

09/06/2024

Jipatie Sabuni isiyokuwa na kemikali ya aina yoyote kwa sababu imetengenezwa kwa viambata k**a, asali ya nyuki, michaichai, zabibu, linda n.k. Uzuri ni kwamba inapatikana Mikoani kote.

Inapatikana kwa bei ya 10,000/= Tshs.

Tupigie kwa namba hapo kwenye Tangazo au bonyeza hapo chini kuja WhatsApp

BonyezaπŸ‘‡πŸ‘‡ WhatsApp
wa.me/255620661412
BonyezaπŸ‘†πŸ‘† WhatsApp

Kumbuka bei ni 10,000/= Tshs.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Secrets posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Secrets:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram