
20/09/2025
⚠️ Sababu Kuu Zinazo sababisha Vidonda vya Tumbo?
🩺Maambukizi ya bacteria H. pylori
🩺Matumizi ya muda mrefu ya dawa za maumivu (NSAIDs) 💊
🩺 Kunywa pombe kupita kiasi 🍺
🩺 Kuvuta sigara 🚬
🩺Msongo wa mawazo ya muda mrefu 😔
🩺 Ulaji wa vyakula vyenye viungo vikali mara kwa mara 🌶️
👉Kwa ushauri na Tiba tupge sm hapa popote ulipo,Tu weze kuku saidya
📱0654664466