Afya na kapile

Afya na kapile Natoa ushauli na tiba juu ya changamoto ya VIUNGO na MIFUPA ,,,Kama vile miguu kuwaka moto na ganzi ,magoti kuuma,kiuno, disk burge na pingili kusagana

05/01/2023

UGONJWA WA BAWASILI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE.0624272067

Bawasiri ni nini
Huu ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/Hemorrhoid nk

SABABU YA BAWASILI

Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa Vinyama sehemu ya haja kubwa

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

1.kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa

2.kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa

3.kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa

4.kupata kinyesi chenye damu

5.kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya
MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

1.Uzito kupita kiasi(Overweight)

Ujauzito
3.Kunyanyua vitu vizito na Mazoezi makali

4.Kukaa sana sehemu eneo moja mda mrefu

5.Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa( tendo la ndoa kinyume).

6.Kujisaidia Choo Kigumu.

Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya Tumbo
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni

AINA 2 ZA BAWASIRI

BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata k**a hujaenda kujisaidia haja kubwa.

2.BAWASIRI YA NDANI

Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Bawasiri ya dani ina hatua NNE ambazo ni:⤵⤵⤵⤵
HATUA YA KWANZA
Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekani wakati wa kujisaidia.

HATUA YA PILI
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia

HATUA YA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurudi yenyewe baada ya muda

HATUA YA NNE
Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia.

ATHARI ZA BAWASIRI

1.Upungufu wa damu mwilini

2.Kutokwa na kinyesi bila kujitambua

3.kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

4.kupungukiwa nguvu za kiume

5.kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu

6.Kupata tatizo la kisaikolojia

Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)
8.Mwili kudhoofika mwili na kinga kupungua

TIBA YA BAWASILI

Mara nyingi Tiba ilio zoeleka kwa hospital ni upasuaji

Ila tuna bidhaa ambazo zimewasaidia wengi zenye uwezo wa kuondoa bawasili bila upasuaji

Kwa maelezo zaid wasiliana nasi kupitia 0624272067

06/09/2022
06/09/2022
04/09/2022
03/09/2022

TIBA YA MIFUPA BILA UPASUAJI
DR:KAPILE 0747113069
Matatizo ya mifupa na viungo yamekuwa changamoto Sana kwa watu wengi na hasa wanapofika umri was miaka 30 na kuendelea.Hapa Sasa mtu ataanza kuhisi maumivu makali kwenye magoti,pingili za mgongo,nyonga na shingoni pia wapo ambao viungo vyao huuma mwili nzima kutokana na upungufu was madini muhimu K**a vile zink na calcium

Kitaalamu matatizo haya yamegawanyika katika makundi makuu manne (4) nayo ni_
1:osteoarthritis- ambayo viungo vinasagana kutokana na kulika kwa gegedu(cartilage) na Ute kuisha kwenye maungio

2:Rheumatic Arthritis--hii ni ile Hali ya Kinga ya mwili kutafuna gegedu(cartilage) hii hutokea kwa watu wa umri wowote

3:Osterporosis--hii ni ile Hali ya mifupa kuwa dhaifu na kuwa rahisi kuvunjika na hutokana na upungufu wa madini ya calcium

4:Gaut Arthritis--hii inasababiswa na uric acid (kemikali inayotokana na protini ya nyama)

Dalili za matatizo ya mifupa kwa ujumla

@ . Maumivu kwenye maungio
@ .Viungo kushindwa kujikunja
@ .kusikia milio ya kusagana Viungo
@ .Kukaza kwa Viungo
@ . Kushindwa kuinama au kuinuka baada ya kukaa kwa mda flani
@ .Kuhisi ganzi kwenye miguu na kuwaka Moto kwa miguu

Sababu zinazoleta haya matatizo ya mifupa

@ .Uzito uliopindukia
@ .Historian ya familia
@ .Ajali
@ .kutumikisha viungu kupita kiasi mfano mazoezi makali
@ .Kisukari pia huleta madhara kwa mifupa na Viungo


Changamoto katika kutibu haya matatizo

@ .Watu wengi wanatumia dawa za kutuliza maumivu
*Dawa za maumivu hutuliza maumivu tu kwamda na baadae Maumivu hurudi Tena maana hazisaidii kuongeza Cartilage (gegedu) Wala uteute

wengi wanafanyiswa mazoezi
*Mazoezi huwasaidia watu kwa muda mfupi na baadae hurudi Tena tatizo

*Kwahiyo watu wengi wenye tatizo la viungu kulika na kusagana huishia kufanyiwa upasuaji wa Viungo kwa gharama kubwa Sana

Madhara ya kukaa na tatizo hili kwa mda mrefu

@ . Kushindwa kukunja Viungo kabisa
@ .Kuvunjika kwa urahisi kwa mifupa
@ .Kushindwa kutembea kabisa
@ . Kushindwa kupanda ngazi
@ .kupata maumivu makali Sana Kila siku
@ .Miguu kuwaka Moto na kufa ganzi
@ .Kuvimba kwa miguu na sehemu zingine za mwili

Matibabu ya uhakika kwa matatizo ya mifupa na Viungo

✓ Kuna virutubisho maalum kutoka nchini (India ,China,Korea na America) ambavyo hurudisha uteute na gegedu kwa haraka na kukufanya urudi katika Hali yako ya kawaida
✓Pia huondoa maumivu ya Viungo na mifupa
✓Huimarisha mifupa kwa kuongeza madini ya calcium na zinc

Tunapatikana Dar es salaam ilala boma
Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia

Tell.0688813111
Karibu kwa ushauri na Tina ya uhakika

Pia tunatoa Elimu bure kwa GROUP letu la whatsapp GUSA LINK HII kujiunga
👇🏿

https://chat.whatsapp.com/KXCYGYPxaQ35HDlwxDOgqk

Address

Ilala
Dar Es Salaam
12101

Telephone

+255629996042

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na kapile posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya na kapile:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram