Golden Glove

Golden Glove I help Business Owners To Grow Their Business Online.

20/11/2023
04/06/2023

Karibu

Kujifunza kuhusu Ugonjwa Wa Kisukari, mafunzo yatakuwa kwa njia ya mtandao Wa WHATSAPP ambapo utajifunza mambo mengi.

Darasa hili kujiunga ni BURE kabisa, k**a utapenda kujiunga Na darasa hili BOFYA kitufe cha WHATSAPP hapo chini.

Au tuma neno DARASA kwenda namba 0627 502951

Naitwa Madini,
Nawasaidia wenye Kisukari kupata suluhisho LA kudumu kupitia Elimu Na Ushauri.

Asante Na Karibu

01/06/2023

Karibu sana,

Tumekuandalia darasa LA BURE kwa njia ya mtandao Wa WHATSAPP ambalo utajifunza kwa undani hatua 3 za kufuata ili kupata suluhisho LA kudumu la ugonjwa Wa Kisukari.

Hatua 3 Utakazojifunza Ni:

1. Kujua chanzo hasa cha tatizo

2. Mambo 3 ya msingi ya kuzingatia kuweza kutatua tatizo.

Na...

3. Jambo gani LA kufanya MARA MOJA kuweza kutokomeza tatizo hilo.

Kujiunga na DARASA NI BURE K**a utapenda kujifunza, basi BOFYA kitufe cha WHATSAPP hapo chini

Au tuma neno DARASA kwenda namba 0627 502 951

Naitwa Dr. Madini, Mkurugenzi Wa Kampuni ya GOLDEN GLOVE

Unatuamini Na Tunakujali

17/05/2023

Ikiwa unaishi na Kisukari, Kampuni ya GOLDEN GLOVE inakuletea huduma ya USHAURI Bure kabisa kwa njia ya simu au WhatsApp.

Tupigie au WhatsApp kupitia namba ya simu 0627 502951

Muda kuanzia asubuhi SAA 3 hadi jioni SAA 9

Karibu tukuhudumie!

Stay happy & stay healthy!

I help Business Owners To Grow Their Business Online.

14/05/2023

Karibu sana,

Tumekuandalia darasa LA BURE kwa njia ya mtandao Wa WHATSAPP ambalo utajifunza hatua 3 za kufuata jinsi ya kupata suluhisho LA ugonjwa Wa Kisukari.

Hatua 3 Utakazojifunza Ni:

1. Kujua chanzo hasa cha tatizo

2. Mambo 3 ya kuzingatia kuweza kutatua tatizo hilo

3. Jambo gani LA kufanya MARA MOJA kuweza kutokomeza tatizo hilo

Darasa hili ni BURE

K**a utapenda kujifunza, basi kujiunga Na darasa hilo BOFYA kitufe cha WHATSAPP hapo chini

Au tuma neno DARASA kwenda namba 0627 502 951

Naitwa Dr. Madini, Mkurugenzi Wa Kampuni ya GOLDEN GLOVE

Unatuamini Na Tunakujali

14/05/2023

Karibu sana,

Tumekuandalia darasa LA BURE kwa njia ya mtandao Wa WHATSAPP ambalo utajifunza hatua 3 za kufuata jinsi ya kupata suluhisho LA ugonjwa Wa Kisukari.

Hatua 3 Utakazojifunza Ni:

1. Kujua chanzo hasa cha tatizo

2. Mambo 3 ya kuzingatia kuweza kutatua tatizo hilo

3. Jambo gani LA kufanya MARA MOJA kuweza kutokomeza tatizo hilo

Darasa hili ni BURE

K**a utapenda kujifunza, basi kujiunga Na darasa hilo BOFYA kitufe cha WHATSAPP hapo chini

Au tuma neno DARASA kwenda namba 0627 502 951

Naitwa Dr. Madini, Mkurugenzi Wa Kampuni ya GOLDEN GLOVE

22/04/2023

Jifunze njia rahisi kabisa ya kudhibiti Kisukari kwa kutumia Vyakula Hai vinavyopatikana katika mazingira yetu tunayoishi.

Kupitia uzoefu wangu utajifunza jinsi nilivyoweza kudhibiti kisukari na kurudisha afya yangu.

Nimekuandalia Darasa BURE kabisa kwa njia ya WhatsApp!

Karibu! Kujiunga ni BURE, bofya link hapo chini au comment hapo chini, au nitumie ujumbe Wa WhatsApp kwa namba 0627 502 951

LET FOOD BE YOUR MEDICINE

Moja  ya  maswali ninayoulizwa  mara  kwa  mara  kutoka  kwa  wafanyabiashara  hususani wanaojaribu  kupata  wateja  kup...
15/04/2023

Moja ya maswali ninayoulizwa mara kwa mara kutoka kwa wafanyabiashara hususani wanaojaribu kupata wateja kupitia mtandao ni “kwanini watu hawanunui kutoka kwangu”?

Sio siri kuwa mtandao wa Internet ni HAZINA kubwa sana ya kupata wateja.

Na hazina hii inazidi kuzalisha wateja siku hadi siku kwa kasi kubwa.

Mfano mzuri takwimu za Statcounter inaonesha watanzania milioni 29 wanatumia mtandao wa Facebook, hizi ni takwimu za mwezi Machi 2022 hadi mwezi Machi 2023.

Kwahiyo, k**a wewe ni mfanyabiashara unayehangaika kupata wateja kupitia mtandao au kuuza bidhaa mtandaoni basi nina habari njema sana kwani nimekuandalia OFA ya USHAURI wa BURE kabisa.

Kwa jina naitwa Dotto Makina, mtaalam wa Digital Marketing na mkurugenzi wa kampuni ya Blackopal.

Kampuni inayowasaidia wafanyabiashara k**a wewe kuweza kutumia MTANDAO WA INTERNET KUNASA WATEJA K**A SMAKU. Yaani SMAKU YA MTANDAO.

Smaku ya Mtandao ni mfumo wa masoko ya mtandao unaotengenezwa kwa ajili ya:
1. Kukusanya taarifa za wateja wako watarajiwa
2. Kuwaelimisha
3. Kujenga uaminifu na
4. Kuuza bidhaa au huduma kwa niaba yako.

Hapa niseme mfanyabiashara yoyote asiyemiliki Smaku ya Mtandao atakuwa hajaonja matunda ya internet.
Kwa sababu mtandao unakupa fursa kubwa sana ya kupata wateja wenye hamu ya kununua bidhaa na huduma unazozitoa kwa kubofya vitufe viwili tatu tu.

UTARATIBU WETU WA KUTOA USHAURI

1. Tunachambua Biashara Yako
Hapa tunakuhoji kwa kina kupata kutambua biashara gani unafanya na bidhaa na huduma unazowapa wateja wako wahusika. Vile vile tutaangalia jinsi gani ya kuboresha bidhaa hizo.

2. Tunachambua Soko Lako
Hapa tunaumiza kichwa na kuchambua wateja husika watakaopenda kununua bidhaa au huduma unazozitoa. Tunaangalia kiundani bidhaa na huduma zako zitawafaa watu wa namna gani na vile vile kuchambua sifa za watu hao. Wao ni nani? Wapo wapi? Wana matatizo gani unayoweza kuyatatua? Kitu gani kitawasukuma kununua bidhaa zako? n.k

3. Mkakati Wa Masoko Kupitia Mtandao
Baada ya hapo tunapanga mkakati makhsusi kwa ajili ya kuwanasa wateja husika wa biashara yako kupitia mtandao. Kutokana na sifa za wateja wako, tutapata picha wateja wako watarajiwa wapo wapi na tutatumia utaratibu gani ya kuwapata na ni njia gani itakuwa rahisi wao kuwapata.

Kwa kipindi kifupi tunatoa OFA ya Ushauri BURE kabisa ili upate mwongozo wa kutatua tatizo lako.

ili usipitwe na hiyo OFA hakikisha unafanya booking sasa hivi kwa kupiga simu namba 0627502951 au comment namba yako ya simu ya watsapp hapa chini.

Au nitumie ujumbe wa watsapp kwenda namba 0627502951.

Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako,

Dotto Makina, Mkurugenzi, Blackopal

Welcome Blackopal!
15/04/2023

Welcome Blackopal!

I help Business Owners To Grow Their Business Online.

Address

Near Nyerere Bridge Kigamboni
Dar Es Salaam
256

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255627502951

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Golden Glove posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Golden Glove:

Share