Afya ya uzito

Afya ya uzito Karibu ujifunzee mbinu za asili za kupunguza uzito ukiwa nyumbani kwako.

Hello habari za mdaa huuu niko nahabari njemaa kwao  najua wengi tume enjoy sanaaa. *Sasa challenge yetu itakua special*...
21/11/2020

Hello habari za mdaa huuu niko nahabari njemaa kwao najua wengi tume enjoy sanaaa.
*Sasa challenge yetu itakua special*
Tutakua na washindi wanne. Mwanamke, Mwanaume katika kipengele cha uzito na mwili.
So kila mshindi atapewa 250,000🔥🔥🔥🔥
Sasa basi ili mtu aingie kwenye challenge/group la whatsapp atatoa 10,000 kwa mteja wangu then ili ashiriki kwenye kupata pesa then atahitaji yeye au wewe kumtolea 10,000. Mm nitamtoleaa kila mtejaa wangu yoyote yule atakae chukuwa c9 yake na atawezaa kuwepo kwenye ilo group mm nitaharamiaa iyo elfu 10,000 ili uweze kuwepo

*Challenge ni ya siku 24, itakua na vionjo ambavyo havijawahi kutokea, aisee usiokose*

Promo anze rasmi sasa. Njoo nikupee muongozo mapemaa

Call
Whatsapp
0778749710

Andikaa neno challenge

16/11/2020
JE  KITAMBI, UNENE NA MANYAMA UZEMBE BADO NI CHANGAMOTO KWAKO? UMEJARIBU  KUFANYA  MAZOEZI  NA  KULA  BAADHI  YA  VITU  ...
02/11/2020

JE KITAMBI, UNENE NA MANYAMA UZEMBE BADO NI CHANGAMOTO KWAKO?
UMEJARIBU KUFANYA MAZOEZI NA KULA BAADHI YA VITU KUVIPUNGUZA AU KUONDOA LAKINI BADO UJAFANIKIWA?

USIKATE TAMAA, tunayo program maalumu itakayo kufanya upunguze uzito, unene, kitambi, na manyama uzembe kwa haraka.

PRODUCT ZETU HAZINA MADHARA JUU YA AFYA YAKO YA SASA NA YA BADAE.

WASILIANA NAMI KWA HARAKA ZAIDI
whatsapp/call/text
+255778749710

TUNATUMA PRODUCT ZETU MIKOANI NA NCHI JIRANI✔️✔️
FREE DELIVERY KWA WAKAZI WA DAR✔️✔️✔️

LEO NINA OFA KWA AJILI YAKO WEWE UNAETAKA KUPUNGUA UZITO AMA KUONDOA MANYAMA UZEMBEWatu wengi sana wameanza Kufirahia hu...
02/11/2020

LEO NINA OFA KWA AJILI YAKO WEWE UNAETAKA KUPUNGUA UZITO AMA KUONDOA MANYAMA UZEMBE

Watu wengi sana wameanza Kufirahia huduma na elimu wanayoipata kutoka kwangu .loss_c
Na UKIISHAIPATA HUDUMA YANGU MATOKEO YA UHAKIKA LAZMA UYAPATE.

KWANINI UTESEKE NA UZITO MKUBWA AMA UNENE WAKATI KWANGU NDANI YA SIKU 9 TU UNAANZA KUFURAHI KWA UTAKAVYOONA MATOKEO MAZURI.

JARIBU LEO NA WALA HAUTOJUTA HATA KIDOGO KUICHAGUA HUDUMA YANGU.

Kwa mawasiliano ya haraka na upesi zaidi wasiliana nam kwa
WHATSAPP/TEXT/CALL
+255778749710
+255778749710

PIA KUMBUKA KUNIFOLLOW INSTAGRAM loss_closs_c

C9
09/10/2020

C9

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
09/10/2020

🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Haya ni matokeo kwa wateja ambao wametumia c9 na wamepata haya matokeo mazurJe na ww ungependaa kupata haya matokeo ili ...
09/10/2020

Haya ni matokeo kwa wateja ambao wametumia c9 na wamepata haya matokeo mazur

Je na ww ungependaa kupata haya matokeo ili uwezee kufurahiaa afyaa yako uwezee kujiona mwepensi na mwenye afya njema

Kwa maelezo zaidii kupata muongoz nipigie cm
0778749710

Whatsapp
0778749710

UGONJWA WA UNENE ✍️DALILI ZA UNENE ULIO PITILIZA (OBESITY)KUTOKWA NA JASHO MDA MWING,UPWEKE ,KUKOROMA USINGIZINI,KUSHIND...
08/10/2020

UGONJWA WA UNENE

✍️DALILI ZA UNENE ULIO PITILIZA (OBESITY)

KUTOKWA NA JASHO MDA MWING,UPWEKE ,KUKOROMA USINGIZINI,KUSHINDWA KUPUMUA VIZUR ,KUCHOKA MARA KWA MARA NA KUSHINDWA KUFANYA BAADHI YA SHUGHULI NDOGO NDOGO ,MAUMIVU SEHEMU MBALI MBALI ZA VIUNGO ,KUTO KUJIHAMINI NA KUISHIA KUKAA NDANI MDA MWING

Tatizo la unene limekuwa liki kithiri miongoni mwa jamii yetu na bila kujua unene ni ugonjwa hatari au sababu ya kupata magonjwa hatarishi

Ugonjwa wa unene , husababishwa na ongezeko la kupita kiasi Cha mafuta ndani ya mwili ikiambatana na uzito uwiano chakula kinaocho ingia na utumikaji wake ndani ya mwili

Ugonjwa wa unene utawala sehem za juu ya mwili hasa tumboni kwa wanaume na hivyo kupata kitambi ,na kuathiri moyo na upumuaji na shughuli zingne za ndani ya mwili

Kwa mwanamke hutawala sehem za chini ya mwili hasa kuathiri miguu , magoti ,nyonga kutokana na uzito mkubwa

✍️SHIDA YA UNENE

Watu wenye unene wapo hatarin kupata matatizo ya fwatayo

1.SHINIKIZO LA DAMU (blood pressure B.P)

2.KISUKARI (hasa type 2)

3.MISHIPA MIKUU YA DAMU KUATHIRIKA

4 . MATATIZO YA VIA ZA UZAZI KWA WANAWAKE (KUSHINDWA KUPATA MIMBA NA HATA KUJIFUNGUA KWA SHIDA)

5 SHIDA YA FIGO NA KONGOSHO

6MATATIZO YA KIFUA (KUSHINDWA KUPUMUA)

7KUCHOKA ,KUKOSA FURAHA , KUSHINDWA KUTULIA ,USINGIZI WA MARA KWA MARA ,KICHWA KUUMA ASUBUH
8 MATATIZO YA MIFUPA /VIUNGO (KUVUNJIKA NYONGA NA KUSHINDWA KUTEMBEA)

9.MATATIZO YA HERNIA

10.KIPINDI CHA MIMBA
kisukari Cha mimba
Kifafa Cha mimba
Kujifungua mtoto mwenye ulemavu wa maumbile

11.KUBEUA MARA KWA MARA

12.KUNA SHIDA SANA WAKATI WA UPASUAJI WA MTU MNENE NA HIVYO KUWA HATARINI NA UMAUTI

13 MSONGO WA MAWAZO AKIFIKILIA MAUMBILE YAKE NA KUMPUNGUZIA UJASIRI

14KUPATA HADHA YA KUTENGWA NA JAMII MAKAZINI NA SHULENI

15 KUWA TEGEMEZI NA KUHITAJI MSAADA SEHEMU MBALIMBALI

16 UNENE PIA NI CHANZO CHA KANSA (CANCER)

17KUSHINDWA KUTIMIZA TENDO LA NDOA KWA UFASAHA

Baadhi ya magonjwa yanaweza pelekea mtu kuwa mnene K**a matatizo ya akili
Pia baadhi ya matumizi ya dawa yanaweza changia K**a dawa za uzazi wa mpango ,corticoids na dawa za matatizo ya akili



✍️SABABU ZA UNENE(OBESITY)

URITHI NDANI YA FAMILIA HUSIKA

KUKOSA USINGIZI WA KUTOSHA

UNENE WA UTOTONI ,UNAWEZA ENDELEA MPAKA UKUBWANI

UMRI , UNENE HUONGEZEKA NA UMRI

MATATIZO YA AKILI K**A STRESS , DEPRESSION

KULA VYAKULA VYENYE CALORIES NYINGI (MFANO VYAKULA VYA MAFUTA NA SUKARI )

KUKOSA MAZOEZI /KUKAA SEHEM MOJA KWA MDA MREFU

✍️NAMNA YA KUZUIA UNENE
Mazoez ya Mara kwa Mara kwa mda mrefu

Chakula kizur kwa mpangilio mzuri kwa mda mrefu kuzingatia calories

Kutibu matatizo ya stress na depression

Kutibu matatizo ambayo yashajitokeza K**a moyo na upumuaji

Kwamaelezo zaidii piga simu
0778749710

Mm naitwa fahad mustafa ni miliki halali kabisa wa pegi hii  ya uzito  ya uzito  nimeamuwa kujitambulisha vizur ili kuwe...
23/09/2020

Mm naitwa fahad mustafa ni miliki halali kabisa wa pegi hii ya uzito ya uzito nimeamuwa kujitambulisha vizur ili kuweza kuwatowa was was wateja wangu wote has wa mikoa ya mbali na DAR ES SALAM kwa Tanzania 🇹🇿 pia na walio nje ya njii pia wanapohitaji huduma lakini wanakuwa na hofu ya kutuma pesa zao kwa kuogopa kutapeliwa ,
Historia yangu kwa kiufup nina uzoefu wa miaka miwili (3) sasa nikisaidia watu kupunguza uzito uliopitiliza matumbo (vitambi) na minyama uzembe kwa kiafya kwa kutumia VIRUTUBISHO , VYAKULA NA MAZOEZI bila ya kuathir afya yao kwa maelezo zaidi au k**a kuna mtu yoyote amabe unaona unaewezaa kumsaidia naomba uniunganishe nae kupitia whatsapp Text number ; +255778749710

Asante🙏

Loose your weight in C9 days aloeveragel
09/09/2020

Loose your weight in C9 days

aloeveragel

Unaona ni kiasi gani UNENE unazeesha Una sababu nyingi za kufanya C9  sio tu kwasababu utapungua Lakini kwasababu C9  in...
09/09/2020

Unaona ni kiasi gani UNENE unazeesha Una sababu nyingi za kufanya C9 sio tu kwasababu utapungua Lakini kwasababu C9 inapromote cell regeneration Huondoa cells zilizoharibika na kuallow mpya zitengenezwe ndio maana k**a unafanya C9 mara kwa mara ; utapokea sana comments za Mbona k**a unazidi kuwa kijana Ofcourse unaondoa TAKA MWILI (TOXINS) na unapunguza uzito Kitambi manyama uzembe

Kwa maelezo zaidii
Call/whatsapp
0778749710


Njoo na lengo lako la kupungua Nitakupatia muongozo na plan ya kutimiza kisha tutaanza kulifanyia kazi Amua kuanza iliku...
09/09/2020

Njoo na lengo lako la kupungua Nitakupatia muongozo na plan ya kutimiza kisha tutaanza kulifanyia kazi Amua kuanza ilikuwezaa kupata matokeomazurikujionamwepesi nakuwana afya njema

Kwa maelezo zaidii
Call/whatsapp
0778749710


Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00

Telephone

+255778749710

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya uzito posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram