Afya ya uzazi kwa wanawake

  • Home
  • Afya ya uzazi kwa wanawake

Afya ya uzazi kwa wanawake Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya ya uzazi kwa wanawake, Medical and health, .

TIBA YA  MIFUPA NA MAUNGIO KWA  WASUMBULIWAO NAMAUMIVU YA NYONGA,  KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?  MSHAURI: +2557456...
19/07/2023

TIBA YA MIFUPA NA MAUNGIO KWA WASUMBULIWAO NA
MAUMIVU YA NYONGA, KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?

MSHAURI: +255745677364
➡▪Hasa maumivu ya kusambaa kutoka kwenye nyonga mpaka kwenye goti

Tatizo hili huweza humpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo na kukamata katika vifupa vilivyo kwa chini
karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja na kuwepo katika vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya yatoke kwa ndani na kusambaa nje yaani katika eneo la kiuno.

Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno au nyonga yakawa peke yake. Nyonga huunganisha miguu na mifupa ya mapaja inayotengeneza kiuno. Nyonga ndiyo inayofanya utembee, inakuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine, kukaa na kuruka.

SABABU ZINAZOPELEKEA MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA (mifupa kwa ujumla)

1.Kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo. Zipo dawa za kuacha kujichua na kurudisha nguvu zilizopotea.
2.Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo
3.Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo.
4.mawazo (stress).
5.kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya mto.

MADHARA YA MAUMIVU HAYO NI K**A YAFUATAYO;

1.Hupelekea miguu na mikono kufa ganzi na kuwaka moto
2.hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili na kushindwa kutembea (kupata kilema cha kudumu)
3.hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia.
4.Unaweza kushindwa kutembea kabisa /kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala.

Habari njema ni kwamba baada yakufanya utafiti wa kina kwa mda mrefu sasa tiba imepatikana,tiba ya uhakika na ya haraka
Kwa matibabu ya haraka na sahihi wasiliana nasi,+255745677364

12/07/2023

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya uzazi kwa wanawake posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram