Mfalme Wa Afya

Mfalme Wa Afya MAALUMU KWA KUJIFUNZA JUU YA AFYA,USHAURI NA ATA KUPATA MSAADA JUU YA MATATIZO SUGU YA KIAFYA.

KWA UIMARA WA KINGA YA MWILI NA KUONDOA SUMU, AGIZA MARA TU UONAPO PICHA HIITEXT/CALL/WASAP 074236823860 Caps At 160,000...
28/08/2025

KWA UIMARA WA KINGA YA MWILI NA KUONDOA SUMU, AGIZA MARA TU UONAPO PICHA HII
TEXT/CALL/WASAP 0742368238
60 Caps At 160,000 Tzs

Miili Yetu Ikikosa Chakula,Huanza Kujila,Huanza Kujisafisha,Huondoa Seli Dhaifu,Saratani Na Shida Za Kusahau...Sasa Unaj...
26/10/2024

Miili Yetu Ikikosa Chakula,Huanza Kujila,Huanza Kujisafisha,Huondoa Seli Dhaifu,Saratani Na Shida Za Kusahau...Sasa Unajua Faida Ya Kushinda Njaa...Code 2626
K**a Unapambana Na Magonjwa Yasiyo Ya Kuambikizwa Yatokanayo Na Insulin Resistance...Basi Tupo Kwaajili Yako
Tuwasiliane Kwa Wasap 0742368238

Maswali Muhimu..
Nawezaje Kupungua Uzito?
Nawezaje Kupona Insulini?
Nawezaje Kupona Shida Za Moyo?
Nawezaje Kupunguza Uzee??
ni Kwaajili Yako

Afya Ni Mchakato, Amua KuufuataKwa Changamoto Za   na Magonjwa MingineWasap 0742368238
14/10/2024

Afya Ni Mchakato, Amua Kuufuata
Kwa Changamoto Za na Magonjwa Mingine
Wasap 0742368238

Kwanini UTI Yako Haiishi??  UTI Sugu Imekua Ni Changamoto Ya Mda Mrefu Hasa Kwa Wamama Na Wadada Wengi, Hali ii Imepelek...
07/09/2024

Kwanini UTI Yako Haiishi??
UTI Sugu Imekua Ni Changamoto Ya Mda Mrefu Hasa Kwa Wamama Na Wadada Wengi, Hali ii Imepelekea Wengi Kupoteza Hamu Ya Kushiriki Tendo La Ndoa Na Wengine Ata Kuwa Na Hofu Pale Linapokuja Suala La Mahusiano.
Wengine Imewafanya Kuwa Na Wasisi Hasa Wanapokua Katika Kundi La Watu
Zifuatazo Ni Baadhi Ya Njia Za Kujikinga Usipate UTI Za Mara Kwa Mara Yaaani UTI Sugu
Kwa Msaada Wasap(0742368238)

UGUMBA KWA MWANAMKEIkiwa Mwanamke Yupo Katika Ndoa Kwa Takribani Miezi 12 Na Anashiriki Tendo La Ndoa Kisawasawa Bila Ku...
06/09/2024

UGUMBA KWA MWANAMKE
Ikiwa Mwanamke Yupo Katika Ndoa Kwa Takribani Miezi 12 Na Anashiriki Tendo La Ndoa Kisawasawa Bila Kushika Ujauzito,Basi Jua Kabisa Uko Na Shida Katika Mfumo Wako Wa Uzazi.
Na Utakua Mgumba K**a Ikiwa Mmeo Yuko Sawa Yaani Hana Changamoto Ya Uzazi.
Kiafya Zipo Sababu Nyingi Ambazo Huweza Kupelekea Mwanamke Kushindwa Kushika Ujauzito.
Unaweza Kupona Changamoto Yoyote Ya Uzazi Na Ukashika Ujauzito,Usikukubali Kukata Tamaa K**a Haujavuka Miaka 50
Endelea Kupambana Endelea Kuamini Endelea Kutamani Kuitwa Mama
Kwa Msaada Wasap 0742368238

Kuwa Makini Na Matumizi Ya SukariSukari Ni Hatari Kwa Afya Yako Na UstawiSukari Inachangia Katika Magonjwa Ya Moyo,Kisuk...
12/11/2023

Kuwa Makini Na Matumizi Ya Sukari
Sukari Ni Hatari Kwa Afya Yako Na Ustawi
Sukari Inachangia Katika Magonjwa Ya Moyo,Kisukari,Presha,Uzito Mkubwa, Kupoteza Kumbukumbu,Kuzeeka Mengineyo.Soma Kwa Picha Kidogo Aina Za Sukari...
Kwa msaada Na Changamoto Zozote Za Kiafya
Wasap 0742368238

Unataka Kusimamiwa? Unataka Kupoteza Uzito...Ili Kupata Uzito UnaoStahili Kuna Vitu Vya Msingi Vya  KufanyaKujua Zaidi W...
20/09/2023

Unataka Kusimamiwa? Unataka Kupoteza Uzito...Ili Kupata Uzito UnaoStahili Kuna Vitu Vya Msingi Vya Kufanya
Kujua Zaidi Wasap 0742368238

16/08/2023

Sugar Au Sukari

Mfano Wa Ute Wa Ovulation Huu Ute Unaashiria Mfumo Wako Wa Uzazi Upo Safi Mayai Yanapevuka Kipindi Upatapo Ute Huu Ndich...
14/01/2023

Mfano Wa Ute Wa Ovulation Huu Ute Unaashiria Mfumo Wako Wa Uzazi Upo Safi Mayai Yanapevuka Kipindi Upatapo Ute Huu Ndicho Kipindi Ambacho Ukikutana Kimwili Unabeba Mimba Kirahisi..
Vipi,Huwa Una Upata Mama Au Dada?
Wasap 0763981901 Upate Msaada

UVIMBE KWENYE KIZAZIFIBROID NI NINI?Siku Hizi Kuna Ongezeko Kubwa Sana La Huu Ugonjwa Hebu Tega Sikio.Fibroid Ni Uvimbe ...
13/01/2023

UVIMBE KWENYE KIZAZI

FIBROID NI NINI?
Siku Hizi Kuna Ongezeko Kubwa Sana La Huu Ugonjwa Hebu Tega Sikio.
Fibroid Ni Uvimbe Ambao Hutokea Kwenve Tumbo La
Kizazi Ambao Huu Uvimbe Unaweza Kuwa Ndani Ya Kizazi(Ukutani Mwa Kizazi) Au Ndani Ya Nyama Ya Kizazi Na Nje Kwenye Ukuta Wa Kizazi.

Kuna Aina Nyingi Na Baadhi Ndio Hizi.....
1. Submucosal Fibroids (Ndani Ya Kizazi)
2.Intramural Fibroid (Ndani Ya Yyama Za Kizazi)
3. Subserosal (Nje ya Kizaz)

Watu Wafuatao Wako Hatarini Kupata Ugonjwa Huu Fibroids
1.Mwanamke Ambae Hajawahi Kupata Mtoto Mpaka Umri Mkubwa
2.Miaka Kuanzia Kubarehe Mpaka Hedhi Kukoma
3.Kurithi
4.Unene
5.Kuingia Hedhi Mapema

Kwa Msaada,Wasap 0763981901...

Afya Ndio Utajiri Pekee Wa Maisha Ya MwanadamuKila Mmoja Wetu Anao Wajibu Wa Kutunza Afya Yake Na Ya Wale Wanao Mzunguka...
13/01/2023

Afya Ndio Utajiri Pekee Wa Maisha Ya Mwanadamu
Kila Mmoja Wetu Anao Wajibu Wa Kutunza Afya Yake Na Ya Wale Wanao Mzunguka
Watoto Wetu Pia Hupitia Changamoto Ambazo Hudhoofisha Afya Zao
K**a Kuna Changamoto Ya Kiafya Yako Na Ya Vijana Wako Usisite Kuwasiliana Nasi Kwa Ushauri Na Msaada
Wasaap 0763981901

PELVIC INFLAMMATORY DISEASE(PID)   Kwa Kifupi Hujulikana K**a PID,Ni Maambukizi Ya Bakteria Katika Mfumo Wa Uzazi Ambayo...
10/10/2022

PELVIC INFLAMMATORY DISEASE
(PID)
Kwa Kifupi Hujulikana K**a PID,Ni Maambukizi Ya Bakteria Katika Mfumo Wa Uzazi Ambayo Hupelekea Uvimbe Katika Eneo Lote La Mfumo Wa Uzazi,Mfumo Wa Uzazi Wa Mwanamke Ni Mgumu Sana,Na Matokeo Yake Kwakua Wanawake Wengi Hawa Uelewi Mfumo Uu, Wanajikuta w
Wanapata Magonjwa Mengi Ya Kujirudiarudia Ikiwemo PID.
Bakteria Wa PID h
Husambaa Kutoka Katika Uke Na Kufika Maeneo Ya Juu K**a Uteras Na Ovari, PID Ni Moja Ya Magonjwa Ambayo Huchangia Kutokea Kwa Ugumba Kwa Wanawake Na Shida Nyingine.
K**a Mpenzi Wako Ana Shida Ya PID Ni Vyema Apate Tiba Kwanza Ndipo Suala La Mapenzi Liendelee,Kumbuka Bakteria Wa PID Ni Wale Wanaotokana Na Magonjwa K**a Kisonono Na Klamedia.

CONTACTS
Wasap/Call 0742368238



Address

Makumbusho, Dar Es Salaam
Kinondoni

Telephone

+255742368238

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mfalme Wa Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram