Afya kwanza

Afya  kwanza tunatoa hudumaa za afya

Boresha Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula.
03/04/2025

Boresha Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula.

Fangasi ukeni inaepukika. Kwa maelezo zaidi piga namb 0675787893 au tuma ujumbe WhatsApp karibu Sana.
03/04/2025

Fangasi ukeni inaepukika. Kwa maelezo zaidi piga namb 0675787893 au tuma ujumbe WhatsApp karibu Sana.

TATIZO LA FANGASI UKENI NA TIBA YAKE _Nutraceutical Expert Cindy_ Fangasi ni ugonjwa  - unaowasumbua watu wengi na kuwak...
01/04/2025

TATIZO LA FANGASI UKENI NA TIBA YAKE
_Nutraceutical Expert Cindy_

Fangasi ni ugonjwa - unaowasumbua watu wengi na kuwakosesha raha hata ya kuwa na wenza wao mana gonjwa hili ni la aibu,fangasi kwa wanawake kitaalam inaitwa (vaginal candidiasis)

Ni Fangasi - maalum wanaoshambulia sana katika kuta za sehem za siri za wanawake,kwa upande wa wanaume fangasi hizi huathiri sana kende na baadhi ya sehem za mistar ya mapaja,leo tuangalie tatizo hili kwa undani,tupate elimu.

NINI HUSABABISHA FANGASI
✍️Kuvaa mavazi yenye joto kali,hasa nguo za ndani kwa upande wa wanawake na wanaume pia

✍️Usafi binafsi,hasa kwa upande wa kina mama kutokana na maumbile yao.

✍️Kuvaa nguo zenye unyevu(unyevu na joto ni mazingira mazuri ya makazi ya fangasi)

✍️Kulala bila kusafisha sehem za siri mara baada ya kumaliza tendo la ndoa(kwa wanawake)

✍️Kutojikausha vizuri sehem za siri mara baada ya kujisaidia haja ndogo(wanawake)

✍Mazingira unayo ishi k**a Ni Machafu n.k

✍️Kuambukizwa Na mtu Mwingine kulipitia ngono au kushirikiana nguo au vitu vingine

✍️Mabadiliko ya Homoni Hupelekea pH Ya Uke kubadilika na Kupelekea Fangasi Kuanza kujitokeza

UTAJUAJE K**A UNA TATIZO HILI?

✍️Muwasho mkali usio vumilika sehem za siri(Jinsia zote).

✍️Kutokwa na uchafu Mweupe/kijivu/Njano sehem za siri(wanawake)

✍Kutoa harufu mbaya isio vumilika sehem za siri(wanawake)

✍Maumivu makali chini ya kitovu(Jinsia zote).

✍Kuchunika kwa ngozi na kuhisi k**a kende zinawaka moto(wanaume)

✍Maumivu wakati wa kukojoa(Jinsia zote k**a tatizo litakuwa sugu)

✍Kujirudia kwa muwasho mkali hata mara baada ya kutumia dawa kadhaa za fangasi(Jinsia zote).

✍️Uke Mkavu,Maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa Mwanamke

JE KUNA TIBA YA TATIZO HILI
✍Kabla hujaanza kifikiria tiba ya fangasi, anza kwanza kubadilisha mfumo wako wa maisha yani uepukane na visababishi vyote vinavyopelekea fangasi wazaliane katika sehem zako za siri
✍Tiba ipo ila lazima ujue hio fangasi ulionayo inaonesha dalili gani na je ni sugu au ndio inaanza, kwa kuwa kila mtu anajua lilivyo muathiri.
NITAJUAJE K**A FANGASI IMEKUWA SUGU KWANGU?
✍k**a umeitibu zaidi ya mara moja lakini baada ya siku chache dozi kuisha inajirudiaa.

DALILI 15 ZA HATARI KWA MWANAMKE    _usichukulie poa_ Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake huziona ni za kawaida na kuz...
31/03/2025

DALILI 15 ZA HATARI KWA MWANAMKE

_usichukulie poa_

Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake huziona ni za kawaida na kuzipuuza lakini baada ya muda huona madhara makubwa yanayogharimu afya zao za uzazi.

Hapa nimekuwekea baadhi ya dalili ambazo hupaswi kuzipuuza pale zinapokutokea.👇

🍍Kupata Maumivu makali chini ya
kitovu yanayo ambatana na maumivu
ya kiuno,

🍍 Kuhisi maumivu na hali ya
kuchomachoma wakati wa haja
ndogo,

🍍 Miwasho sehemu za siri ndani au nje
ya uke,

🍍Kutokwa na ute ukeni usio wa
kawaida, ute huu unaweza kuwa wa
njano, mweupe, kijani, kahawia, au
uliochanganyika na damu hizi ni dalili
za maambukizi katika via vya uzazi,

🍍Kupata maumivu makali wakati wa
tendo la ndoa,

🍍 Kuhisi k**a kuna kitu kinasukumwa
kinachouma wakati wa tendo la ndoa,

🍍 Kutokwa na hedhi bila mpangilio,

🍍Kupata maumivu makali sana wakati
wa hedhi,

🍍 Kutokwa na damu ya hedhi yenye
mabonge au nyeusi sana,

🍍 Kutokwa na damu ya hedhi mfurulizo
bila kukata zaidi ya siku 7 na
kuendelea,

🍍Hedhi kujirudia ndani ya mwezi
mmoja zaidi ya mara mbili au tatu,

🍍 Kutopata hedhi kwa muda mrefu
wakati si mjamzito na bado
hajafikia umri wa kukoma hedhi,

🍍Kupata vipele vinavyouma na
kuwasha sehemu za siri,

🍍 Kuvimba na kuwa mwekundu kati
midomo ya nje ya uke,

🍍 Uke kuwaka Moto.

Matibabu Yangu hutegemea na Hatua ambayo tatizo lako limefikia

Kwa Ushauri Na Matibabu zaidi

Gusa hapa👉 wa.me/255675787893

Piga simu 0794387893

JINSI YA MAMA MJAMZITO KUKABILIANA NA HALI YA KUTAPIKA / KICHEFUCHEFU●Takribani kila mwanamke anaguswa na hii hali katik...
31/03/2025

JINSI YA MAMA MJAMZITO KUKABILIANA NA HALI YA KUTAPIKA / KICHEFUCHEFU

●Takribani kila mwanamke anaguswa na hii hali katika kipindi fulani cha ujauzito na hii hupelekea familia au mama mjamzito kuwa na hofu juu ya maisha yake na kiumbe kilichopo tumboni,

●Kwa kawaida, wanawake wajawazito hutapika wakati mimba bado ni changa na hali hii huisha mimba inapokomaa na kufikia wiki 16, ingawa kwa wengine huweza kuendelea kutapika hadi wakati wa kujifungua.

Hali ya kujisikia kutapika kwa kawaida huweza kudumu kwa saa moja hadi saa nne na wengine huweza kutapika wakati wote wa siku huku wengine wakitapika asubuhi au jioni

•Kutapika zaidi huchagizwa na mabadiliko ya mwili na vichocheo vya mwili yaani homoni, na hali hii ya maisha ya mwanamke huweza kubadilika ingawa hutofautiana kati ya mwanamke mmoja na mwingine,
mabadiliko hayo ya vichocheo huweza hata kumfanya mwanamke mjamzito kuwa na mitazamo tofauti na baadhi ya vitu kwa mfano kuchukia harufu ya vitunguu,chakula fulani,kumchukia mtu fulani au eneo fulani na mabadiliko mengine

MADHARA YA KUTAPIKA SANA

•Kupoteza maji kwa wingi (dehydration), kuwa dhaifu, na kupata msongo wa mawazo.

•Mwanamke anapotapika sana hupoteza wingi wa virutubisho ambavyo ni muhimu kwa mwili wake na kwa makuzi ya mtoto wake.

●USHAURI
•Mama mjamzito ale mkate mkavu mara baada ya kuamka asubuhi na maji ya uvuguvugu.

•Mjamzito ale chakula kidogo kikavu usiku

•Mjamzito epuka kula kiasi kikubwa cha mlo badala yake kula vitafunwa kila baada ya saa moja au mbili na kunywa vinywaji na maji mengi.

•Kula vyakula vyenye protini kwa wingi, k**a karanga, matunda aina ya tufaa, vyakula vya nafaka, mayai ya kuchemsha, maziwa, maziwa mtindi au ‘yoghurt’

SULUHISHO
Nina virutubisho maalum vya kumsaidia Mjamzito kuondoa hali ya kichefu chefu na kutapika ndani ya siku 2 tu


Piga👉 0794397893

Whatsap👉 wa.me/255675787893

𝗧𝘂𝗻𝗮𝘁𝗶𝗯𝗮 𝗺𝗮𝗮𝗹𝘂𝗺𝘂 𝗸𝘄𝗮𝗮𝗷𝗶𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝗪𝗮𝗻𝗮𝘄𝗮𝗸𝗲 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘆𝗼 𝗶𝘁𝗮𝗸𝘂𝘀𝗮𝗶𝗱𝗶𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗶𝗯𝘂 𝗧𝗮𝘁𝗶𝘇𝗼 𝗹𝗮 𝗙𝗮𝗻𝗴𝗮𝘀𝗶 𝗦𝘂𝗴𝘂 𝗻𝗮 𝗠𝗮𝗴𝗼𝗻𝗷𝘄𝗮 𝗺𝗲𝗻𝗴𝗶𝗻𝗲 𝘆𝗮 𝘀𝗲𝗵𝗲𝗺𝘂 𝘇𝗮 ...
28/02/2025

𝗧𝘂𝗻𝗮𝘁𝗶𝗯𝗮 𝗺𝗮𝗮𝗹𝘂𝗺𝘂 𝗸𝘄𝗮𝗮𝗷𝗶𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝗪𝗮𝗻𝗮𝘄𝗮𝗸𝗲 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘆𝗼 𝗶𝘁𝗮𝗸𝘂𝘀𝗮𝗶𝗱𝗶𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗶𝗯𝘂 𝗧𝗮𝘁𝗶𝘇𝗼 𝗹𝗮 𝗙𝗮𝗻𝗴𝗮𝘀𝗶 𝗦𝘂𝗴𝘂 𝗻𝗮 𝗠𝗮𝗴𝗼𝗻𝗷𝘄𝗮 𝗺𝗲𝗻𝗴𝗶𝗻𝗲 𝘆𝗮 𝘀𝗲𝗵𝗲𝗺𝘂 𝘇𝗮 𝗦𝗶𝗿𝗶.

Fika Ofisini Kwetu au Wasiliana Nasi Sasa Kupitia;

☎️ 0675787893 /0748040595



2) 𝗠𝗮𝘁𝗶𝗯𝗮𝗯𝘂 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝘄𝗮/Tiba maalumu (𝗣𝗵𝗮𝗿𝗺𝗮𝗰𝗼𝗹𝗼𝗴𝗶𝗰𝗮𝗹 𝘁𝗿𝗲𝗮𝘁𝗺𝗲𝗻𝘁)Mgonjwa atakapo bainika na ugonjwa wa presha ataanzishiwa ma...
31/01/2024

2) 𝗠𝗮𝘁𝗶𝗯𝗮𝗯𝘂 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝘄𝗮/Tiba maalumu (𝗣𝗵𝗮𝗿𝗺𝗮𝗰𝗼𝗹𝗼𝗴𝗶𝗰𝗮𝗹 𝘁𝗿𝗲𝗮𝘁𝗺𝗲𝗻𝘁)

Mgonjwa atakapo bainika na ugonjwa wa presha ataanzishiwa matibabu kulingana na dawa ipi itafanya kazi kwake haraka, gharama za dawa/tiba, na magonjwa yaliyoambatana na ugonjwa wake wa presha.

𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗭𝗔 𝗛𝗬𝗣𝗘𝗥𝗧𝗘𝗡𝗦𝗜𝗢𝗡 𝗛𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗭𝗜𝗙𝗨𝗔𝗧𝗔𝗭𝗢: 👇

✍️ Husaidia kushusha kiwango cha lehemu mwilini (𝗖𝗵𝗼𝗹𝗲𝘀𝘁𝗲𝗿𝗼𝗹).
✍️ Hupunguza/kubalance uzito.
✍️ Husafisha na kuboresha Mishipa ya damu kuruhusu damu kupita kiurahisi.
✍️ Huboresha Afya ya moyo.

𝗞𝗪𝗔 𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 📝
Tembelea Ofisi Zetu Zilizopo Nchi Nzima au Wasiliana Nasi Leo Kupitia

☎️ +255(0)675787893
☎️ +255(0)748040595

𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗬𝗔 𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦𝗨𝗥𝗘(SHINIKIZO LA JUU LA DAMU)𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗮𝗶𝗻𝗮 2 𝗸𝘂𝘂 𝘇𝗮 𝗠𝗮𝘁𝗶𝗯𝗮𝗯𝘂:1) Matibabu yasiyotumia dawa (𝗡𝗼𝗻-𝗣𝗵𝗮𝗿𝗺𝗮𝗰𝗼𝗹𝗼𝗴𝗶...
31/01/2024

𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗬𝗔 𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦𝗨𝗥𝗘(SHINIKIZO LA JUU LA DAMU)

𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗮𝗶𝗻𝗮 2 𝗸𝘂𝘂 𝘇𝗮 𝗠𝗮𝘁𝗶𝗯𝗮𝗯𝘂:

1) Matibabu yasiyotumia dawa (𝗡𝗼𝗻-𝗣𝗵𝗮𝗿𝗺𝗮𝗰𝗼𝗹𝗼𝗴𝗶𝗰𝗮𝗹 𝘁𝗿𝗲𝗮𝘁𝗺𝗲𝗻𝘁) Hebu tuanze na matibabu yasiyotumia dawa.

✍️𝗣𝘂𝗻𝗴𝘂𝘇𝗮 𝘂𝘇𝗶𝘁𝗼: mpaka uzito uwe sawa na urefu wako, naomba nikwambie k**a wewe una presha afu ni mnene unapoteza muda kwani ugonjwa huu utakutesa sana na utalazwa mara kwa mara.

✍️𝗣𝘂𝗻𝗴𝘂𝘇𝗮 𝘂𝗻𝘆𝘄𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗣𝗼𝗺𝗯𝗲: kunywa pombe kupita kiasi huathiri mifumo mingi ya mwili na k**a una presha haitashuka bali itakutesa mpaka ikuue hivyo k**a we unakunywa pombe fuata viwango vya kiafya vya kunywa pombe. Bia mbili kwa mwanaume ndani masaa 24 na bia moja kwa mwanamke ndani ya masaa 24 na kila bia moja ikinywewa kwa muda wa saa moja.

✍️𝗙𝗮𝗻𝘆𝗮 𝗺𝗮𝘇𝗼𝗲𝘇𝗶 𝗮𝗻𝗴𝗮𝗹𝗮𝘂 𝗻𝘂𝘀𝘂 𝘀𝗮𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗸𝘂: hii itakusaidia kupunguza mafuta yaliyoganda nadani ya mishipa ya damu na kushusha cholesterol nyingi ambayo ni hatari kwa afya yako. Mafuta haya ndio yanafanya presha ya damu inakua juu na husababisha vifo vya ghafla kwa sababu ya kuziba mishipa inayopeleka damu kwenye mo…

𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗦𝗛𝗜𝗡𝗜𝗞𝗜𝗭𝗢 𝗟𝗔 𝗝𝗨𝗨 𝗟𝗔 𝗗𝗔𝗠𝗨 👇Dalili za presha mara nyingi hua hazipatikani kirahisi na ugonjwa huu hauna dalili m...
31/01/2024

𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗦𝗛𝗜𝗡𝗜𝗞𝗜𝗭𝗢 𝗟𝗔 𝗝𝗨𝗨 𝗟𝗔 𝗗𝗔𝗠𝗨 👇

Dalili za presha mara nyingi hua hazipatikani kirahisi na ugonjwa huu hauna dalili maalumu na wakati mwingine huja kulingana na chanzo cha presha hiyo k**a nilivyoeleza kwenye secondary hypertension. Baadhi ya Dalili za Shinikizo la juu la damu ni k**a ifuatavyo:

✍️Kichwa kuuma Kutokwa damu puani.
✍️Kupumua kwa shida. Kuishiwa nguvu sana sana.
✍️Mapigo ya Moyo kwenda mbio (𝗣𝗮𝗹𝗽𝗶𝘁𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻)
✍️Kutokwa jasho kwa wingi
✍️Uonaji hafifu (𝗕𝗹𝘂𝗿𝗿𝗲𝗱 𝘃𝗶𝘀𝗶𝗼𝗻)

𝐍𝐁; 𝗞𝗜𝗣𝗜𝗠𝗢 𝗞𝗜𝗡𝗔𝗖𝗛𝗢𝗧𝗨𝗠𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗜𝗠𝗔 𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦𝗨𝗥𝗘/𝗛𝗬𝗣𝗘𝗥𝗧𝗘𝗡𝗦𝗜𝗢𝗡Kupima presha kwa kutumia kipimo cha presha kitaalamu k**a 𝗦𝗽𝗵𝘆𝗴𝗺𝗼𝗺...
31/01/2024

𝐍𝐁; 𝗞𝗜𝗣𝗜𝗠𝗢 𝗞𝗜𝗡𝗔𝗖𝗛𝗢𝗧𝗨𝗠𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗜𝗠𝗔 𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦𝗨𝗥𝗘/𝗛𝗬𝗣𝗘𝗥𝗧𝗘𝗡𝗦𝗜𝗢𝗡

Kupima presha kwa kutumia kipimo cha presha kitaalamu k**a 𝗦𝗽𝗵𝘆𝗴𝗺𝗼𝗺𝗮𝗻𝗼𝗺𝗲𝘁𝗲𝗿 ambacho ikiwa mgonjwa atapimwa mara tatu kwa siku tatu tofauti masaa na kukutwa presha yake iko juu ya kawaida atahesabiwa k**a mgonjwa wa presha na matibabu yake yataanza haraka. hata hivyo mgonjwa anatakiwa apimwe baada ya dakika tano za kupumzika k**a alikua kwenye mizunguko yake.

Vipimo vingine huchukuliwa na daktari kujaribu kujua chanzo cha ugonjwa na madhara ambayo mgonjwa anaweza kua ameshayapata kutokana na ugonjwa huo ni X ray ya moyo kuangalia ukubwa wa moyo, kuangalia wingi wa lehemu kwenye damu (𝗖𝗵𝗼𝗹𝗲𝘀𝗿𝗲𝗿𝗼𝗹), ultrasound za figo zote kuangalia k**a kuna shida yeyote huku, kipimo cha maabara cha mkojo kuangalia k**a figo zimenza kupitisha vitu visivyotakiwa kutoka k**a damu na kadhalika na kupima sukari kuangalia k**a mgonjwa ana kisukari kwani magonjwa haya huambatana mara nyingi.

𝗠𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗬𝗔 𝗨𝗚𝗢𝗡𝗝𝗪𝗔 𝗪𝗔 𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦𝗨𝗥𝗘✍️Kupooza mwili na kushindwa kutembea kitaalamu k**a  kiharusi(𝗦𝘁𝗿𝗼𝗸𝗲).✍️Figo ku...
31/01/2024

𝗠𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗬𝗔 𝗨𝗚𝗢𝗡𝗝𝗪𝗔 𝗪𝗔 𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦𝗨𝗥𝗘

✍️Kupooza mwili na kushindwa kutembea kitaalamu k**a kiharusi(𝗦𝘁𝗿𝗼𝗸𝗲).
✍️Figo kushindwa kufanya kazi na kufa.
✍️Moyo kushindwa kufanya kazi.
✍️Kupofuka kabisa.
✍️Kuharibika vibaya kwa mishipa ya damu.
✍️Husababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share