SANI AFYA BORA

SANI AFYA BORA NASAIDIA WANAWAKE KUMALIZA CHANGAMOTO ZA KI-AFYA ZINAZO ATHILI MIFUMO YAO YA UZAZI.

30/09/2022

*ZINGATIA NA KUFUATA NJIA HIZI 5 ILI KUSHIKA UJAUZITO HARAKA*

Fanya mabadiliko haya kwenye lishe yako ili kuongeza uzazi wako.

*Mdalasini*
Mdalasini inaweza kusaidia ufanyaji kazi mzuri wa ovari na hivyo kuwa na ufanisi katika kupambana na utasa.

Inasaidia hata katika matibabu ya PCOS, moja ya sababu kuu za utasa.

*Jinsi ya kutumia:*

Ongeza kijiko 1 cha unga wa mdalasini kwenye kikombe cha maji ya moto.

Kunywa mara moja kwa siku kwa miezi michache.

Jumuisha mdalasini katika mlo wako kwa kunyunyiza unga wa mdalasini kwenye nafaka yako, oatmeal na mtindi.

Kitunguu saumu
Harufu kali ya vitunguu inapaswa kukuzuia kuwa mzazi.

Unaweza tu kuingiza vitunguu katika mlo wako wote kwa wiki kadhaa na kusubiri habari njema.

Pia unaweza kutafuna karafuu 2 au zaidi za vitunguu swaumu na kufuatiwa na glasi ya maziwa kila asubuhi.

Nutmeg na sukari
Hii ni dawa nyingine inayojulikana na iliyojaribiwa ya kutibu utasa wa k**e.

Ni mojawapo ya tiba bora za nyumbani kwa utasa wa k**e.

Jinsi ya kutumia:
Chukua 3gm nutmeg poda na 3gm sukari.

Changanya poda zote mbili vizuri na uhifadhi kwenye chombo kisichopitisha hewa
Changanya na kikombe kimoja cha maziwa ya ng’ombe na kunywa kila siku wakati wa mzunguko wako wa hedhi.

Anza kunywa kutoka siku ya kwanza na kuendelea hadi mwisho wa kipindi chako.

*Pilipili ya unga*

Ongeza viungo kwenye supu na kitoweo chako msimu huu wa sikukuu na uongeze uwezekano wako wa kushika mimba.

Poda ya pilipili ina kiasi cha kutosha cha vitamini A ambayo hutimiza ulaji wa kila siku wa mtu.

Mbali na hilo, huchangia katika kudumisha macho na kutunza mifupa, meno, ngozi, utando wa ndani na mifumo ya uzazi.

*Manjano*

Manjano pia ni antioxidant yenye nguvu ambayo ina uwezo wa kusaidia mwili kupigana na radicals bure, ambayo huzuia kuzorota kwa tishu na kuzuia molekuli zinazochochea uchochezi.

Utafiti unaonyesha kuwa manjano yana manufaa ya kimatibabu katika kutibu hali ya uchochezi ya viungo, misuli n

SOMO NO.1TUANZE NA UGONJWA WA U.T.I Kwanza kabisa kirefu cha cha herufi U.T.I ni URINARY TRACT INFECTION ikimaanisha ni ...
30/07/2022

SOMO NO.1

TUANZE NA UGONJWA WA U.T.I

Kwanza kabisa kirefu cha cha herufi U.T.I ni URINARY TRACT INFECTION ikimaanisha ni
maambukizi yanayotokana na bacteria kwenye njia ya mkojo.

Msomaji anapaswa kujua njia ya mkojo ni ipi, inaanzia wapi na inaishia wapi.

Kwa ujumla njia ya mkojo inaanzia kwenye mrija wa mkojo kwa mwanaume na mwanamke.

Mrija huu unajulikana k**a URETHRA na ukishapata maambukizi ugonjwa sehemu hii unaitwa URETHRITIS.

Njia ya mkojo inayofuata baada ya urethra ni BLADDER yaani kibofu.

Wanawake wanakua na urethra fupi 4cm kulinganisha na wanaume 25cm hivo hali hiyo
hupelekea wanawake kupata U.T.I kwa urahisi zaidi tofauti na wanaume.

Kibofu kikipata maambukizi ugonjwa unajulikana k**a CYCITITIS.

Baada ya kibofu inafuata
mirija miwili inayo kwenda kwenye figo mbili.

Mirija hii inaitwa ureters na
ikishaambukizwa inajulikana k**a URETITIS.

Na mwisho wa njia ya mkojo ni figo mbili yaani kidneys na hizi figo zikishaambukizwa ugonjwa unajulikana k**a NEPHRITIS

VYANZO VYA MAAMBUKIZI
Visabibishi vya ugonjwa huu huambatana na chanzo cha tatizo katika mojawapo ya
sehemu husika.

Ugonjwa wa sukari hufanya kiwango cha sukari kuwa kikubwa kwenye damu.

kwa vile mafigo kazi yake ni kuchuja damu hivyo sukari huingia kwa wingi kiasi cha kusababisha vijidudu bakteria kuzaliana kwa wingi kwenye figo au kibofu cha mkojo kusababisha maambukizi.

 Madawa /sumu huchubua utando wa njia ya mkojo na kusababisha bacteria
kuzaliana kwa wingi.

 Matatizo ya vijiwe kwenye figo/ mirija ya mkojo, kibofu, hufanya msongomano
wa mkojo na Vijidudu kuzaliana.

 Maradhi ya Tunda Prostate gland huvimba na kufunga njia ya mkojo matokeo yake kuuzuia na kuuweka mkojo mda mrefu kwenye kibofu mpaka bacteria
kuzaliana.

 Tendo la ndoa, sexual intercouse unapata vijidudu moja kwa moja kutoka kwa
mwanamke mwenye maambukizi.

 Kujichua, tendo hili mara nyingi watu hutumia mafuta au sabuni ambazo zina kemikali zinazop

14/06/2022
03/06/2022
MAUMIVU YA TUMBO KWA CHINI UPANDE WA KUSHOTOSehemu ya kushoto ya tumbo lako kwa chini hupatikana mwishilizo wa utumbo mk...
14/05/2022

MAUMIVU YA TUMBO KWA CHINI UPANDE WA KUSHOTO

Sehemu ya kushoto ya tumbo lako kwa chini hupatikana mwishilizo wa utumbo mkubwa.

Pia kwa upande wa wanawake sehemu hii hupatikana ovari ya kushoto.

Katika hali za kawaida maumivu ya tumbo kwa chini upande wa kushoto sio jambo la kuogopesha sana.

Kwani maumivu haya yanaweza kuondoka yenyewe bila ya kuhitaji uangalizi wa kidaktari.

Je na wewe ni mmoja kati ya wanaosumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa shini upande wa kushoto?

Je una muda gani na tatizo hili?. makala hii ni kwa ajili yako. Hapa nitakwenda kukujuza sababu za maumivu ya tumbo sehemu ya chini upand wa kushoto.

K**a nilivyotangulia kukuijuza kuwa maumivu haya si jambo la kuogopesha. Basi ni vyema kwa haraka ukamuona daktari endapo utaona dalili zifuatazo:-

A.Homa
B.Sehemu husika kuwa na ugumu na maumivu
C.Kuvimba kwa tumbo
D.Kuona damu kwenye kinyesi
E.Kuendelea kuwa na kichefuchefu na kutapika kwa masik kadhaa
F.Kupungua uzito
G.Ngozi kuwa na njano.

Sababu za maumivu ya tumbo kwa chini upande wa kushoto
1.Kuwa na shida kwenye utumbo mkubwa.
Hii hutikea pale kwenye utumbo mkubwa kunapoota k**a vijifuko vijidogo.

Hivi sio jambo la kuogopa sana kiafya maana mara nyingi havina madhara na hupotea vyenyewe.

Hali hii huwapata sana wenye umri zaidi ya miaka 40. sasa ikitokea vijifuko hivi vimeshambuliwa na vijidudu huvimba na kuleta maumivu ya tumbo kwa chini upande wa kushoto. Dalili zake ni k**a:-

A.Homa
B.Kichefuchefu
C.Kutapika
D.Tumbo kujaa na kuiwa gumu
E.Kuharisha
F.Kukosa choo

2.Gesi tumboni.
Sababu nyingine ni kujaa gesi tumboni.

Gesi tumboni inaweza kusababishwa na:-
A.Kumeza hewa sana
B.Kula kupitiliza
C.Kuvuta sigara
D.Kutafuna bigjii
E.Chakula kutokumeng’enywa vyema
F.Kula vyakula vyenye gesi
G.Kuwa na bakteria kwenye utumbo mkubwa.

3.Kuvimbiwa ama chakula kutokumeng’enywa vyema tumboni. Hali hii huplekea maumivu ya tumbo kwa juu. Maumivu haya wakati mwingine husambaa na kuathiri chini ya tumbo upande wa kushoto.

Mtu pia

11/05/2022

SIKU YA KUPATA UJAUZITO

Naomba uangalie hapa majibu ya swali lako
👇👇👇👇👇👇👇👇

Kawaida wanawake walio wengi mzunguruko wa siku zao ni siku 28 lakini wapo ambao ni zaidi ya hapo na wapo ambao ni chini ya hapo.

Sasa ni ipi siku ya kutolewa kwa yai kwa wanawake hawa?.

Kikawaida yai hutolewa (ovulation) kwa makadiria ya siku 12 mpaka 16 kabla ya kupata hedhi nyingine.

Yaani unaweza kuhesabu kabla ya kuingia hedhi siku 12 nyuma, kisha toa siku 4 mnyuma ndani ya siku nne z**i ndizo yai hutolewa.

siku hizi ndizo moja wapo yai hutolewa.

Kwa mfano:--

1.Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21, sasa tunatoa siku 12 nyuma kabla ya kuingia hedhi (21 - 12 = 9) kisha toa nne nyuma (9-4=5) basi mwanamke huyu anaweza kutoa yai kati ya siku ya 5 na 9 katika siku zake.

2.Mwanamke mwenye mzunguruko wa siku 32: tunaanza kutoa siku 12 nyuma kabla ya kupata hedhi yake (32-12=20) tonatoa siku nne tena nyuma (20-4=16) kwa hiyo mwanamke huyu anaweza kutoa yai kati ya siku ya 16 mpaka 20
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

09/05/2022

ZUIA MAAMBUKIZI YA U.T.I SUGU FANGASI SUGU NA P.I.D

SASA NIWAKATI WAKO WA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO HIZII.

Baada ya kuwasaidia wengi sasa ni zamu yako

Wengi waliofanikiwa niwale wenye kujari Afya zao k**a na wewe ni mmoja wao na unaijari Afya yako hii ni kwaajili yako.

Nimekuandalia mafunzo ya BUREE kupitia whatsApp

Ambako utajipatia mafunzo jinsi ya kuondokana na changamoto hizo na utajifunza namna ya kujitibu kwakutumia mimea asili.

Nitakupatia muongozo mpya wa aina ya vyakula vinavyo faa kuitokomeza changamoto uliyonayo.

https://wa.me/message/PEXKO76GWJQUM1

Bonyeza hapo juu ili urpuke aibu Dr ELYASI

HIZI NDIZO SABABU KUU ZINAZO SABABISHA   HARUFU MBAYA UKENI.Ni matumaini nyote mnaendelea vyema,Leo naona ni bora tukazu...
07/05/2022

HIZI NDIZO SABABU KUU ZINAZO SABABISHA HARUFU MBAYA UKENI.

Ni matumaini nyote mnaendelea vyema,
Leo naona ni bora tukazungumzia tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni maana watu wengi hudhani kuwa na harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchafu tu.

Na ndio maana wanaume huwachamba wake zao kuwa hawajuhi kujisafisha na kufanya wanawake kuongeza jitihada katika kujisafisha ukeni.

Hali hii hupelekea kwa baadhi ya wanawake kuanza kutumia manukato ili kupunguza hali hiyo na kufikiri hiyo ndiyo njia sahihi kumbe wanajiongezea matatizo makubwa katika sehem zao za uke.

leo napenda kuzungumzia tatizo hili linalowasumbua wanawake wengi na kuwaumiza vichwa kutokana kwamba lina athari kubwa sana kwani hufanya ndoa zao kudumaa na zingine kuharibika kabisa.

Kitaalamu Hali ya mwanamke kutokwa na maji yenye rangi nyeupe au njano ni Hali ya kawaida na sio tatizo Lakini endapo maji yanatoka yapo katika Hali ya ute mzito wenye rangi nyeupe au kahawia na yanatoa harufu kali au kuwasha hapo una tatizo

Majimaji au ute unaoteleza kutoka sehemu za siri ni njia inayowezesha viungo vya uzazi vya mwanamke kujisafisha au kutoa uchafu wa seli zilizokufa na mabaki ya damu ya hedhi nnje ya mwili pia huvikinga viungo vya uzazi dhidi ya maaambukizi ya bacteria.

Kwa kawaida huwa hayatoi harufu na huwa hayawashi na huwa na rangi nyeupe au njano pia huwa na asidi ya LACTIN ambayo huzuia bacteria kuzaliana

Mwanamke hutoa kiasi cha grams 2 za seli zilizokufa kutoka kwenye mji wa kizazi na grams 3 za ute mwepesi kila siku, kiwango hicho kinaweza kuongezeka au kupungua kutegemeana na mzunguko wa hedhi pia Kuna wakati ute huwa mwepesi na unaovutika na Kuna wakati pia huwa mzito wa rangi ya njano hautoi harufu.

VISABABISHI VYA TATIZO HILI

Sababu za kutokwa na uchafu ukeni una vyanzo vingi sana vifuatavyo ni vyanzo vya tatizo hili.

(1)BACTERIA VAGINOSIS

Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijafanikiwa kuwa wazi,kinachotokea ni kuongezeka kwa ghafla kwa idadi ya ya bacteria hawa na kubadili

Address

Mliman City
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SANI AFYA BORA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to SANI AFYA BORA:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram