Faraja Boresha Afya kwa Virutubisho

Faraja Boresha Afya kwa Virutubisho Utatuzi wa changamoto mbalimbali za Kiafya

Habari,,,,,ninatamani niwasaidie wanawake watano tuuu Leo hii,,,wasiliana nami kwa no +255 627861102.
27/01/2023

Habari,,,,,ninatamani niwasaidie wanawake watano tuuu Leo hii,,,wasiliana nami kwa no +255 627861102.

01/06/2022
Ni kwanin uone aibu juu ya Afya yako????Wasiliana nasi kwa utatuzi wa TEZI DUME BILA YA UPASUAJI.0627861102
10/05/2022

Ni kwanin uone aibu juu ya Afya yako????Wasiliana nasi kwa utatuzi wa TEZI DUME BILA YA UPASUAJI.
0627861102

27/04/2022

TEZI DUME NA KANSA YA TEZI DUME NA TIBA YAKE
+255627861102
Dalili za kupanuka kwa tezi dume

Dalili huonekana baada ya umri wa miaka ya hamsini . Karibu wanaume wote wenye umri wa sabini na themanini huwa na tatizo hili.Dalili huanza polepole na kuzidi jinsi miaka inavyoongezeka.Dalili hizi ni k**a zifuatazo:

Kukojoa mara nyingi hasa nyakati za usiku.Hii ni dalili ya mapema sana.
Kulazimika, mara nyingi hasa nyakati za usiku, kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka. Hata pale mgonjwa anahisi kibofu kimejaa. Hii ni dalili ya mapema sana.
Mkojo kutiririka polepole, hukatikakatika na hutumia nguvu kutoka.
Mkojo kushidwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa.
Mkojo kuendelea kutoka kidogokidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo huendelea kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani hulowa.
Kibofu hakiishi mkojo.
Matatizo ya tezi dume iliyotanuka

Tezi dume ikitanuka sana huleta matatizo mengi kwa wagonjwa wengine hali hii isipotibiwa. Matatizo hayo ni k**a yafuatayo:

Mkojo kukosa kutoka kabisa
Wagonjwa wenye tatizo hili lazima wawekewe katheta ili kumimina mkojo.
Madhara kwenye kibofu na figo
Kwa sababu ya kibofu kuwa na mkojo wakati wote, ukuta na misuli yake hupanuka na mwishowe hudhoofika hivi kwamba haiwezi kuzuia mkojo.
Kwa sababu ya kibofu kujaa
mkojo hurudi kwenye figo na mwishowe huharibu figo.
Ugonjwa wa tezi dume husababisha mkojo kutiririka polepole na mtu kukojoa mara nyingi hasa usiku.
Maambukizi na mawe
Kwa sababu kibofu hakimimini mkojo wote kuna hatari kubwa ya maambukizi kwenye njia ya mkojo nakuwa na mawe kwenye kibofu.
Kumbuka
Kutanuka kwa tezi dumehakusababishi ugonjwa wa saratani.

Utambuzi wa kupanuka kwa tezi dume
Historia na dalili zikiashiria uwepo wa hali hii, basi uchunguzi ufuatao hufanywe.
Uchunguzi wa ukubwa wa tezi

Uchunguzi huu hufanywa kwa kuingiza kidole chenye glavu nyuma hadi kwenye tezi dume. Daktari huweza kujua ukubwa na hali yake. Iwapo mtu ana ugonjwa huu tezi dume ni kubwa kuliko kawaida, laini na gumu yote pamoja. Iwapo tezi lina vifundo basi inaweza kuwa na kansa (saratani)au inaweza kuwa na

Dalili za tezi kilichopanuka na saratani hufanana.Lazima uchunguzi wa kina ufanywe ili kujua ni ugonjwa upi.

PIGA +255627861102 KWA MAELEZO ZAIDI

21/04/2022

TIBA YA ASILI KWA MAUMIVU YA VIUNGO NA VIUNGO KUSAGANA. (0627861102)

ARTHROEXTRA + ZAMINOCAL (TIBA YA MIFUPA KUSAGANA KATIKA MAUNGIO,, NA TIBA YA MAUMIVU YA VIUNGO )mfano
mgongo,nyonga,magoti nk

KWANZA, TUJIELIMISHE KIDOGO.🖐
KWA NINI MIFUPA HUSAGANA KWENYE VIUNGO NA KULETA MAUMIVU MAKUBWA?

=>KICHWA CHA MFUPA KATIKA VIUNGO KIMEZUNGUKWA NA MFUPA LAINI UITWAO GEGEDU(CARTILAGE)

KAZI YA GEGEDU(CARTILAGE ) NI KUZUIA MFUPA USISAGANE NA MFUPA MWENZAKE KWENYE VIUNGO,

PIA KUNA UTE UTE (SYNOVIAL FLUID) AMBAO NI GRISI YA VIUNGO,,HUSAIDA KULAINISHA MJONGEO(MOVEMENT)

MTU ANAPOFIKISHA MIAKA 30 CARTILAGE HUANZA KULIKA NA KUSABABISHA MIFUPA KUGUSANA NA KUSAGANA KWENYE VIUNGO HADI ULE UTE KUPOTEA,

HII HUSABABISHA MAUMIVU MAKALI KWENYE VIUNGO, HADI KUPELEKEA MTU KUSHINDWA KUJONGEA IPASAVYO,

TATIZO HUONGEZEKA UMRI UNAPOZIDI KUWA MKUBWA NA UZITO UNAPOONGEZEKA,
ARTHROEXTRA NA ZAMINOCAL PLUS NI ZA ASILI HAZINA KEMIKALI, IMETHIBITISHWA NA TFDA,kupata huduma piga 0627861102

*JE UNAKOSA CHOO AU CHOO CHAKO NI KIGUMU*-Kukosa choo ni tatizo ambalo limekuwa likiwakumba watu wengi Leo katk dunia, w...
23/12/2021

*JE UNAKOSA CHOO AU CHOO CHAKO NI KIGUMU*

-Kukosa choo ni tatizo ambalo limekuwa likiwakumba watu wengi Leo katk dunia, watu wamekuwa wakiteseka bula kujua nn chanz cha tatzo hilo na vpi kuliondoa tatizo hilo na wengine wamkuwa wakilipuuzia bla kujua madhra ambayo wanawez kuyapta kutokan na tatiz hili.

**SABAB ZA KUKOSA CHOO (CONSTIPATION)
1. Kupend kula SNA vyakula vilivyokobolewa (mfano ugali wa sembe, mkate n.k
2. Ukosefu wa mbogamboga za majani pamoja na matunda
3. Matumiz makubw ya pombe pamoj na sigara
4. Unywaji mdgo wa maji. Kila mtu anatik anywe maji Lita 3 kila sku na usinywe maji wkati wa kula.
5.matumizi mabaya ya madawa mfano dawa za presha
6.kuugua kisukari au ugonjwa wa misuli na kansa ya utumbo mpana

*MADHARA YATONAYO NA KUKOSA CHOO*

1.unweza ukapata bawasili
2. Unwez kupata tatizo LA tumbo kujaa gesi
3. Figo kutofanya kazi vzur
4. Kuleta magonjwa sugu k**a ya moyo, kisukari, pressure n.k

**USIKUBALI KUENDELEA KUBAKI NA TATIZO LAKO, TIBA YA TATIZO HILI LIPO NA UNWEZA UKAPONA KABISA NA KUREJESHA FURAHA YAKO**

kwa uhitaji wa tiba hii wasiliana nasi 0627861102

Njoo tuzungumze,,,,Afya yangu mtaji Wang,,,,👍
06/12/2021

Njoo tuzungumze,,,,Afya yangu mtaji Wang,,,,👍

,Inawezekana miongoni mwa dalili hizi zipo zinazokutokea wewe na ni kwa muda mrefu,,,Wasiliana nasi kwa no 0627861102.
30/11/2021

,Inawezekana miongoni mwa dalili hizi zipo zinazokutokea wewe na ni kwa muda mrefu,,,Wasiliana nasi kwa no 0627861102.

24/10/2021

KINGA NA TIBA YA TEZI DUME BILA UPAUAJI.,(0753767954)
Tezi dume nini ..ni tez inayopatikana kwa mwanaume tu..ipo kuzunguka njia ya mkojo karibu na kibofu cha mkojo..kazi ya tezi dume ni kutengeneza majimaji ya shahawa,na kurutubisha mbegu za kiume yaani kuzipa chakula..
Mtu anapofukisha miaka arobaini na kuendelea hiyo tezi huanza KUVIMBA ikiibana njia ya mkojo.
Hivyo pale unapokojoa mkojo hauishi Kwenye kibofu unabakia..
Hapo MTU huanza kupata dalili zifuatazo.
1.kukojoa Mara kwa Mara Hasa nyakati za usiku.Mara Tatu au Zaidi
2.unapobanwa kukojoa huwezi kusubiri unatamani kukojoa papo hapo.
3.ukikojoa mkojo hauruki mbele unatoka kwa kasi ndogo sio k**a zamani
4.unatumia muda mrefu k**aliza mchakato wa kukojoa.
5.unapata ugumu kuanza mchakato wa kusukuma mkojo pindi unapokwenda haja ndogo
6.baada ya kumaliza kukojoa unajisikia tena hamu ya kukojoa tena unajihisi mkojo bado Upo Kwenye kibofu.
7..unapomaliza kukojoa mkojo unatoka kisirisiri na kolowanisha nguo ya Ndani .unajishangaa umelowana..
UKIONA UNA HIZO DALILI BASI UJUE TEZI YAKO IMEANZA KUVIMBA TAYARI..Yaani unatatizo LA uvimbe wa tezi dume..
Mara nyingi suluhisho imekua upasuaji lakini upasuaji ukifeli watu wanakosa nguvu za kiume..
Sasa KUNA SULUHUSHO..
Dawa ya asili inayokinga na kutibu tezi dume bila upasuaji. Imewasaidia wengi sana..haina kemikali, imetengenezwa kwa mtishamba unaoitwa prostaep(flavnoids na polypeptide) itakusaidia.imethibitishwa na Tfda,cGMP,na Halal,unaweza tumia kujitibu au kujikinga (0753767954)
Tazama video hapo chini kwa maelezo na ushauri

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Faraja Boresha Afya kwa Virutubisho posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Faraja Boresha Afya kwa Virutubisho:

Share