Dr Gaston na afya yako.

Dr Gaston na afya yako. karibu sana natoa HUDUMA ya elimu,ushauli na tiba juu ya changamoto za maungio na mfupa.

15/06/2024

TUMIA DETOX LIVE ONDOA SUMU MWILINI TIBU MAGONJWA HAYA.👇👇

DETOXLIVE husafisha mwili KWA Kuondoa SUMU mwilini. kuondoa madhara ya pombe,madawa ya kemikali, vinywaji vya kemikali na madhara ya mchanganyiko wa vyakula tunavyotumia.

Sumu mwilini husababisha magonjwa y katika FIGO , Mifupa na viungo , Inni Ni vema kujilinda na magonjwa haya tumia hii bidhaa . Ukiwa katika kundi mojawapo bidhaa hii ni ya lazima kwako . Umetumia madawa KWA muda mrefu , umri kuanzia miaka 40+ , unatumia kilevi chochote, wagonjwa wa mifupa ,figo na sumu.

TUMIA HII KWA SH. 65000 TU. NIpigie SAsa namba 0757898003 /0789012167 Message Dr. Gaston on WhatsApp.
https://wa.me/255757898003

NIPIGE NIKUSAIDIE PIA KUTIBU MAGONJWA YA MIFUPA NA VIUNGO, TEZI DUME, UZAZI KWA WANAUME NA WANAWAKE ,PRESSURE ,SUKARI NA MAGONJWA YA WATOTO.

0757898003
DR.GASTON
AFYA YAKO MAISHA YAKO.







karibu sana natoa HUDUMA ya elimu,ushauli na tiba juu ya changamoto za maungio na mfupa.

08/06/2024

MATUMIZI SAHIHI YA ALMOND NA KARANGA UNAPOPATA MAUMIVU YA MIFUPA NA VIUNGO. TUMIA VYAKULA KUJITIBIA FANYA KIPIMO NIPIGIE UANZE DOZI YAKO SASA .
0757898003.

08/06/2024

MAYAI GANI UTUMIE KUONDOA MAUMIVU YA MIFUPA NA VIUNGO. TAZAMA VIDEO HII KUJUA MATUMIZI SAHIHI YA MAYAI KWA WAHONJWA WA MIFUPA NA VIUNGO. FANYA KIPIMO TUMIA TIBA

08/06/2024

BAMIA KUMALIZA TATIZO LA KUSAGIKA KWA MAGOTI NYINGA NA PINGILI ZA MGONGO FAHAMU MATUMIZI SAHIHI SASA.

08/06/2024

MAUMIVU YA MIFUPA NA VIUNGO HUISHA KWA KUTUMIA PARACHICHI. ANGALIA MATUMIZI DAHIHI KUPONA MAGONJWA HAYA YA MIFUPA NA VIUNGO.

FAHAMU UMUHIMU WA PATA CHICHI KTK AFYA YA MIFUPA NA VIUNGO.
30/05/2024

FAHAMU UMUHIMU WA PATA CHICHI KTK AFYA YA MIFUPA NA VIUNGO.

27/04/2024

TATIZO LA MIFUPA NA VIUNGO LINATIBIKA.

EPUKA VITU VIFUATAVYO KUPONA MATATIZO HAYA.
1.Uzito mkubwa.
2.Kukatisha dozi.
3.Dawa za kutuliza Maumivu.
4. Kukaa eneo mmoja KWA muda mrefu.
5.Ukosefu wa mazoezi mepesi ya viungo.
6.Ukosefu wa vyakula vya kuboresha mifupa.

FANYA kipimo pata tiba kwaajili ya tatizo lako. KWA msaada wa haraka nipigie namba 0757898003




SULUHISHO LA MAUMIVU YA MAGOTI,NYONGA NA MGONGO BILA UPASUAJI.Watu hawa wapo hatarini zaidi kupata magonjwa ya Mifupa na...
21/10/2023

SULUHISHO LA MAUMIVU YA MAGOTI,NYONGA NA MGONGO BILA UPASUAJI.

Watu hawa wapo hatarini zaidi kupata magonjwa ya Mifupa na viungo.

1. Wenye umri wa miaka 40 +
2. Wenye uzito mkubwa.
3.Mgonjwa wa tezi dume.
4.Mtu aliyepata ajali.
5.Mama mjamzito (baada ya kujifungua)
6.wachezaji wa mpira.
7.wabebaji mizigo.
8.kazi za kukaa Muda mrefu.

Wengi katika makundi haya wanahangaika na changamoto za maumivu ya mgongo ,nyonga au Magoti. Wengi wamekuwa wakitumia dawa za kutuliza maumivu na changamoto hizi hujirudia na wengine kufanya upasuaji .

Dawa za kutuliza maumivu zimekuwa ni chanzo cha kuongeza maumivu haya baada ya Muda fulani.TUMIA VITU VIFUATAVYO UNAPOUGUA CHANGAMOTO HIZI.

Tumia vyakula kupunguza maumivu baada ya dawa za kutuliza maumivu. K**a vile bamia zikuzalishie ute, Samaki upate calcium na Omega o3 kuimalisha mifupa ,tumia supu ya kongoro ,karanga au korosho husadia kuleta hauweni uwapo mgonjwa.

TIBA
kupona kabisa changamoto hizi unaweza kutumia virutubisho asilia kwaajili ya nyonga,magoti na pingili za mgongo huweza kuzalisha ute wa kutosha ,kutatua tatizo la kulika au kusagika kwa nyonga ,magoti au pingili. Tumia muda wa miezi miwili. Na wengine hadi miezi mitatu. Kuzuia tatizo lisijiludie tena .

Kupata tiba wasiliana nami kwa namba 0757898003.Dr.Gaston Dar es salaam. Utapata mkoa wowote mgonjwa alipo.
muhimbili_tiba
Agha Khan Hospital
Muhimbili Mloganzila
Amana hospital kuttiyadi

AFYA YAKO MASHA YAKO.

29/09/2023

SURUHISHO LA MAUMIVU YA MGONGO, NYONGA, MAGOTI, MISULI NA GANZI.

Richa ya changamoto ya uzito,ajali,kazi mbalimbali na umri kuwa chanzo cha maumivu haya . Lakini wagonjwa wengi wamekuwa wakiugua Muda mrefu bila kupata suruhisho la kudumu.

Lipo kundi kubwa la watu wanaougua pingili za mgongo ,nyonga na magoti kila baada ya miezi au mwaka bila suruhisho la kudumua kuishia kutumia dawa za kutuliza maumivu.

Kundi kubwa pia lipo la wagonjwa wanaofanya mazoezi kwa Muda mrefu na kukata tamaa kwasababu ya maumivu kubaki palepale Richa ya mazoezi .

Kundi kubwa la wanapotumia mikanda ya mgongo, hata upasuaji na maumivu kurudia mala kwa mala.

JE wewe upo katika kundi gani ,haijalishi changamoto yako ni ya Muda gani unaweza kupona sasa bila upasuaji. Tibu mapema Kuepuka madhara MAKUBWA zaidi.

Tumia punguzo la bei Leo kupata tiba yako. Nipigie au nitumie ujumbe nieleze changamoto yako kwa ushauri na tiba zaidi. 0654979798 /0757898003

'AFYA YAKO MAISHA YAKO.'

27/09/2023

TIBA YA MAUMIVU YA GOTI,NYONGA,PINGILI ZA MGONGO NA MISULI. 0654979798

JE unajua uzito mkubwa,umri,shughuli zako, ajali,mambo ya uzazi hupelekea wengi kupata maumivu ya mifupa na kusagika? _Jitibie sasa_ 👇👇

Wapo watu wengi wenye maumivu ya viungo kwasababu ya ute ute kupungua, pingili kusagika,kupishana na hata kuachia nafasi, huku nyonga na magoti likiwa ni tatizo kubwa katika jamii . _Tumekuletea_ 👇👇

Katika siku ya maulidi na mapunziko ya weekend nimekuandalia gharama rafiki za matibabu ya virutubisho kuweza kuongeza Ute,Ute, na kuimalisha gegedu, kutibu mifupa iliyolika au kusagika,changamoto ya pingili za mgongo .

Aina zote tatu za virutubisho hivi ni vya Mfumo wa vidonge na havina kemikali kwa silimia 100% huweza Tumika na mgonjwa anayetumia dawa mbalimmbali za hosptali bila madhara.wengi wamepata suruhisho la kudumu . _Punguzo_ 👇👇

Tumia punguzo hili kupata gharama rafiki za matibabu yako.Tumia dozi ya sh. 280,000. kwa sh. _*248,000.*_ Unaweza kuanza sasa. Wasiliana nasi huduma hii itakufikia popote ulipo ,dar es salaam pamoja na mikoani kupitia ofisi zetu unafikishiwa bila gharama yoyote ya usafili..

AFYA YAKO MAISHA YAHYO

karibu sana natoa HUDUMA ya elimu,ushauli na tiba juu ya changamoto za maungio na mfupa.

TIBA YA  MIFUPA NA MAUNGIO KWA  WASUMBULIWAO NAMAUMIVU YA NYONGA,  KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?  MSHAURI: +2556549...
25/09/2023

TIBA YA MIFUPA NA MAUNGIO KWA WASUMBULIWAO NA
MAUMIVU YA NYONGA, KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?

MSHAURI: +255654979798
➡▪Hasa maumivu ya kusambaa kutoka kwenye nyonga mpaka kwenye goti

Tatizo hili huweza humpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo na kuk**ata katika vifupa vilivyo kwa chini
karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja na kuwepo katika vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya yatoke kwa ndani na kusambaa nje yaani katika eneo la kiuno.

Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno au nyonga yakawa peke yake. Nyonga huunganisha miguu na mifupa ya mapaja inayotengeneza kiuno. Nyonga ndiyo inayofanya utembee, inakuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine, kukaa na kuruka.

SABABU ZINAZOPELEKEA MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA (mifupa kwa ujumla)

1.Kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo. Zipo dawa za kuacha kujichua na kurudisha nguvu zilizopotea.
2.Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo
3.Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo.
4.mawazo (stress).
5.kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya mto.

MADHARA YA MAUMIVU HAYO NI K**A YAFUATAYO;

1.Hupelekea miguu na mikono kufa ganzi na kuwaka moto
2.hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili na kushindwa kutembea (kupata kilema cha kudumu)
3.hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia.
4.Unaweza kushindwa kutembea kabisa /kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala.

Habari njema ni kwamba baada yakufanya utafiti wa kina kwa mda mrefu sasa tiba imepatikana,tiba ya uhakika na ya haraka
Kwa matibabu ya haraka na sahihi wasiliana nasi,+255654979798

Whatsap https://wa.me/c/2554979798

VYAKULA SALAMA KWA MGONJWA WA NYONGA,MGONGO NA MAGOTI.       Mifupa imeundwa kwa madini mbalimbali ikiwemo madini ya cal...
25/09/2023

VYAKULA SALAMA KWA MGONJWA WA NYONGA,MGONGO NA MAGOTI.
Mifupa imeundwa kwa madini mbalimbali ikiwemo madini ya calcium na phosphorus kwa kiasi kikubwa hvyo ili uweze kuwa na mifupa imara unahitaji kula vyakula vyenye calcium na phosphorus kwa wingi.vyakula hvyo ni k**a ifuatavyo
⚫Samaki.
samaki wana madini k**a calcium ambayo ni muhimu katika mifupa pia mafuta ya samaki (omega 3 fatty acids) yana umuhimu sana katika afya ya mifupa pamoja na mfumo wa damu.
⚫Mboga za majani.
tunapata calcium na vitamin mbalimbali ambavyo vinaweza kuimarisha mifupa na viunga pia zina uwezo wa kuzuia vimeng'enya hatari vinavyoweza kusababisha kuvimba na maumivu katika viunga.
⚫Matunda.
baadhi ya matunda yana lycopene na anthocyanins na vitamin C ambazo huepusha madhaifu ya mifupa matunda hayo ni k**a machungwa, nyanya,limao, strawberries, ndizi mbivu nk
⚫Mafuta.
vyakula vyenye kiasi kikubwa cha omega 3 mfano mafuta ya parachichi na mafuta ya mzeituni
⚫Maharage.
baadhi ya maharage ni mazuri katika afya mifupa mfano maharage ya
soya,maharage meusi nk haya virutubisho ambavyo vinaweza kuimarisha mifupa.
⚫Maziwa.
maziwa yana calcium na vitamin mbalimbali ikiwemo vitamin D ambayo husaidia ufyonzaji mzur wa calcium.
⚫Mayai.
Haya yana madini mbalimbali ikiwemo calcium na vitamins kwa wingi hvyo husaidia kuwa na mifupa imara.
⚫Vyakula vyenye phosphorus ni k**a ndizi mbivu,apples, broccoli,maharage nk

Tumekuandalia virutubisho lishe vya asili vimeandaliwa kwa kiasi ambacho kinahitajika na mwili kwa ajili ya kuimarisha mifupa vina uwezo wa kumsaidia mtu anayesumbuliwa na mifupa na kusuluhisha tatizo lake. Kwa maelezo zaidi na kupata virutubisho lishe wasiliana nasi kwa namba 0654979798

"AFYA YAKO MAISHA YAKO."

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Gaston na afya yako. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr Gaston na afya yako.:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram