18/12/2022
VYANZO VYA KUTANUKA KWA TEZI DUME
1,UMRI
Kila Mwanaume anazaliwa na tezi, kadri umri unavyozidi kwenda huwa inavimba na kutanuka na kumpa Mwanaume changamoto za mkojo na uzazi kwa kuanzia miaka 40 na kuendelea, japo wapo wanaopata chini ya huo umri kwa sababu zinginezo
2,KURITHI
Tatizo la tezi dume huweza kurithiwa pia. Yaani k**a baba yako ana tezi dume ama yeyote katika ukoo wako hapo mwanzo alikuwa na tezi dume, hivyo upo uwezekano na wewe kurithi tatizo hili.
3,Uwepo wa sumu nyingi na mafuta mengi mwilini,hasa katika mishipa na ogani za uzazi
4, Upasuaji wa korodani, matatizo ya kimaumbile ya korodani
5, Ukosefu wa lishe kamili na Upungufu wa virutubisho muhimu mwilini
6,Kutokukaa sawa kwa vichocheo mwilini
(Homon Imbalance)
7,Matumizi ya pombe kali na uvutaji wa sigara
Kwa Tiba Bora
Wasiliana nami kwa namba
0622 879093