Tibu tezidume bila upasuaji

Tibu tezidume bila upasuaji Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tibu tezidume bila upasuaji, Medical and health, ILALA, Dar es Salaam.

0744664677
25/06/2025

0744664677

TIBA THABITI YA CHANGAMOTO YA TEZI DUME BILA UPASUAJITezi dume ni nini?     Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia y...
23/06/2025

TIBA THABITI YA CHANGAMOTO YA TEZI DUME BILA UPASUAJI

Tezi dume ni nini?

Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji meupe mepesi yenye unato kidogo. Majimaji haya husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi.

Ipo wapi?

Tezi dume iko mwishoni mwa kibofu cha mkojo. Pia inauzunguks mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na na mrija wa mkojo wa uume (urethra) na iko mbele kidogo ya utumbo mpana ndani ya fupa la nyonga.

Saratani ya tezi dume ni nini?

Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani..Na hii hutokea pale ambapo chembechembe hai za tezi huasi na kuanza kujigawanya bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili, chembechembe asi hizi mwishowe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini

Visababishi hatarishi kwa saratani ya Tezi dume

1)Umri Mkubwa kuanzia miaka 50

2)Nasaba (ukoo wenye historia a saratani hii

3)Lishe hatarishi-nyama nyekundu kwa wingi, mafuta/samli,maziwa ya krimu

4)Unene uliokithiri

5)Ukosefu wa mazoezi

6)Upungufu wa virutubisho,mfano vit D.

7)Maambukizi ya mara kwa mara kwenye tezi dume

Dalili zake ni zipi?

1)Udhaifu katika utoaji wa mkojo, mkojo hauishi.

2)Kwenda kukojoa mara kwa mara.

3)Damu ndani ya mkojo.

4)Kushindwa kukojoa.

5)Maumivu ya kiuno na mifupa ya nyonga.

*Wagonjwa wengi huanza maumivu ya nyonga k**a ni dalili za awali.
Udhaifu katika utoaji wa mkojo pia kunaweza kutokea kwa kuvimba kwa tezi dume bila ya saratani.
Damu kwenye mkojo nakushindwa kumaliza mkojo ni ishara tosha ya kuwa tezi dume imeathirika.

madhara

1) upungufu wa nguvu za kiume
2) Maumivu ya Mara kwa mara wakati wa haja ndogo
3)kushindwa kushiriki tendo la ndoa
4)kifo

Tiba sahihi ya Tezi dume ni👇🏻👇🏻
👉🏻 ipo tiba sahihi ambayo itarejesha tezi dume katika hali ya kawaida na kuuwa seli zote za kansa dawa hii ni yenye virutubisho lishe visivyo na kemikali kabisa
👉🏻kwa maelezo na maswali binafsi ushauri binafsi na uhitaji wa dawa piga namba....0744664677

TUPIGIE 0744664677
19/06/2025

TUPIGIE 0744664677

TUONGEE KUHUSU TEZI DUME 0744664677Dalili za saratani ya tezi dume ni zipi?Wanaume wengi hawana dalili. Kwa kawaida dali...
17/06/2025

TUONGEE KUHUSU TEZI DUME 0744664677

Dalili za saratani ya tezi dume ni zipi?
Wanaume wengi hawana dalili. Kwa kawaida dalili hutokea tu wakati saratani yako ya tezi dume ni kubwa au imeenea katika sehemu nyingine za mwili wako. Unaweza kuwa na:

Tatizo la kukojoa

Haja ya kukojoa papo hapo au mara nyingi

Mkojo wenye damu

Ikiwa saratani imeenea kwenye mifupa yako, maumivu kwenye mgongo wako, futi, au mbavu

16/06/2025

Address

ILALA
Dar Es Salaam
00000

Telephone

+255744664677

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tibu tezidume bila upasuaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tibu tezidume bila upasuaji:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram