Irmherbalist clinic

Irmherbalist clinic Karibu irmherbalist clinic kwa uimara wa afya yako

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Mwanaume wikiendi hii pata Tikiti maji kwani ndio chanzo kikuu cha "citru...
26/02/2022

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako

Mwanaume wikiendi hii pata Tikiti maji kwani ndio chanzo kikuu cha "citrulline" ambayo hufanya kazi yake mwilini k**a vi**ra ya asili

Karibu IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Tupigie au WhatsApp kupitia namba +255712700430

Tunapatikana daresalaam makumbusho stand jengo la Biashara complex block B floor ya kwanza room no 35b

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Chumvi ni miongoni mwa visababishi vikubwa vya shinikizo la juu la damu. ...
25/02/2022

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako

Chumvi ni miongoni mwa visababishi vikubwa vya shinikizo la juu la damu. Unashauriwa kutumia chumvi ndogo tu isiyozidi kijiko kimoja kwa siku, pamoja na kuacha tabia ya kuongeza chumvi kwenye chakula kilichoiva tayari. Chumvi iliyopikwa pamoja na chakula ndiyo hufaa zaidi

Karibu IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Tupigie au WhatsApp kupitia namba +255712700430

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako MOYO ndio injini ya uzima wako,Linda MOYO ❤️ wako kwa:1️⃣Kutovuta sigara ...
25/02/2022

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako

MOYO ndio injini ya uzima wako,

Linda MOYO ❤️ wako kwa:

1️⃣Kutovuta sigara
2️⃣Kudhibiti uzito
3️⃣Kula mboga za majani, matunda zaidi
4️⃣Kudhibiti kiwango cha chumvi kwenye chakula
5️⃣Kupima presha na kisukari
6️⃣Kufanya mazoezi
7️⃣Kudhibiti Pombe

Karibu IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Tupigie au WhatsApp kupitia namba +255712700430

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako KURUKA   🤸📝Ni moja ya zoezi bora la kuchoma mafuta👉Tafiti zinaonyesha uki...
21/02/2022

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako

KURUKA 🤸
📝Ni moja ya zoezi bora la kuchoma mafuta

👉Tafiti zinaonyesha ukiruka kamba kwa usahihi kwa dakika 15-20 unachoma Calories sawa na aliyekimbia dakika 45-60
👉Wanamasumbwi professional hutumia zaidi zoezi la kuruka k**a k**a zoezi la kujenga Pumzi

Karibu IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Tupigie au WhatsApp kupitia namba +255712700430

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Njia ya rahisi ya kuondokana maambukizi ya mara kwa mara ya njia ya mkojo...
21/02/2022

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako

Njia ya rahisi ya kuondokana maambukizi ya mara kwa mara ya njia ya mkojo (UTI) hasa kwa wanawake ni kunywa maji safi na salama kwa wingi

Karibu IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Tupigie au WhatsApp kupitia namba +255712700430

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako 👉⭕MAJI: Maziwa ya mama yana zaidi ya 80% ya maji na kila mama anaponyonye...
18/02/2022

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako

👉⭕MAJI:
Maziwa ya mama yana zaidi ya 80% ya maji na kila mama anaponyonyesha anampa mwanae maji kupitia maziwa yake hivyo anapaswa kunywa maji yakutosha ikiwezekana glasi moja kila anaponyonyesha au wakati wowote ule. Pia anapohisi mwanae ana kiu ni vyema akamnyonyesha

Karibu IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Tupigie au WhatsApp kupitia namba +255712700430
Kwa ushauri na Tiba

Bei zetu ni nafuu sana kulinganisha na wengine IRM HERBALIST 🌿 CLINIC

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako ⭕Pelvic Inflammatory Disease (PID) - Maambukizi ya sehemu ya juu ya mfumo...
18/02/2022

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako

⭕Pelvic Inflammatory Disease (PID) - Maambukizi ya sehemu ya juu ya mfumo wa uzazi wa mwanamke limekuwa tatizo linalotokea sana nyakati hizi. Unajua kuwa ili idhibitiwe vizuri ni lazima wapenzi wote wawili wachunguzwe kwa pamoja pamoja na kutibiwa kwa pamoja?

Pia, hushauriwa kutokushiriki kwanza tendo la ndoa hadi wamalize dozi zao ili kukata kabisa myororo wa kuambukizana tena.

Karibu IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Tupigie au WhatsApp kupitia namba +255712700430
Kwa ushauri na Tiba

Bila kusahau IRM HERBALIST 🌿 CLINIC inatowa huduma ya kipimo cha mwili mzima na kukupa tiba asili ambazo hazina chemicals kwa unawiri wa afya yako

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako 👉⭕MKOJO."Chakula kinachoweza kubadilisha harufu ya mkojo,hubadilisha haru...
18/02/2022

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako

👉⭕MKOJO.
"Chakula kinachoweza kubadilisha harufu ya mkojo,hubadilisha harufu na ladha ya uke pia,k**a kitunguu maji,swaumu,kahawa,asparagus na nakadhalika,kumbuka kula vyakuka hivyo na sio kuweka ukeni ili kulinda afya ya uke

Karibu IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Tupigie au WhatsApp kupitia namba +255712700430

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya 👉⭕PURIFIER Ondoa sumu mwilini zilizo jirundika ambazo ndio chanzo kikubwa cha ...
17/02/2022

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya

👉⭕PURIFIER
Ondoa sumu mwilini zilizo jirundika ambazo ndio chanzo kikubwa cha maradhi mwilini

Karibu IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Tupigie au WhatsApp kupitia namba +255712700430
Kwa ushauri na Tiba IRM HERBALIST 🌿CLINIC

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Mwanamke anapokuwa kwenye siku zake za hedhi hashauriwi kutumia vinywaji ...
16/02/2022

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako

Mwanamke anapokuwa kwenye siku zake za hedhi hashauriwi kutumia vinywaji na vyakula vyenye caffeine nyingi mfano energy drinks, soda na kahawa. Kemikali hii huwa na tabia ya kubana mishipa ya damu hivyo kupunguza wingi wa damu na hewa inayozunguka kuelekea kuta za mji wa uzazi

Karibu IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Tupigie au WhatsApp kupitia namba +255712700430

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Supu ya kuku, matunda yenye uchachu, tangawizi na vitunguu saumu ni baadh...
16/02/2022

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako

Supu ya kuku, matunda yenye uchachu, tangawizi na vitunguu saumu ni baadhi ya vyakula vinavyoweza kukusaidia katika kupambana na ugonjwa wa mafua. K**a hauwezi kunywa supu ya kuku ukiwa mzima, pambana walau uinywe ukiwa na mafua. Itakusaidia

Karibu IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Tupigie au WhatsApp kupitia namba +255712700430

14/02/2022

IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako Tupigie au WhatsApp kupitia namba +255712700430

Bila kusahau IRM HERBALIST 🌿 CLINIC inatowa huduma ya kipimo cha mwili mzima na kukupa tiba asili ambazo hazina chemicals kwa unawiri wa afya yako

Tunapatikana daresalaam makumbusho stand jengo la Biashara complex block B floor ya kwanza room no 35b

Usisite kuwasiliana nasi kwa ushauri na Tiba
IRM HERBALIST 🌿 CLINIC kwa uimara wa afya yako

Address

Makumbusho Stand Jengo La Biashara Complex Floor Ya Kwanza Room No 35B
Dar Es Salaam

Telephone

+2556922114043

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Irmherbalist clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram