Maisha NI AFYA

Maisha NI AFYA tunatibu watu wote kwa jinsi zote wenye changamoto za magonjwa mbalimbali kwa uhakika. tunatumia dawa ambazo hazina kemikali kabisa.

KARIBU UPATE TIBA PAMOJA NA KINGA

Hongera Tanzania Hongera Mheshimiwa waziri Ummy mwalimu kwa utendaji kazi wako nami tunakuunga mkono kwa juhudi zako Mun...
07/04/2022

Hongera Tanzania
Hongera Mheshimiwa waziri Ummy mwalimu kwa utendaji kazi wako nami tunakuunga mkono kwa juhudi zako Mungu akubariki

28/03/2022
MWANAUME SOMA HII ITAKUSAIDIA!!!!!!MAKOSA MANNE(4)  HATARI WANAYOFANYA WANAUME  KUHUSU CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME!!!Mw...
27/03/2022

MWANAUME SOMA HII ITAKUSAIDIA!!!!!!

MAKOSA MANNE(4) HATARI WANAYOFANYA WANAUME KUHUSU CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME!!!

Mwanaume Hakikisha unajiepusha na makosa haya. Makosa haya huweza kusababisha tatizo la Nguvu za Kiume kuzidi badala ya Kupungua.Wanaume wengi wanapohisi kuwa na Changamoto ya Nguvu za Kiume Hufanya Yafuatayo!!....

1.Wengi hupuuza tatizo hilo na kuchukulia k**a Hali ya kawaida,Huchukulia poa na wengi hushindwa kuchukulia serious, matokeo yake tatizo hukua na kuwa kubwa zaidi.

2.Kutokujua Chanzo cha Tatizo hilo, Imekua ni kawaida kwa baadhi ya Wanaume kushindwa kujua Chanzo cha changamoto Hii,Hivyo wengi hukurupuka na kufanya maamuzi yasiyo sahihi juu ya Tatizo hilo.

3.Kutokua na Elimu Sahihi na Kutokujua ukweli kuhusu tatizo hili, Wengi wamekua wakipeleka tatizo kwa watu ambao sio sahihi na Hivyo kushindwa kupata suluhisho la kudumu.

4.Kutumia Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume Kitu ambacho sio Sahihi kabisa.Hii hupelekea tatizo kuongezeka na kuwa sugu

Mwanaume Usifanye tena makosa haya,Pata Elimu Sahihi na Njia Sahihi ya Kuondoa Changamoto yako leo.Kama uko serious Wasiliana nasi sasa, WhatsApp 0748283981

JE WAJUA ???Wanasaikolojia wanadai mtu huchezesha sana mikono/viganja anapoongelea ukweli na akiwa anaongea uongo mikono...
14/03/2022

JE WAJUA ???
Wanasaikolojia wanadai mtu huchezesha sana mikono/viganja anapoongelea ukweli na akiwa anaongea uongo mikono/viganja hutulia sana.

Kichwa cha samaki muhimu kwa afya ya moyo, ubongo na mishipa ya damu; Kichwa cha samaki huwa na kiasi kikubwa cha asidi ...
14/03/2022

Kichwa cha samaki muhimu kwa afya ya moyo, ubongo na mishipa ya damu; Kichwa cha samaki huwa na kiasi kikubwa cha asidi ya mafuta inayoitwa omega 3 kuliko kiwiliwili chake. Usitupe kichwa kwani mafuta haya ni muhimu kwa afya ya moyo, ubongo, mishipa ya damu na ngozi.

Ugumba ni hali ya mwanamke kutokubahatika kupata ujauzito baada ya kushiriki tendo la ndoa kwa walau mwaka mmoja, pasipo...
11/03/2022

Ugumba ni hali ya mwanamke kutokubahatika kupata ujauzito baada ya kushiriki tendo la ndoa kwa walau mwaka mmoja, pasipo kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango. Tofauti na jinsi inavyoaminika mtaani, ugumba ni hali ya muda tu na haitoi maana kuwa mhusika hawezi kabisa kuwa mama.

Sababu za mwanamke mwenyewe huchukua asilimia 80 katika kusababisha tatizo hili huku sababu zinazochangiwa na mwanamme zikichukua walau asilimia 20 zinazobaki. Changamoto hii inapotokea ni vyema mwanamke na mwanamme wakachunguzwa kwa pamoja kujua chanzo ni nini ili tiba iweze kutolewa.

Imani ya kuwa mwanamke pekee ndiye chanzo cha tatizo hili haina ukweli wowote kwani mwanamme kufikia mshindo pekee haitoshi kumfanya awe na uwezo wa kurutubisha yai.

Maisha NI AFYA

SULUHISHO LA AFYA YAKO LINAPATIKANA HAPA   NI AFYA #
11/03/2022

SULUHISHO LA AFYA YAKO LINAPATIKANA HAPA NI AFYA #

10/03/2022

DETOXIFICATION Ni kitendo Cha kuondoa SUMU mwilini kwa kutumia bidhaa inayoitwa DITOXILIVE

Kutokana na mfumo wa maisha yetu hasa kwenye upande wa vyakula tumejikuta kila siku tunakula vyakula ambavyo vinahataris...
10/03/2022

Kutokana na mfumo wa maisha yetu hasa kwenye upande wa vyakula tumejikuta kila siku tunakula vyakula ambavyo vinahatarisha AFYA ZETU hivyo tunajikuta kwenye miili yetu inazalishwa SUMU NYINGI ambazo zinapelekea matatizo k**a vile Figo kufeli , INI kufeli , MOYO kutanuka , STROKE/KIHARUSI . TUMIA DITOXILIVE LEO KWA AFYA YAKO
0748283981

Address

MLIMANI CITY
Dar Es Salaam

Telephone

+255748283981

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maisha NI AFYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Maisha NI AFYA:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram