Dr.daniel na afya yako

  • Home
  • Dr.daniel na afya yako

Dr.daniel na afya yako KWA CHANGAMOTO YA MAUMIVU YA VIUNGO VYA MWILI MFANO JOINTS TUNAWEZA KUKUSAIDIA

CHANZO CHA MAUMIVU YA MIFUPA NA VIUNGIO/JOINTS....✍️?..✍️..?✍️....?✍️..?Hii inajumuisha maumivu katika maeneo mbali mbal...
13/01/2023

CHANZO CHA MAUMIVU YA MIFUPA NA VIUNGIO/JOINTS....✍️?..✍️..?✍️....?✍️..?
Hii inajumuisha maumivu katika maeneo mbali mbali ya Mwili inaeza kuwa shingo, mgongo, joint za mikono ,joint za miguu ,magoti na Misuli Kuvuta,

WATU GANI WANAKUA KATIKA HATARI HII
1:wenye umri mkubwa
2:wana michezo
3:uzito mkubwa
4:wana gym
5:watoto wenye upungufu wa madini chuma na vitamini

SABABU YA MAUMIVU HAYO
Umri unavyozidi kusogea au kukosa madini flani ya kuimarisha mifupa hupelekea mwili hushindwa kuzalisha ute ute (synovial fluid) katika viungo vya mifupa hivyo kupelekea msuguano wa viungo na kusababisha maumivu makali kushindwa kukaa,kuinuka,kukimbia na kutembea

KWANINI KUTOKEA MAUMIVU

•kulika kwa cartilage
•upungufu wa synovial fluid(ute)
•maambukizi ya vijidudu katika viungo k**a (bacteria,fangasi na virusi
•uzito kua mkubwa
Hivyo basi kwakua umri umeenda au kufanya mazoezi kwa wingi kuna madini yanakua yanapungu au kukosekana kabisa hasa madini Chuma, Calcium,zinc boron, copper, magnesium, potassium, phosphorus na Vitamin D ambayo haya yanahusika katika utengezwaji na uimarishwaji wa mifupa

TIBA NA USHAURI.
Unashauriwa kula vyakula ambavyo vina kiwango kingi Cha madini na Vitamini ili kukusaidia kuimarisha mifupa ,kuzalisha Ute Ute na kuondoa maumivu, unaeza kula parachichi, ndizi, zabibu ,maeple, broccoli, nafaka jamii ya kunde, viazi vitamu , matumizi ya nyanya, nafaka zisizokoborewa,kula mbegu za maboga, Kula Uyoga, Nyama ,maini, samaki ,mayai, kunywa maziwa ama maziwa mtindi "yoghurt", kunywa maji magumu ,kula matunda yenye acid, pia kula mboga za majani kwa wingi ikiwemo Bamia,nyanya chungu, matembele, majani ya maboga,mlenda nk, pia tunazo dawa za asili/ naturalceutical ambazo zimesheheni viini lishe ambavyo vinasaidia kuimarisha mifupa,kuzalisha Ute Ute na kuondoa uchakavu wa mifupa na maumivu.

Kwa maelezo zaidi bonyeza hiyo Link 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇https://wa.link/zx3qy7

https://wa.link/zx3qy7

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.daniel na afya yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr.daniel na afya yako:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram