Afya na mbwana

Afya na mbwana Tunatatua changamoto mbalimbali za kiafya

TIBA YA TEZI DUME BILA UPASUAJI    NI NINI ??? (0756891629Ni sehemu ya mfumo wa uzazi wa kiume iliyo mbele kidogo ya pur...
29/04/2022

TIBA YA TEZI DUME BILA UPASUAJI

NI NINI ??? (0756891629
Ni sehemu ya mfumo wa uzazi wa kiume iliyo mbele kidogo ya puru (Re**um) na chini kidogo ya kibofu cha mkojo na uume (Urethra) Ina ukubwa wa kawaida japo ukubwa huongezeka kadri umri unavyoongezeka.



🟣Kupata shida wakati wa kukojoa
🟣 Kutiririkwa mkojo wakati na baada ya kukojoa
🟣Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
🟣Kukojoa mara Kwa mara hasa usiku
🟣Kujikamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote.

#🌼tezi_dume_inatibika_bila_upasuaji na ili kujua k**a unatezi dume ni muhimu kufanya vipimo vifuatavyo:-
🟥Digital_Rectal_Exam Njia hii utaingiziwa kidole cha kati katika puru ili kuihisi katika ukuta wa puru.

🟥Kipimo_cha_damu Unaweza kupona saratani ya tezi dume ima Kwa kufanyiwa upasuaji au Kwa kutumia njia mbadala ili kulikausha tezi hilo.

Endapo tezi dume itatibiwa kwa haraka, utakuwa umejiaepusha na magonjwa makubwa k**a vile saratani ya tezi dume.

Kwa mawasiliano namna ya kutibu tezi dume piga namba #0756891629
inatibika bila upasuaji

*🌹🌹VIDONDA VYA TUMBO -Aina, Chanzo, Dalili & Tiba* 0756891629👇UTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO👉Vidonda vya...
19/04/2022

*🌹🌹VIDONDA VYA TUMBO -Aina, Chanzo, Dalili & Tiba* 0756891629

👇UTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO

👉Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

👉Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

*💐 AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO*

Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)

*1.Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers)* – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa

*2. Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers)* – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)

*🌴CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO*

👇Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

👉Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)..
👉Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine).
👉Kuwa na mawazo mengi
👉Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
👉Kunywa pombe na vinywaji vikali
👉Uvutaji wa sigara
👉Kuto kula mlo kwa mpangilio

*🌳DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO*

👇Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili k**a;

👉Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
👉Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
👉Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
👉Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
👉Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
👉Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
👉Kushindwa kupumua vizuri

🥀MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO*

🟣Kupata saratani ya utumbo
🟣Kuziba kwa njia ya chakula
🟣KUATHIRI ini na kongosho
🟣Kusabibisha tundu katika tumbo na kusababisha tumbo kutoboka kwa ukuta wa tumbo

*💉TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO*

🍁Tatizo la Vidonda vya tumbo linatibika kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakizalau dalili za vidonda vya tumbo na kudhani kuwa hakuna madhara makubwa.

*💊DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO*

➡️Tuna dawa ya kutibu Vidonda vya tumbo ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kwa mda kulingana na mda wa tatizo, tatizo halirudi tena maana huondoa chanzo pamoja na ugonjwa sio kituliza maumivu, ukianza kutumia baada ya wiki moja mgonjwa huanza kupona na huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.

👏Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. Mungu tunaomba utuokoe na kutuponya.0756891629

🌷🌷TATIZO LA KUVURUGIKA KWA HEDHI YA MWANAMKE☎️0756891629👉Hili ni tatizo linalowatokea  wanawake mara kwa mara👉Tatizo la ...
15/04/2022

🌷🌷TATIZO LA KUVURUGIKA KWA HEDHI YA MWANAMKE☎️0756891629

👉Hili ni tatizo linalowatokea wanawake mara kwa mara

👉Tatizo la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huanza ghafla au polepole ambapo mwanzo mwanamke alikuwa akipata siku zake katika utaratibu unaoeleweka lakini mara haelewi au hajielewi namna mzunguko wake unavyoenda.

👉Kuvurugika kwa hedhi ni kitendo cha mwanamke kuanza kuona siku zake bila tarehe au mzunguko maalumu na matokeo yake ni kuwa mwanamke atashindwa kutimiza malengo yake kwa kutumia mzunguko huo sababu ni haueleweki.

Unaweza kutokewa ghafla tu unapata hedhi mahali usipotarajia jambo linakufanya ubaki na woga na huelewi nini cha kufanya kwani hukuwa umejiandaa kwa tukio hilo k**a matokeo ya siku zako kutokuwa mzunguko maalumu.
Wakati mwingine unaweza kupitiliza mwezi hata miezi kadhaa bila kuona kabisa siku zako na hata ukipima ujauzito unakutwa huna ujauzito wala dalili huna.

👇👇Madhara ya kuvurugika kwa mzunguko ni pamoja na;

👉 kushindwa kupata ujauzito,

👉maambukizi katika kizazi na kuziba kwa mirija ya uzazi.

🌹Kwanini unahitaji mzunguko wa hedhi ulio sawa?

Faida za kuwa na mzunguko wa hedhi ulio sawa:

👉Utakusaidia kupata ujauzito ulioupangilia na Utakuepusha kupata ujauzito ambao hukuupangilia Utaweza kuamua jinsia ya mtoto unayemtaka

💐Nini husababisha kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi

Ni rahisi kugundua k**a mzunguko wako umevurugika ikiwa tu unauafahamu vizuri mzunguko wako ulio sahihi. Kufahamu mzunguko unahitaji uifahamu siku ambayo ulianza kuona hedhi yako hadi siku utakapoona tena katika mzunguko unaofuata, kila mwanamke huwa na mzunguko wake usiofanana na wa mwingine.

👉Mara nyingi Tatizo linaweza kuanza kwa kurukaruka siku, mwanamke pia anaweza kupoteza siku yaani mwezi mwingine anaona na mwezi mwingine haoni, au anaingia mara mbili kwa mwezi au anaona hedhi kwa siku nyingi hata zaidi ya siku arobaini mfululizo.

👉 Hedhi yake inaweza kutokea kidogo kidogo kila siku au nyingi huku ikiambatana na mabongemabonge na maumivu pia.

👉 Maumivu haya ya wakati wa hedhi huenea chini ya tumbo mpaka miguuni na kiunoni.

👇👇Kuvurugika kwa hedhi kunaweza kutokea kutokana na sababu zifuatazo:

👉 -Mabadiliko ya mazingira ambayo hupelekea mfumo wa mwili hubadilika pia hasa mwanamke akitoka sehemu ya joto kwenda mikoa ya baridi au toka mikoa ya baridi kwenda mikoa ya joto.

👉- Msongo wa mawazo (stress)HofuWoga
👉 -Mabadiliko ya kisikolojia
👉 -Uvimbe kwenye kizazi, kwenye O***y na katika mirija ya Uzazi.
👉 - Matatizo kwenye mfumo wa homoni yaani homormone imballance

👉-Matatizo kwenye vifuko vya mayai
👉 -Mimba kuharibika
👉 -Maambukizi sugu ya kizazi pia ni mojawapo ya sababu.
Kwani hupekekea kuharibika kwa mbegu kabla hazijasafirishwa kwaajili ya urutubishaji.

👉 - Maumivu ya tumbo chini ya kitovu ya mara kwa mara
👉 -Matatizo ya U.T.I na Fangasi ya mda mrefu ambayo hupelekea Kutokwa na uchafu ukeni mara kwa mara na Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

✍️🌴Jinsi ya kurekebisha mzunguko wa hedhi*

🟣A. SULUHISHO PENDWA*

👉Kabla ya yote unapopatwa na tatizo hili kwa muda mrefu ni vizuri ukaonana na daktari uweze kupata uchunguzi wa kutosha kubaini nini hasa inaweza kuwa ndiyo sababu hasa ya tatizo kwa upande wako.

Na mara nyingi tatizo hili litokeapo wengi hutumia dawa na hata wengine kufanyiwa operesheni ili kuondokana na tatizo hili.
Lakini ni wachache ambao hufanikiwa kuondokana na changamoto hii hivyo hujikuta ni wahanga wa matumizi ya Dawa, Sindano na upasuaji wa mara kwa mara na hata wengine kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa kizazi.

🟣B. SULUHISHO LA KUDUMU*

👉Ili kuondokana na changamoto hii
Programu maalumu imeandaliwa ili kuweza kumsaidia mwanamke kuondokana na changamoto ya Matatizo ya Uzazi,
Programu hii humsaidia mtumiji katika:

✍️ 1: Kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa Chakula, Mmengenyo wa chakula unapokuwa vizuri huusaidia mwili kuweza kupata virutubisho muhimu hivyo mwili kuweza kupata vitamins na madini yote muhimu katika mfumo wake wa uzazi, hivyo program hii itamuwezesha mtumiaji kupata virutubisho vyote muhimu vinavyotakiwa katika mfumo wake wa uzazi.

✍️2: Kuondoa sumu mwilini, sumu inapokuwa nyingi mwilini huathiri mfumo wa uzalishaji mayai kwa mwanamke, Hupelekea uzalishwaji wa vimbe katika vifuko vya uzazi,mirija ya uzazi na pia katika mfuko wa uzazi pia hupelekea utengenezwaji wa uchafu na sumu katika uke ambao hupelekea kuharibika kwa mayai ya mwanaume kabla ya kurutubishwa
Hivyo program hii itakuondolea sumu na kukupa
Kinga imara ya mwili na kukuondolea changamoto hiyo pia.

✍️3: Kuboresha mzunguko mzuri wa damu, mzunguko wa damu unapokuwa uko vizuri husaidia katika usafirishaji wa damu na hivyo kumwezesha mwanamke kuwa na mzunguko mzuri na pia hedhi yake kuwa katika mpangilio mzuri au kawaida. Damu inaposhindwa kusafirishwa vyema katika mirija yake hupelekea kuwepo na changamoto pia katika mzunguko wa mwanamke yaani hedhi yake, pia hupelekea matatizo ya vimbe katika Mirija au ovaries na tatizo kubwa zaidi huwa ni mwanamke kupata matatizo ya Ganzi au kupooza mara kwa mara, hali hii ikiendelea kwa mda mrefu hupelekea stroke (kupooza)
Hivyo program hii itakupa uwezo wa kukuondolea tatizo hilo pia.

✍️4: Kuimarisha na kuboresha kinga ya mwili, Mwili unapokosa kinga au kinga ya mwili inapopungua hukaribisha maambukizi katika katika Ovaries,Mirija ya uzazi, mfuko wa uzazi na mpaka katika Uke, hali hii ya maambukizi inapokuwa kubwa zaidi hupelekea tatizo hili kuwa sugu na hivyo humfanya muathirika wake hata atumiapo dawa zozote hali kujirudia tena. Hivyo basi tatizo hili liwapo kubwa zaidi na zaidi hupelekea mpaka kupata utasa au kutolewa kizazi.

Hivyo program hii itakupa uwezo wa kuboresha Mmeng'enyo wa chakula hivyo mwili utapata virutubisho muhimu,
Kuondoa sumu mwilini na hivyo mwili kupata virutubisho bora,
Kuboresha mzunguko wa damu na Pia kuimarisha Kinga ya mwili.

Programu hii hujumuisha Virutubisho mbalimbali ambavyo vimeandaliwa kwa ubora zaidi ili kuboresha Afya ya uzazi kwa mwanamke.☎️0756891629

🌹🌹UGONJWA WA PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE AU MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI)na jinsi ya kupata tiba sahihiMAELEZO Y...
12/04/2022

🌹🌹UGONJWA WA PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE AU MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI)na jinsi ya kupata tiba sahihi
MAELEZO YA AWALI YA UGONJWA WA PID.
☎️0756891629

👋Habari za siku ndugu zangu ni matumaini yangu mnaendea vizuri. Kutokana na kundi kubwa la wanawake wamekuwa wakiteseka na tatizo hili, bila kupata msaada wa tiba huku wakibaki na madhara makubwa k**a ugumba, , basi leo hii napenda nianze na ugonjwa wa PID(PELVIC INFLAMMATORY DISEASE AU MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI )

🌷UGONJWA WA PID NI NINI??

👉~ni ugonjwa wa maambukizi unaotokea katika via vya uzazi wa mwanamke ambapo huhusisha maambukizi katika shingo ya kizazi (CERVICITIS),nyama katika mfuko wa uzazi (ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi (SALPINGITIS)

💐VYANZO NA VIHATARISHI VYA KUPATA UGONJWA WA PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

👇Vimelea aina ya NEISSERIA GONORHOEAE pamoja na CHLAMYDIA TRACHOMATIS ndio chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa PID ingawaje kuna aina kadhaa za vimelea vinahusishwa kusababisha ugonjwa wa PID hivyo nilivyotaja ndio vinaongoza Kwa umaarufu kusababisha ugonjwa wa PID

👉~pamoja na vimelea hao kuwa chanzo kikuu cha ugonjwa wa PID zipo njia KADHAA HATARISHI KUSABABISHA MAAMBUKIZI HAYA NAZO NI ÷

👉*kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi(IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa mpango
👉*Kufanya ngono isiyo salama
👉*Maambukizi ya njia za uzazi mara baada ya kujifungua au mimba kuharibika
👉*Kuambukizwa kupitia damu yenye vimelea wa PID
👉*Kupata maambukizi wakati wa kutoa mimba kwa njia isiyo salama

🥀🥀DALILI/VIASHIRIA VYA UGONJWA WA PID

Kuna dalili mbalimbali zinazoweza kuashiria ugonjwa huu wa PID miongoni mwa dalili hizo ni,

👉*Mwanamke kupata maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu
👉*Kupata maumivu wakati wa kukojoa
👉*Kupata homa na kuhisi kichefuchefu
👉*Kupata maumivu ya mgongo na kutapika
👉*Kutokwa na hedhi bila mpangilio
👉*kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
👉*Kutokwa na uchafu(utoko)mweupe ukeni unaotoa harufu mbaya

🌳🌳NAMNA YA KUJIEPUSHA NA UGONJWA WA PID

👇Pamoja na kuwepo kwa dawa za kutibu tatizo hili ni vyema ukajiepusha na vihatarishi vya kupata tatizo hili kwa kuzingatia yafuatayo

👉*Epuka kufanya ngono isiyo salama.
👉*Jiwekee tabia ya kufanya vipimo mara kwa mara hasa kizazi
👉*Usifanye mapenzi mara baada ya kujifungua au mimba kutoka mpaka utakapohakikisha shingo ya uzazi imefunga vema
👉*Kuwahi kuonana na daktari unapoona dalili za ugonjwa
👉*Kuwa msafi na kula lishe bora

Note:☎️0756891629
Uonapo dalili za ugonjwa huu wahi kupata matibabu kwani ugonjwa huu ni mkubwa huweza kusababisha ugumba ikiwa hautapata tiba vizuri

MATIBABU
Ugonjwa huu unatibika vizuri kwa kuondoa chanzo cha tatizo hivo k**a Tayar unaumwa na umezunguka mahospitali bila msaada basi tunaweza kukusaidia

KINGA NA TIBA  YA MAUMIVU YA NYONGA NA MIFUPA AU MAUMIVU YA VIUNGO NA VIUNGO KUSAGANA 0756891629KWANZA,  TUJIELIMISHEKID...
23/03/2022

KINGA NA TIBA YA MAUMIVU YA NYONGA NA MIFUPA AU MAUMIVU YA VIUNGO NA VIUNGO KUSAGANA
0756891629

KWANZA, TUJIELIMISHEKIDOGO.🖐
KWA NINI MIFUPA HUSAGANA KWENYE VIUNGO NA KULETA MAUMIVU MAKUBWA?
=>KICHWA CHA MFUPA KATIKA VIUNGO KIMEZUNGUKWA NA MFUPA LAINI UITWAO GEGEDU(CARTILAGE)
KAZI YA GEGEDU(CARTILAGE ) NI KUZUIA MFUPA USISAGANE NA MFUPA MWENZAKE KWENYE VIUNGO,
PIA KUNA UTE UTE (SYNOVIAL FLUID) AMBAO NI GRISI YA VIUNGO,,HUSAIDA KULAINISHA MJONGEO(MOVEMENT)

MTU ANAPOFIKISHA MIAKA 30 CARTILAGE HUANZA KULIKA NA KUSABABISAH MIFUPA KUGUSANA NA KUSAGANA KWENYE VIUNGO HADI ULE UTE KUPOTEA,

HII HISABABISHA MAUMIVU MAKALI KWENYE VIUNGO, HADI KUPELEKEA MTU KUSHINDWA KUJONGEA IPASAVYO,
TATIZO HUONGEZEKA UMRI UNAPOZIDI KUWA MKUBWA NA UZITO UNAPOONGEZEKA,
=>ARTHROEXTRA NI BIDHAA INAYOREJESHA UTE UTE NA GEGEDU(CARTILAGE)
HIVYO HUSAIDIA MIFUPA ISIENDELEE KUSAGANA KWENYE VIUNGO, HUONDOA MAUMIVU HARAKA.
=>ZAMINOCAL HUONGEZA MADINI YA CALCIUM HIVYO HUSAIDIA KUPONA HARAKA,
NI KIRUTUBISHO CHA ASILI,, HAINA KEMIKALI, IMETHİBITISHWA NA TFDA.
PIGA.0756891629 kupata huduma

💊U.T.I (URINARY TRACT INFECTION) ☎️0756891629   🟣Je wajua DALILI za maambukizi kwenye njia ya mkojo kwa mwanamke (U.T.I)...
06/03/2022

💊U.T.I (URINARY TRACT INFECTION) ☎️0756891629
🟣Je wajua DALILI za maambukizi kwenye njia ya mkojo kwa mwanamke (U.T.I)

👉🟣Kushikwa na hamu ya kukojoa Ila mkojo unatoka kidogo
,👉🟣kukojoa mkojo unaochoma choma na kupelekea maumivu makali
👉🟣kukojoa Mara kwa Mara mkojo kidogo
👉🟣kukojoa mkojo mchafu
👉🟣mkojo kuwa na harufu mbaya na pia kubadilika rangi kuwa nyeusi au rangi ya mawingu
👉🟣maumivu ya nyonga na maumivu chini ya kitovu.

💯 Wahi sasa tutatue iyo changamoto kabla aijaleta madhara makubwa 👉☎️0756891629

KINGA NA TIBA  YA MAUMIVU YA NYONGA NA MIFUPA AU MAUMIVU YA VIUNGO NA VIUNGO KUSAGANA 0756891629KWANZA,  TUJIELIMISHEKID...
06/03/2022

KINGA NA TIBA YA MAUMIVU YA NYONGA NA MIFUPA AU MAUMIVU YA VIUNGO NA VIUNGO KUSAGANA
0756891629

KWANZA, TUJIELIMISHEKIDOGO.🖐
KWA NINI MIFUPA HUSAGANA KWENYE VIUNGO NA KULETA MAUMIVU MAKUBWA?
=>KICHWA CHA MFUPA KATIKA VIUNGO KIMEZUNGUKWA NA MFUPA LAINI UITWAO GEGEDU(CARTILAGE)
KAZI YA GEGEDU(CARTILAGE ) NI KUZUIA MFUPA USISAGANE NA MFUPA MWENZAKE KWENYE VIUNGO,
PIA KUNA UTE UTE (SYNOVIAL FLUID) AMBAO NI GRISI YA VIUNGO,,HUSAIDA KULAINISHA MJONGEO(MOVEMENT)

MTU ANAPOFIKISHA MIAKA 30 CARTILAGE HUANZA KULIKA NA KUSABABISAH MIFUPA KUGUSANA NA KUSAGANA KWENYE VIUNGO HADI ULE UTE KUPOTEA,

HII HISABABISHA MAUMIVU MAKALI KWENYE VIUNGO, HADI KUPELEKEA MTU KUSHINDWA KUJONGEA IPASAVYO,
TATIZO HUONGEZEKA UMRI UNAPOZIDI KUWA MKUBWA NA UZITO UNAPOONGEZEKA,
=>ARTHROEXTRA NI BIDHAA INAYOREJESHA UTE UTE NA GEGEDU(CARTILAGE)
HIVYO HUSAIDIA MIFUPA ISIENDELEE KUSAGANA KWENYE VIUNGO, HUONDOA MAUMIVU HARAKA.
=>ZAMINOCAL HUONGEZA MADINI YA CALCIUM HIVYO HUSAIDIA KUPONA HARAKA,
NI KIRUTUBISHO CHA ASILI,, HAINA KEMIKALI, IMETHOBITISHWA NA TFDA.
PIGA.0756891629 kupata huduma

⛑️💊💊UGONJWA WA U.T.I (URINARY TRACT INFECTION) – Chanzo, Tiba0756891629⤵️UTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA U.T.I (URINARY TRA...
14/02/2022

⛑️💊💊UGONJWA WA U.T.I (URINARY TRACT INFECTION) – Chanzo, Tiba
0756891629
⤵️UTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA U.T.I (URINARY TRACT INFECTION)
📌U.T.I ni maambukizi kwa njia ya mkojo na huathiri mfumo wa mkojo na mfumo wa uzazi, wadudu huathiri sana kibofu na urethra. Jina U.T.I ni kifupi cha URINARY TRACT INFECTION (Neno la kingereza) watu wengi huzoea kuita hivyo wakijua ni jina la kiswahili, imeshazoeleka hivyo.
📌 Jinsia ya k**e wana hatari kubwa kuliko jinsia ya kiume. Maambukizi yakwenye kibofu huleta maumivu makali, madhara makubwa hutokea maambukizi yakifika mpaka kwenye figo. U.T.I husababishwa na wadudu wadogo sana ambao ni bakteria waitwao Escherichia coli (E. coli), wanapoingia mwilini na kuenda kuathiri mfumo wa mkojo.

Note U.T.I hutibika haraka kwa mtu ambaye atatumia dawa na pia yaweza kuleta madhara makubwa isipotibika huweza kuathiri mfumo wa uzazi, kibofu, na sehemu mbalimbali, tunashauri mtu mwenye U.T.I inatakiwa awe msafi na kubadili mienendo iliyo hatarini

↕️CHANZO CHA MAAMBUKIZI YA U.T.I

👉U.T.I husababishwa na wadudu wadogo sana ambao ni bakteria waitwao Escherichia coli (E. coli), wanapoingia mwilini na kuenda kuathiri mfumo wa mkojo, vitu vifuatavyo vinaweza kukuingiza kwenye hatari ya kupata U.T.I;

🟣DALILI ZA MTU MWENYE U.T.I 0756891629

Dalili za mtu mwenye tatizo la U.T.I hutokea tofauti kulingana na umri, jinsia na sehemu iliyoathiriwa. Hizo dalili ni k**a;

👉Kujihisi mchovu na kutokujisikia vizuri
👉Kukojoa kwa shida na kujilazimisha
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kukojoa kiasi kidogo na mara kwa mara
👉Mkojo kutoa harufu kali
👉Mkojo kuwa na rangi tofauti zisizo za kawaida kwa mfano wekundu kiasi
👉Kichefuchefu au kutapika
👉Maumivu ya tumbo, au pande za mwili karibu na tumbo mpaka sehemu za misuli
👉Joto laweza kuongezeka

👇👇JINSI YA KUEPUKANA NA U.T.I

👉Kunywa maji mengi
👉Acha kutumia dawa za uzazi wa mpango
👉Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
👉Kojoa hata kidogo baada ya kujamiiana
👉Punguza au acha kunywa pombe na kutumia sigara huchochea kuathiri kibofu
👉Kuwa msafi hasa sehemu za siri ili kutoruhusu bakteria
👉Usipulizie spray kwenye sehemu za siri

🟣TIBA YA UGONJWA WA U.T.I

✅U.T.I hutibika kwa kuwaondoa bakteria na fangasi sehemu zilizoathirika kwa kutumia dawa, mtu mwenye U.T.I hupata shida sana na mpaka humpelekea kutokuwa na raha.
Mtu mwenye U.T.I asipoitibu husababisha vimelea kuzaliana na kuwa vingi hii huitwa U.T.I sugu yuko hatarini kuwa na tatizo kubwa na pia hukaribisha magonjwa mengi.

💉DAWA

Tuna dawa ya kutibu U.T.I ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. : Dawa hiyo hutibu kwa mda kulingana na mda wa tatizo, tatizo halirudi tena maana huondoa chanzo pamoja na ugonjwa sio kituliza maumivu, ukianza kutumia baada ya siku 5 huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.

Note.Tunamshukuru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. Mungu tunaomba utuokoe na kutuponya. ☎️0756891629

KINGA NA TIBA  YA MAUMIVU YA NYONGA NA MIFUPA AU MAUMIVU YA VIUNGO NA VIUNGO KUSAGANA 0756891629KWANZA,  TUJIELIMISHEKID...
14/02/2022

KINGA NA TIBA YA MAUMIVU YA NYONGA NA MIFUPA AU MAUMIVU YA VIUNGO NA VIUNGO KUSAGANA 0756891629

KWANZA, TUJIELIMISHEKIDOGO.🖐
KWA NINI MIFUPA HUSAGANA KWENYE VIUNGO NA KULETA MAUMIVU MAKUBWA?
=>👉KICHWA CHA MFUPA KATIKA VIUNGO KIMEZUNGUKWA NA MFUPA LAINI UITWAO GEGEDU(CARTILAGE)
KAZI YA GEGEDU(CARTILAGE ) NI KUZUIA MFUPA USISAGANE NA MFUPA MWENZAKE KWENYE VIUNGO,
PIA KUNA UTE UTE (SYNOVIAL FLUID) AMBAO NI GRISI YA VIUNGO,,HUSAIDA KULAINISHA MJONGEO(MOVEMENT)

MTU ANAPOFIKISHA MIAKA 30 CARTILAGE HUANZA KULIKA NA KUSABABISAH MIFUPA KUGUSANA NA KUSAGANA KWENYE VIUNGO HADI ULE UTE KUPOTEA,

HII HISABABISHA MAUMIVU MAKALI KWENYE VIUNGO, HADI KUPELEKEA MTU KUSHINDWA KUJONGEA IPASAVYO,
TATIZO HUONGEZEKA UMRI UNAPOZIDI KUWA MKUBWA NA UZITO UNAPOONGEZEKA,
=>👉ARTHROEXTRA NI BIDHAA INAYOREJESHA UTE UTE NA GEGEDU(CARTILAGE)
HIVYO HUSAIDIA MIFUPA ISIENDELEE KUSAGANA KWENYE VIUNGO, HUONDOA MAUMIVU HARAKA.
=>👉ZAMINOCAL HUONGEZA MADINI YA CALCIUM HIVYO HUSAIDIA KUPONA HARAKA,
NI KIRUTUBISHO CHA ASILI,, HAINA KEMIKALI, IMETHİBITISHWA NA TFDA.
PIGA.☎️0756891629 kupata huduma

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255756891629

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na mbwana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram