Happie afya kwanza

  • Home
  • Happie afya kwanza

Happie  afya kwanza afya bora ni mtaji

29/12/2023

JARIBU KUZUIA UTI SUGU KWA NJIA HII
Urinary Tract Infection (UTI) yaani maambukizi katika njia ya mkojo ni moja kati ya magonjwa yanayosumbua sana wanawake wengi
Je wewe ni mhanga wa UTI sugu??
Soma hii SIRI hapa chini...
Moja kati sababu kubwa zinazofanya wanawake wengi waugue UTI ni namna wanavyojisafisha baada ya kumaliza haja kubwa

IKO HIVI: Mwili wa binadamu una vijidudu Vingi sana vya bacteria. Vijidudu hivi vinaweza kua salama katika sehemu moja ya mwili lkn vikasababisha madhara endapo vikahamishwa kutoka sehemu hiyo kwenda sehemu nyingine. Ndivyo ilivyo kwa bacteria anayeitwa Escherichia coli( E.coli) anayesababisha UTi. Bacteria huyu kikawaida hupatikana katika njia ya utumbo mpana na kutoka katika kinyesi...hii ni kawaida
Mwanamke anapomaliza haja kubwa na kujisafisha kwa mkono kutokea nyuma ( tundu la haja kubwa) kuja mbele( tundu la mkojo) hubeba na kuhamisha vijidudu ya bacteria E.coli kutoka kwenye nyuma kuja kwenye njia ya mkojo ambako husababisha UTi
Unaweza kuzuia maambukizi ya UTI kwa njia hii kwa kusafisha kutokea mbele kwenye njia ya mkojo kuelekea nyuma kwenye njia ya Baja kubwa!! Hii itazuia uhamishaji wa hawa bacteria na kuzuia maambukizi ya UTI kwa njia hii

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Happie afya kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Happie afya kwanza:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share