ISHI NA AFYA TELE

ISHI NA AFYA TELE ISHI MAISHA BORA KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO VISIVYO NA KEMIKALI KUTIBU NA KUULINDA MWILI WAKO DHINI YA MAGONJWA MBALIMBALI.

KARIBU TUKUSAIDIE MATATIZO YOTE YA KIAFYA AMBAYO UNAWEZA KUPONA BILA UPASUAJI WALA KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI 0622382338
22/10/2022

KARIBU TUKUSAIDIE MATATIZO YOTE YA KIAFYA AMBAYO UNAWEZA KUPONA BILA UPASUAJI WALA KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI 0622382338

22/10/2022

KARIBU TUKUSAIDIE TATIZO LA TEXI DUME BILA UPASUAJI KWA KUTUMIA TIBA LISHE KWA MAWASILIANO ZAID 0622382338

TUWASILIANE NIKUSAIDIE 0693417293.TUSICHUKULIE MZAHA KWANI MADHARA YAKE NI MAKUBWA
08/02/2022

TUWASILIANE NIKUSAIDIE 0693417293.TUSICHUKULIE MZAHA KWANI MADHARA YAKE NI MAKUBWA

11/12/2021

BAWASILI ni ugonjwa unaotokana nakuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine kutoka kinyama au uvimbe. CHANZO CHA TATIZO LA BAWASILI 1. Kupata choo kigumu. 2. Kukaa kitako muda mrefu. 3. Gesi kujaa tumboni. 4. Magonjwa ya moyo na figo. 5. Uzito kupita kiasi. 6. Kufanya mapenzi kinyume na maumbile 7. Matumizi ya vyoo vya kukaa kwa muda mrefu. DALILI ZA BAWASILI. 1. Ngozi kuwasha katika eneo la tundu ya haja kubwa 2. Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia. 3. Kutoka na uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa. 4. Kujitokeza kinyama katika eneo la tundu la haja kubwa. 5. Choo kigumu k**a cha mbuzi. 6. Kutopata choo muda mrefu. 7 kutoka damu wakati wa kupata haja kubwa. MATATIZO YA KUKAA NA BAWASILI KWA MUDA MREFU. 1. Kupata upungufu wa damu. 2. Kupata tatizo la kutohimili choo. 3. Hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa. 4. Kuathirika kisaikolojia. 5 kukosa morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu WASILIANA NAMI 0693417293

Address

Ilala Boma
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ISHI NA AFYA TELE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to ISHI NA AFYA TELE:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram