12/07/2022
PID - PELVIC INFLAMATORY DISEASES.
Ni madhara yatokanayo na wadudu ( bacteria) walio shambulia via vya uzazi, mirija ya fallopian, mifuko ya mayai(ovaries), mfuko wa uzazi(uterus), shingo ya kizazi na uke.
PID ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi sana na Mara nyingi bila kujua ni PID.
SABABU ZA PID.
Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kupata PID.
1.Kufanya ngono isiyo salama.
2.Maambukiz ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama au mara baada ya mimba kuharibika.
3.Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi.
4.kuugua UTI SUGU na FANGASI SUGU bila kupona.
DALILI ZA PID NI K**A ZIFUATAZO;
√ Kichefuchefu
√kutapika
√homa za Mara kwa Mara
√maumivu wakati wa kukojoa
√maumivu wakati wa s*x
√uume kutoka na uchafu baada ya s*x (unatoka kwa mwanamke )
√maumivu ya tumbo chini ya kitovu
√maumivu ya mgongo
√kutokwa na uchafu ( discharge) ukeni unakuwa ya rangi ya maziwa, kahawia, njano au kijani
√kutokwa na majimaji ukeni yenye harufu mbaya na wakati mwingine usaha
√harufu mbaya/ shombo ukeni
√kupata hedhi bila mpangilio
MADHARA YA PID.
1. Maumivu Ya Tumbo.
2. Maumivu Ya Nyonga.
3. Majeraha Ndani Na
Nje Ya Mirija Ya Uzazi.
4. Mirija Ya Uzazi Kuziba.
5. Kubeba Mimba Nje Ya Kizazi.
6. Ugumba.
7. Kansa Ya Shingo Ya Kizazi.
MATIBABU YA PID;
Usijali kabisa k**a wewe ni mmoja wa wahanga wa tatizo la PID kwa muda mrefu na umetafuta ufumbuzi bila mafananikio.
Basi nikupe habari njema kwamba PID inatibika na kupona kwa haraka pamoja na magonjwa sugu ya Uzazi kwa kutumia dawa maalumu zilizotengenezwa kwa virutubisho/viini lishe kutoka kwenye mimea asilia,matunda,mbogamboga, na ambavyo mpaka sasa imekuwa msaada mkubwa Kwa wanawake wengi sana
BEI YAKE NI TSH. 48,000 (OFA)
KWA DAR ES SALAAM UNAFIKISHIWA MPAKA NYUMBANI BURE.
{UTALIPA UTAKAPOIPOKEA DAWA}
MIKOANI TUNATUMA KWA NJIA YA BASI.
MAWASILIANO:
0753-923954
(WhatsApp/Simu/Sms)