bf Suma pharmacy tz

bf Suma pharmacy tz BF SUMA PHARMACY TZ WANATOA HUDUMA ZA TIBA ZA ASILI TANZANIA KARIBUNI KUPATA HUDUMA

+255687042512/CALL CENTER📞 BFSUMA PHARMACEUTICAL/AINA ZA UCHAFU UKENI NA TIBA YAKE INAMALIZA TATIZO BILA KUJIRUDIA KABIS...
01/12/2022

+255687042512/CALL CENTER📞 BFSUMA PHARMACEUTICAL/AINA ZA UCHAFU UKENI NA TIBA YAKE INAMALIZA TATIZO BILA KUJIRUDIA KABISA KARIBUNI /⛔NO WHAT'S UP NUMBER👍📱

1. UCHAFU WENYE RANGI YA KAHAWIA AU DAMU

Huu uchafu huonyesha dalili ya kuwa mzunguko wako wa hedhi umevurugika na wakati mwingine ni dalili ya magonjwa k**a kansa ya kizazi,
mwanamke anayepata tatizo hili hutoa damu nyingi pamoja na kuumwa sana nyonga, hivo ukiona dalili k**a hizi nenda kafanye vipimo hospital na kuanza tiba mapema

2. UCHAFU WENYE RANGI YA NJANO /KIJANI WENYE HARUFU MBAYA

Endapo uchafu huo utatoka k**a povu na wenye rangi ya kijani au njano na ukiambatana na harufu mbaya huwa ni dalili ya ugonjwa wa trichomonas,PID(pelvic inflammatory disease), maambukizi ya parasite yanatokana na ngono zembe,
dalili Yake nyingine ni maumivu na kuwashwa wakati wa kutoa haja ndogo,maumivu wakati wa tendo la ndoa,kutokwa na damu ukeni wakati wa tendo la ndoa n.k.

3. UCHAFU MWEUPE MZITO K**A JIBINI

Mara nyingi hii huwa ni dalili ya maambukizi ya fangasi(YEAST INFECTION) na dalili nyingine huwa ni kuvimba sehemu ya nje ya siri, kuwashwa na kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
Ngozi ya eneo la nje kubadilika rangi na kuwa nyekundu,kuhisi hali ya kuungua wakati wa kutembea,
uchafu mzito kutoka ukeni na wa rangi mithili ya maziwa mgando,uchafu huu huweza kuambatana na harufu mbaya kutoka ukeni

4. UCHAFU MWEUPE/KIJIVU WENYE HARUFU YA SAMAKI

Uchafu wa Aina hii ni dalili ya maambukizi ya bacteria vaginosis, mara nyingi mwenye tatizo hili husikia muwasho na maumivu sehem ya nje ya uke.
KUMBUKA: Jua kutofautisha kati ya ute ute ambao ni kawaida kumtoka mwanamke akiwa kwenye siku za hatari na aina za uchafu unaotoka ukeni ambao nimetoa maelezo yake.
Ute ute wa siku za hatari unakuwa wa kuvutika k**a vile ule wa kwenye yai la kuku,na hauna harufu yoyote mbaya

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA
📲+255687042512

Address

BFSUMA. Com
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255687042512

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when bf Suma pharmacy tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to bf Suma pharmacy tz:

Share