27/01/2023
Habari yako ndugu! Natumai unaendelea vizuri!
*Soma hii mpaka mwisho k**a unataka kumiliki biashara yako mwenyewe na kuongeza kipato chako*
Leo napenda kushare na wewe story yangu fupi kuhusu safari yangu ya mafanikio.
Jina langu naitwa George kasigwa, ni mwalimu katika maswala ya kipato na biashara.
Nakumbuka k**a jana vile, nilikuwa sina chochote mwaka 2020 na mambo yalikuwa magumu sana upande wangu.
Kuna kipindi nilikosa mpaka hela ya kulipa kodi licha ya kufanya kazi kwenye kampuni za kitalii zaidi ya miaka 15 lakini bado mshahara wangu haukuweza kubadilisha maisha yangu kabisa.
Niliamka asubuhi mapema watoto bado wamelala na kurudi usiku ikiwa tayari wamelala.
Jambo hili liliumiza moyo wangu sana sikuwa na furaha kabisa kwani nilitamani kujiajiri mwenyewe.
Nilijaribu kila biashara lakini niliambulia patupu, lakini 2021 nilikutana na fursa ya biashara ambayo niliamua kuifanya ili kujiongezea kipato changu cha ziada nje ya kazi yangu ya kila siku.
Lakini ndani ya miaka 2 niligundua siri ya mafanikio ambayo kwa muda wa miaka miwili na nusu ikaniwezesha kupata mafanikio haya niliyonayo Leo, na sasa nimekuwa msaada kwa watu wengine ambao hawajui namna gani wanaweza kutoka kwenye hii changamoto ya kushindwa kufikia ndoto za maisha yao wanayo yatamani kwenye maisha yao.
Kwa hiyo hali ngumu unayopitia sasa hivi ni ya muda mchache tu, kwa sababu niliishakuwa huko na naelewa jinsi unavyohisi kwa sasa lakini usichoke kupambana wala usikate tamaa siku yako ipo, mimi nakuamini sana ndugu tunaweza kuijenga kesho yetu pamoja.
Lakini yawezekana fursa hii ya biashara si kwa ajili yako maana haikutengenezwa kwa ajili ya kila mtu.
Kumbuka mafanikio si ya kila mtu Bali ni kwa ajili ya watu walio tayari tu.
Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako mr. Kasigwa,
Ebu share na mimi hapa ungependa nikusaidieje ndugu?