Zairo cure pharmacy

Zairo cure pharmacy Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Zairo cure pharmacy, Medical and health, kijichi mbagala kuu, Dar es Salaam.

Happy mothers day!Tukimuongelea mama hatuwezi kumuacha mtoto mbali, katika siku ya mama duniani karibu zairicure pharmac...
14/05/2023

Happy mothers day!
Tukimuongelea mama hatuwezi kumuacha mtoto mbali, katika siku ya mama duniani karibu zairicure pharmacy tukupatie active mama set kwaajili ya ngozi
Karibu sana

Hii kitu ni kiboko trust me
17/04/2023

Hii kitu ni kiboko trust me

Una allergies na mafuta yoyote, unapata miwasho kwenye ngozi yako,ngozi haina nuru na umekuwa hujipendi kwa ajili ya muo...
14/04/2023

Una allergies na mafuta yoyote, unapata miwasho kwenye ngozi yako,ngozi haina nuru na umekuwa hujipendi kwa ajili ya muonekano wa ngozi yako??? Njoo tukusaidie ufurahie ngozi yako,tunapatikana kijichi mbagala kuu ila ukihitaji tunakuletea popote
Karibu

Kwa ngozi nzuri, nyororo na ya kung'aa tumia active mama productSet hii Ina sabuni, active mama oil kubwa na ndogo,Activ...
14/04/2023

Kwa ngozi nzuri, nyororo na ya kung'aa tumia active mama product
Set hii Ina sabuni, active mama oil kubwa na ndogo,Active mama baby butter na shower gel!
Bidhaa izi zinaondosha matatizo yote ya ngozi, ipe nuru ngozi ya mtoto kwa kutumia active mama product!

Maziwa ya Unga kwa ajili ya watoto yanapatikana kwetuKaribu.
09/04/2023

Maziwa ya Unga kwa ajili ya watoto yanapatikana kwetu
Karibu.

Watu wengi wanakula matunda kwa kiasi kidogo Sana ukilinganisha na umuhimu/ uhitaji wa matunda Kwenye mwili, karibu tuji...
03/03/2022

Watu wengi wanakula matunda kwa kiasi kidogo Sana ukilinganisha na umuhimu/ uhitaji wa matunda Kwenye mwili, karibu tujifunze faida za matunda, Leo tunaanza na Nanasi!
Karibu fuatana nami...

16/01/2022

Address

Kijichi Mbagala Kuu
Dar Es Salaam
76240TEMEKE

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zairo cure pharmacy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Zairo cure pharmacy:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram