Afya care

Afya care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya care, Medical and health, Mwenge Bamaga Dar es salaam, Dar es Salaam.

Nipigie kwa msaada zaidi 0755099091
01/12/2023

Nipigie kwa msaada zaidi 0755099091

SULUHISHO LA KUDUMU KWA MAUMIVU YA MGONGO ,KIUNO ,GOTI NA PINGILI ZA MGONGO  0755099091Bila shaka umeshawahi wahi kuskia...
13/02/2023

SULUHISHO LA KUDUMU KWA MAUMIVU YA MGONGO ,KIUNO ,GOTI NA PINGILI ZA MGONGO 0755099091

Bila shaka umeshawahi wahi kuskia Ute imeisha kwenye maungio

Na hii ndio sababu kubwa ya kupata maumivu

*Ute unatengenezwa wapi*?

Kwenye Maungio yako kuna ligament , tendon na ndani kabisa Kabla hujafikia Ute kuna kuta zinaitwa synovialmembrane ambazo ndio hutengeneza Ute uitwao synovial fluid
_Kazi yake nikuleta ulainishi katikati ya Maungio ili kusitokee msuguano_

*Sasa inakuaje Ute unakauka* ?

_Kwanza kabisa tambua mfumo wa maisha haswa ulaji na unywaji ndio unaopelekea Ute kukauka_

_Synovial membrane huanza kuathirika kwakuwa ni connective tissue ambazo seli zake zinakiwango kikubwa Sana cha calcium_
_Unapokuwa unakula vyakula vinavyo zalisha tindikali nyingi na pia unaudhaifu wa kuchuja taka kwenye figo ,basi Ile acid huanza kujilimbikiza kupitia nafasi za seli ziitwazo innerstitialspace._
Kwa kawaida mwili huwa huaruhusu kuwa na tindikali hivyo kwenye maeneo ambayo acid imejilimbikiza kuna kitu kinaites Ionization hutokea,

Maana yake nikwamba mwili huanza kukopa calcium iliopo kwenye cell hizo haswa synovial membrane
_Ambazo huhusika na kutengeneza huo Ute☝️_
Baada ya muda cell hizo za synovial membrane hudhoofika na hushindwa kutengeneza huo Ute

*DALILI NIZIPI ZA KUISHA UTE UTE*
_Maumivu makali Sana kwenye Maungio_

_Kuna kelele unasikia pindi ukikunja mfano mguu utasikia Ka Ka Ka_

_Kukosa Ute kabisa_

*Tunafanyaje sasa*

BADILISHA mfumo wa ulaji kabisa

Kula vyakula asilia zaidi kuepuka acid ya vyakula Vya viwandani

Kunywa Maji mengi kulingana na kilo zako

Usivute sigara

Acha au punguza unywaji pombe

Soda haswa Coca-Cola ziache kabisa

Ondoa kitambi au uzito ulipitiliza ..
_Tumia tibalishe ili kuanza kuzalisha UTE Ute kwenye Maungio_

_Kuzalisha cartilage iliolika_
Karibu sana kwa chochote usisite kunipigia kwa elimu ,pamoja na ushauri

STROKE (KIHARUSI)Ni Tatizo Linalotokea Ghafla Kwenye Ubongo Ambapo Mtiririko Wa Damu Kwenye Eneo Fulani La Ubongo Husiti...
02/01/2023

STROKE (KIHARUSI)
Ni Tatizo Linalotokea Ghafla Kwenye Ubongo Ambapo Mtiririko Wa Damu Kwenye Eneo Fulani La Ubongo Husitishwa Ghafla Au Kupungua Sana Hivyo Kusababisha Eneo Hilo La Ubongo Kukosa Damu Na Virutubishi Muhimu Na Seli Za Eneo Hilo Kuanza Kufa.

Hili Linaweza Kutokea Pale Mishipa Ya Damu Ya Kuelekea Kwenye Eneo Hilo Ikiiziba Au Mishipa Ndani Ya Ubongo Katika Eneo Hilo Kupasuka. Seli Za Ubongo Za Eneo Hilo Zikianza Kufa Kwa kukosa Damu, Shughuli Zote Zinazoendeshwa Na Eneo Hilo La Ubongo Husimama Kwa Mfano Kumbukumbu Na Utashi.

Kupooza
Hii Ni Ile Hali Ya Kiungo Kupoteza Utendaji Kazi Wake Kwa Sababu Ya Neva Za Fahamu Kuathiriwa.

Dalili Za Kiharusi (Stroke)

✓Kuchanganyikiwa
Mtu Kupata Shida Ya Kuongea Na Kuelewa Anachoambiwa
✓Maumivu Ya Kichwa Na Kupoteza Fahamu.
✓Ganzi Katika Viungo Vya Uso, Mkono Na Mguu Na Hasa Vikiwa Vya Upande Mmoja Wa Mwili
✓Kupata Shida Ya Kuona Kwa Jicho Moja Au Yote
✓Kupata Shida Ya Kutembea, Kizunguzungu, Kupepesuka Mwili.

VIKO VICHOCHEZI/SABABU ZA HATARI ZINAZOWEZA KUPELEKEA KIHARUSI KUTOKEA

✓Umri
Mtu Anapozeeka Hatari Ya Kupata Kiharusi Huongezeka Zaidi.
✓Jinsia
Wanawake Wako Katika Hatari Kubwa Ya Kuwa Na Kiharusi Tofauti Na Wanaume.
✓Kiharusi Kilichopita Ikiwa Tayari Mtu Amepata Kiharusi, Hatari Ya Kupata Tena Kiharusi Kingine Ni Kubwa.
✓Historia Ya Familia
Ikiwa Mtu Katika Familia Kuna Historia Ya Watu Kupata Stroke, Basi Hatari Ya Kupata Kiharusi Ni Kubwa.

Sababu Za Kiuchochezi
✓Uvutaji Sigara, Madawa Ya Kulevya Na Vilevi
✓Shinikizo La Damu
✓Cholesterol Nyingi
✓Ugonjwa Wa Moyo
✓Unene Kupita Kiasi
✓Kisukari
✓Kuganda Kwa Damu

MADHARA YA STROKE
Stroke Inapokua Sugu Dalili Zake Hugeuka Kuwa Maradhi, Mfano Kupata Ulemavu, Kupooza Kabisa, Kupoteza Kumbukumbu Na Utashi.

TIBA YA STROKE NI STEMCELLS
Hii Ndo Tiba Pekee, Kwani Ndio Inauwezo Wa Kuzalisha Seli Mpya Na Kuondoa Seli Mfu. Hivyo Kurekebisha Mfumo Wa Ubongo, Nerves Na Mifupa Iliyoathiriwa Na Kiharusi.

Kupona Ni Miezi Mitatu Mpaka Sita
Dose Ya Mwezi Mmoja Ni 380,000/=

Kwa taarifa Zaidi

Call/WhatsApp +255755099091

Miguu Inayowaka Mara Nyingi Ni Ishara Ya Uharibifu Wa Neva (PERIPHERAL NEUROPATHY). SOMA ZAIDI👇Kwenye Mwili Wa Binadamu ...
02/01/2023

Miguu Inayowaka Mara Nyingi Ni Ishara Ya Uharibifu Wa Neva (PERIPHERAL NEUROPATHY).
SOMA ZAIDI👇

Kwenye Mwili Wa Binadamu Kuna Mfumo Wa Mishipa (Nervous System) Uliogawanyika Kwenye.

✓Mfumo Mkuu ; Central Nervous System (Ubongo Na Uti Wa Mgongo)
✓Na Mfumo Wa Pembezoni ; Peripheral Nervous System
Ambao Ni Kazi Za Mwili Mbali Na Ubongo Na Uti Wa Mgongo.
Mfumo Huu Wa Pembezoni Hujumuisha Kazi Za Misuli, Mapigo Ya Moyo, Mmeng’enyo Wa Chakula, Uwezo Wa Kuhisi Baridi Au Joto, Kugusa Vitu NK.

KUDHOOFIKA NA KUUMIA KWA NEVA ZA PEMBEZONI MWA MWILI HULETA SHIDA MWILINI

Dalili K**a

1. Ganzi
2. Maumivu Na Kuwaka Moto Kwenye Viganja, Unyayo, Mabega Nk
3. Kuhisi K**a Umevaa Gloves Au Socks Wakati Ambao Haujavaa
4. Kuhisi K**a Kuna Kitu Cha Ncha Kali Kinakuchoma Miguuni Au Kwenye Vidole
5. Kushindwa Kushika Au Kunyanyua Kitu,
6. Kuchoka Na Kukak**aa Kwa Misuli

Vichocheo Vikubwa Vya Kudhoofika Kwa Neva Ni

1. Kupungua Kwa Virutubisho Muhimu Mwilini, Mf Vitamini B (Vitamin B 12, B 6)

2. Matumizi Ya Dawa Kali, Mara Kwa Mara , Mf Dawa Za TB, ARVs, Chemotherapy Nk.

3. Uzito Mkubwa Wa Mwili ,Hupelekea Mgandamizo Mkubwa Kwenye Baadhi Ya Neva Za Uti Wa Mgongo Na Hivyo Kudhoofishwa Uwezo Wa Neva.

4. Maradhi K**a Kisukari, Shinikizo La Damu.
Matatizo Ya Figo

5. Acid Nyingi, Uric Acid Hata Watu Wenye Vidonda Vya Tumbo Huwa Na Acid Nyingi.

6. Mvurugiko Wa Hormones, Kukoma Kwa Hedhi

7. Ujauzito

8. Fungus Za Muda Mrefu, Vidonda Na Michubuko Nk

MATIBABU NYUMBANI
✓ Vyakula Vyenye Vitamins B12 Mf Samaki, Maziwa Mayai Nk
✓Loweka Miguu Kwenye Maji Ya Baridi Kiasi, Asubuhi Na Jioni Kuipa Miguu Ahuheni
✓Massage Miguu Mara Kwa Mara
✓Vaa Viatu Visivyobana

MATIBABU YA KUDUMU
✓ Tumia Bidhaa Ya Stemcell Kupata Tiba Ya Kudumu, Bidhaa Hii Huzalisha Seli Mpya Mwilini Hivyo Kutibu Vyanzo Vyote Vinavyoweza Kupelekea Kudhoofika Kwa Neva.

TAFADHALI SOMA ZAIDI KUHUSU STEMCELLS KWENYE POSTS ZETU ZINGINE

Kupona Ni Miezi Mitatu Mpaka Sita
Dose Ya Mwezi Mmoja

Kwa taarifa Zaidi

Call/WhatsApp +255755099091

RUDISHA AFYA YAKO!! Afya njema sio bahati mbaya!!  Lazima uwe na nia juu yake. Angalia ulaji wako wa chakula na aina za ...
02/01/2023

RUDISHA AFYA YAKO!!

Afya njema sio bahati mbaya!! Lazima uwe na nia juu yake.

Angalia ulaji wako wa chakula na aina za chakula unachokula.

Swali langu ni:
Je, unakula afya?
Je, unakula matunda mara ngapi kwa wiki, kwa mwezi?
Watu wengine walifanya hivi miezi 3 iliyopita 🙄🙄

Mwanadamu mwenye afya njema ni tajiri.....

Usifanye makosa kuokoa pesa na kupoteza afya yako..

Phytoscience Double Stemcell inabadilisha maisha!

Sisi ndio Watengenezaji wa afya njema kwako

Weka oda yako sasa.
Piga +255755099091

TAFADHARI TUSOME: na haya ndio makosa watu wengi wanafanyaKwa nini suluhisho na utatuzi wa Stem Cell ni bora kuliko Tiba...
02/01/2023

TAFADHARI TUSOME: na haya ndio makosa watu wengi wanafanya

Kwa nini suluhisho na utatuzi wa Stem Cell ni bora kuliko Tiba nyingine na virutubisho vya vyakula?
Stemcell ni seli huru yenye uwezo wa kujigawa na kutengeneza aina mbalimbali ya seli mwilini. Kwa nini tunahitaji StemCell!?

Stem cell inaweza Kuzuia na kushughulikia shida nyingi za kiafya kwa wakati Mmoja.
Kwa sababu tu miili yetu imeundwa na SELI na sio madawa.

Kabla ya matibabu ya stem kugundulika Maisha ya kila binadamu yalianza k**a SELI moja (KIJUSI) ambayo iliendelea kuongezeka na kutoa SELI, TISHU, na viungo vingine vyote vinavyounda mwili wa binadamu.

Mwili ni mkusanyiko wa SELI. K**a mtu ni mgonjwa maana yake SELI ni dhaifu au hazifanyi kazi vizuri. Kuanzia umri wa 0 hadi 20 STEM CELL huzalisha SELI lakini uanza kuharibika umri wa miaka 21 kwenda juu kutokana na: Kiwango Cha seli kinapungua mwilini umri unavyoenda, pia seli zinachoka ama kuharibika, ama kufa kutokana na matumizi ya Vyakula, Vinywaji, Madawa, Mazingira n.k

Dawa utibu dalili na kushukulikia shida moja kwa wakati pia kusababisha shida nyingine za kiafya kwa sababu ya sumu kujilimbikiza mwilini.

TIBA YA STEM CELL inashughulikia matatizo ya kiafya kwenye chanzo chake, katika kiwango cha seli
STEM CELL (seli shina/ kiini mama) hufanya kazi kwa kawida ya ......

1 Hurekebisah seli zilizoharibika.
2. Hurejesha seli zilizokufa.
3. Hutengeneza seli upya
4. Ukinga seli vizuri.
5. Kufufua seli zilizozeeka.
5. Urejesha utendajikazi wa seli vyema

Hivyo basi stem cell inapambana na kujikinga na
magonjwa k**a:

Kisukari
Magonjwa ya figo
Saratani au Kansa
Kiharusi au Stroke
Vidonda vya tumbo
Mangonjwa ya ini
Magonjwa ya moyo
Magonjwa ya mapafu
Matatizo ya uzazi
Siko seli
Kupoteza kumbukumbu
Asthma/Allergies(Pumu)
Matatizo ya mgongo
Uvimbe wa tumboni
Matatizo ya macho
Tezi dume
Matatizo ya misuli
Na mengine mengi

Kabla mgonjwa hajapewa gharama ya dozi ni vema tukafahamu tatizo lake na lina muda gani

UKITUMIA STEM CELL NDANI YA SIKU 42 NA USIPATE MATOKEO, UTARUDISHIWA GHARAMA ZAKO ZOTE

Tafadhali wasiliana ⏩ Kwa taarifa Zaidi
Facebook: PhytoScience Tanzania
Inst :
Call/WhatsApp +255755099091

UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS)Inakadiriwa Kwamba 75% Ya Wanawake Hupata Tatizo La Fibroids Katika Kipindi Flani Cha Mai...
02/01/2023

UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS)

Inakadiriwa Kwamba 75% Ya Wanawake Hupata Tatizo La Fibroids Katika Kipindi Flani Cha Maisha Yao wengi ufanyiwa Upasuaji Wa Kuondoa Kizazi Chote (Hysterectomy)

Fibroids Ni Uvimbe Usio Wa Saratani Ambao Hujitokeza Kwenye Kuta Za Mfuko Wa Mimba (Uterusi). ubadilisha Shape Na Size Ya Kizazi Na Pia Dalili Zingine Mbaya.

DALILI ZA FIBROIDS

01. Kupata Hedhi Ya Siku Nyingi Mfano Siku Saba (Damu Nyingi Na Nzito Na K**a Vinyama Nyama)
Na maumivu Makali Sana

02. Tumbo Kujaa Mara Kwa mars
03. Maumivu Ya Nyonga, Chini Ya Mgongo Na Kwenye Miguu
04. Kupata Mkojo Mara Kwa Mara Na Kushindwa Kutoa Mkojo Wote Kwenye Kibofu.
05. Kukosa Choo na Kupata Choo Kigumu
06. Kupata Maumivu Wakati Watendo La Ndoa
07. Madhara Ya Uzazi K**a Ugumba Na Mimba Kuharibika
08. Kupungukiwa Damu Mara Kwa Mara

AINA ZA FIBROIDS

INTRAMURAL FIBROIDS
Hii Hukua Na Kumea Kwenye Misuli Ya Ukuta Wa Uterus. Husababisha Kupanuka/Kuvutika Kwa Kizazi

SUBSEROSAL FIBROIDS
Fibroids Hukua Nje Ya Ukuta Wa Mfuko Wa Mimba na Kibofu Cha Mkojo.

SUBMUCOSAL FIBROIDS
Fibroid Hukua Karibu Na Ukuta Wa Kizazi. Inaweza Kusababisha Bleed Ya Muda Mrefu Na Shida Kwenye Kushika Ujauzito.

CERVICAL FIBROIDS
Hizi Hukua Kwenye Tishu Za Mlango Wa Kizazi.

ViHATARISHI VINAVYOCHOCHEA KUTOKEA KWA FIBROIDS

✓KURITHI
✓UMRI
✓LISHE
✓UZITO MKUBWA NA KITAMBI.
✓SHINIKIZO LA DAMU
✓KUPEVUKA MAPEMA
✓MATATIZO YA TEZI YA THAIRODI

STEMCELL NI SULUHISHO SAHIHI KWA FIBROIDS

01. Huondoa Seli Mfu Na Msambaratiko
02. Huzuia Ukuaji Wa Seli Zisizo Za Lazima
03. Hurekebisha Vichocheo Mwilini, Kuzuia Na Kutibu Tatizo La Hormones Imbalance
04. Huyeyusha Vimbe (Za Saratani Na Zisizo Za Saratani) Kwa Kurekebisha Vichocheo Vya Posterogen na Estrogen
05. Huondoa Sumu Mwilini Na Kusafisha Damu
06. Husaidia Kuzaliwa Kwa Seli Mpya Kwenye Kizazi, Ambazo Ni Salama Ili Kutibu Majeraha Kwenye Kizazi Na Kuimarisha Kizazi Na Kutibu Tatizo La Ugumba Na Mimba Kuharibika
07. Kurekebisha Kiwango Cha DamuKwa Haraka Na Kinga Za Mwili

Kwa taarifa Zaidi
Instagram:
Call/WhatsApp +255755099091

MAUMIVU YA KICHWAMara Nyingi Chanzo Huwa Msongo Wa Mawazo  Uchovu Na Wasiwasi.MSONGO (TENSION)Watu Wazima Wengi Hupata M...
02/01/2023

MAUMIVU YA KICHWA
Mara Nyingi Chanzo Huwa Msongo Wa Mawazo Uchovu Na Wasiwasi.

MSONGO (TENSION)
Watu Wazima Wengi Hupata Maumivu Haya Ya Kichwa.Huathiri Zaidi Ya 1/3 Ya Wanaume Wote Na Zaidi Ya 1/2 Wanawake Wote.

Maumivu ni k**a Mkanda Unaobana Paji La Uso,Kuzunguka Kichwa,Yanaenea Kwenye Shingo Na Mabega.

SINUS
Hutokea Wakati Wa Baridi. Kichwa Kinachojaa Kuzunguka Macho Na Pua. Hua Makali Zaidi Kichwa Kikiguswa Mbele Au Wakati Wa Kulala.

MIGRAINE
Ni Mara 3 Zaidi Kwa Wanawake. Hupiga Upande Mmoja, Huleta Kichefuchefu, Kutapika, Mbaya Zaidi Kwenye Mwanga Mkali Na Kelele.

CLUSTER HEADACHE
Huathiri Zaidi Wanaume.Hutokea Kati Ya Umri Wa Miaka 20 Na 40.
Maumivu Upande Mmoja Karibu Na Jicho.

MAUMIVU YA KICHWA YA HOMONI
Wanawake Wengi Ikiwa Ni Pamoja Na Kipandauso pale Homoni Hubadilika-Badilika, karibu Wakati Wa Hedhii,Ovulation kila mwezi

TENDO LA NDOA
Maumivu kutokana Na Mazoezi, Michezo Au Shughuli Za Ngono. Hutokea Kabla, Baada Ya Kilele;Inaweza Kuwa Kali Kudumu Kwa Dakika Kadhaa Hadi Saa Kadhaa.

MAUMIVU MENGINE YA KICHWA
Pressure
Tatizo La Nerves
Mfano Trigeminal Nerve Neuralgia
Matatizo Ya Jicho, Sikio, Sinus, Meno Na Taya
Kuvimba Ateri (Arteritis Ya Muda)
Jeraha La Kichwa
Hangover Kutokana Na Pombe Kupita Kiasi

Stemcells Ndio Sahihi Ya Maumivu ya Kichwa Na Vyanzo Vyake

Kwa taarifa
Call/WhatsApp +255755099091

BAWASIRI INATIBIKA NDANI YA SIKU 20 TU EPUKA KUKATA TAMAA.Whatsapp ==>Changamoto ya ugonjwa huu imekua nitatizo kubwa sa...
29/12/2022

BAWASIRI INATIBIKA NDANI YA SIKU 20 TU EPUKA KUKATA TAMAA.
Whatsapp ==>

Changamoto ya ugonjwa huu imekua nitatizo kubwa sana na imekua ikiumiza na kuathiri afya za watu wengi
Kuna hatari kubwa sana kwa mtu ambae anaishi na ugonjwa huu aiza kwa kujua ama kutokujua kwani ugonjwa huu huanza kuathiribkuanzia ndani na hatimae kutoka nje k**a vinyama vidogo sehemu ya haja kubwa
HAYA NI MADHARA HARATISHI YA BAWASIRI

=Maumivu makali wakati wa haja kubwa
= kutoa kinyesi chenye damu sababu ya ukomavu wa tatizo
= kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa
= kansa ya utumbo
= Mimba kuharibika na kutoka
= Kupoteza hamu ya tendo
= Upungufu wa nguvu za kiume
= Kupatwa na maumivu ya mara kwa mara
Zote hizo ni athari ama matokeo ambayo huwapata watu wengi wanaokua na tatizo hili la bawasiri.

Whatsapp ==>
GOOD NEWS NI KUWA
Baada ya kujua umeathirika na changamoto hizi nakushauri kufanya yafuatayo ili kupata suluhisho.

= Pata Dawa ya Vidonge na ya kupaka kutoka India Dawa hizi ni za asili na zinanguvu ya kuondo Tatizo hili moja kwa moja na kuto jirudia tena.
= Zingatia ushauri utakaopewa
= Kakikisha unabadili mfumo wa ulaji toka mfumo A kwenda B

Tupigie +255755099091
Whatsup +255755099091
Whatsapp ==>>
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM . KWA WALIO NJE YA MKOA TUNAKUFIKISHIA POPOTE ULIPO KWA NJIA YA BUS.

Address

Mwenge Bamaga Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
00255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram