
08/10/2022
SEAL OIL SOFT CAPSULE
• Ni lishe Bora na nzuri inayotokana na mafuta ya samaki aina ya "SEAL".
Ni muhimu na nzuri sana kwa Kinga na Tiba ya magonjwa mbalimbali.
[KAZI YA LISHE HII]
1. Husaidia kuondoa na kuzuia ongezeko la kiwango Cha mafuta na sukari katika damu.
2. Husaidia kuzuia mishipa ya damu isikauke 'dryness' na kusababisha damu kuganda mwilini mara 6 zaidi ya uwezo wa lishe ya mafuta ya samaki wa kawaida.
3. Husaidia pia kupunguza msukumo wa mkubwa wa damu 'hypertension'.
4. Husaidia kuimarisha Kinga mwilini.
5. Ina uwezo wa kusaidia kurudisha kumbukumbu Kwa wagonjwa wenye matatizo ya kupoteza kumbukumbu mara Kwa mara.
Lishe hii imeundwa na virutubisho vingine vinavyotambulika kitaalam k**a 'unsaturated fatty acids' ambavyo ni DHA, EPA na DPA.
EPA- Ni kirutubisho chenye uwezo wa kusafisha mishipa ya damu.
DHA- Ni kirutubisho kinachosaidia ukuaji na ufanyaji kazi nzuri wa seli za ubongo na ukuaji kiakili.
DPA- Ni kirutubisho chenye uwezo wa kuimarisha Kinga na kuzuia maradhi ya mifupa, ganzi, pumu, vidonda vya tumbo, Kansa ya utumbo, kisukari (type II) Na magonjwa ya ngozi.
[UMUHUMU WA LISHE HII]
1. Husaidia kulipa ini Nguvu
2. Kuimarisha na kuipa Nguvu figo.
3. Kurekebisha msukumo wa damu katika moyo na ubongo.
4. Kurekebisha mfumo wa homoni.
[Inafaa Kwa;]
• Wagonjwa wanaosumbuliwa na maradhi ya moyo na ubongo.
• Ni nzuri sana kwa wagonjwa wa kisukari.
• Kwa wale wanaohitaji kuzuia na kudhibiti ongezeko la kiwango Cha mafuta.
• Wale wanaochoka haraka, wanaokosa Nguvu na kupoteza kumbukumbu Kwa kiasi kikubwa.
• Wenye matatizo ya Kinga kushuka sana na wanaosumbuliwa na homa Mara Kwa mara.
• Kwa upande wa kinababa inasaidia mfumo wa uzazi.
Kwa uaminifu mkubwa tunatoa huduma zote, vipimo na matibabu.
®Tupo Dar es salaam na mikoani pia.
[KWA USHAURI NA MATIBABU]
Piga/sms/WhatsApp
+255 765 500 699/0676500677
Dr Joshua Kiraho
BONYEZA LINK HAPO CHINI KWA KUFUATILIA ZAIDI 👇👇
Instagram: https://www.instagram.com/invites/contact/?i=s8rfj5rs1b6k&utm_content=pkukgob
Facebook:
https://www.facebook.com/profile.php?id=100085753639405
🥰🙏