18/02/2026
Jini Mahaba ni roho ya Shetani/Pepo mchafu anayemwingilia mtu kimapenzi/Kingono ndotoni.
Jini mahaba hawezi kuonekana kwa macho ya asili/nyama lakini unaweza kumuona kwenye ulimwengu wa roho k**a vile kwenye ndoto, maono, matendo, nk.
Jini mahaba anapotaka kumuingilia mtu huwa hana vigezo maalumu isipokua anakua amempenda tuu.
Jini mahaba anaweza kumuingilia mtu yoyote aliyempenda bila kujali kaoa/kaolewa na ambaye hajaoa/kuolewa.
Jini huyu hutumika kutumia watu ndoto za ngono, hutumika kuwalawiti wanaume kwa wanawake k**a popo bawa, hutumika pia kuwafanya au kuwashawishi wale alionao kuingilia au kuingiliwa kinyume na maumbile, kuwaingilia watu na kuwafanyia michezo ya kinyume na maumbile. Hutumika pia kuua kwa kubaka. Shetani huyu hutumika vile vile katika kuleta ufukara, hutumika pia katika kuwafanya wazee na watu wazima kuzini na watoto wadogo na huwafanya watu wawe na ashiki kupindukia, lakini pia kubwa katika mambo anayoyafanya ni kuwaondolea wahanga hisia za kimapenzi na kumfanya mwanaume asiweze kusimamia uume barabara unakuwa umelegea na pia kuwaondoshea wanawake ladha ya mapenzi na wengine huwafanya kukosa kabisa hamu ya mapenzi na kuwapa mvuto kwenye jinsia inayofanana nao.
Baadhi ya watu humuita popobawa kulingana na yale aliyoyafanya na wengine humuita jini mahaba kulingana na alichofanya. Wengine humuita majina wanayoyajua wao lakini Wazungu hawa huwaita Succubi au Succubus, yaani hiyo mmoja anakuwa ni dume na mwingine ni jike.
Yote kwa yote, elewa ewe ndugu yangu kuwa viumbe hawa hawana wema kwa mtu zaidi ya kuweka naye mikataba ya uhakika kwamba atashindwa na kuweza kukosea masharti kisha lile analohitaji yeye kuanza kulifanya kwa muhusika.
Watu wengi mara ya kwanza anapowakumba huwafanya au kuwaingilia au kushiriki nao kinyume na maumbile na pia huwafanya wahanga kuwa ni wenye kujificha sana na aibu hii hata kutafuta msaada kwa maana humtia aibu katika sura yake kuzungumzia jambo hili na kumjaza upepo wa mawazo kuwa yeye akisema au akitaka msaada ataonekana vipi, hivyo anakuwa anacheza na akili ya muhusika,
Wengi huota wakifanya mapenzi na mama zao au baba zao hata kaka au dada au mtu yeyote unaemuheshimu k**a shangazi na wengineo.
Muhanga mwingine hujikuta akipitiwa tu na usingizi basi huota mwanamke anakuja na kuanza kumlazimisha au mwanaume wafanye nae mapenzi kinyume baada ya hapo muhusika huishiwa nguvu na kukubali kufanya au kufanyiwa, wengine huona kabisa k**a kivuli live kikilazimisha kumuingilia hasa pale ambapo hatasema na kuhangaika kutafuta msaada wa hili, basi kiumbe yule huanza kumfanyia hayo na kumshurutisha mambo mengine yaliyokuwa machafu na kumuadhiri mbele za watu na kumfanya ajihisi kudharaulika na kuchukiwa bila sababu na humfanya kuwa ni mtu mwenye hasira za hovyo au mtu wa kulipuka hovyo, jazba zinakuwa karibu naye kwa muda mwingi.
Muhanga mwingine huyu humkumba na kumuotesha ndoto kuwa anawekewa vidole na watu sehemu hizo za siri na kumkusanyia kundi la watu ndotoni wakionyesha kumcheka na kumdharau.
Muhanga mwingine huyu humkumba na kumfanya live hata watu wakawa wanaona kinachoendelea bila kumuona anayefanya na kuanza kuingiwa na hofu kubwa. Hapa wengine hufungiwa ndani kwa kuficha fedheha nje kwa watu na asijulikane kinachofanyika ndani.
Zipo aina nyingi sana za huyu shetani zilizo mbaya na za aibu kabisa. Wengine pia huzijua waliokwisha kukutana na wahanga au wahanga wenyewe. Hizi nimeweka chache tu, zingine ni k**a kutekenywa sehemu za siri na kushikwa sehemu za maziwa bila kumuona anaefanya hivyo na wengine kuingiziwa vidole bila kuona anayefanya hivyo live.
Haya ikiwa hayajakukuta au hujaona basi usidharau na kupuuza kwa maana siku kinakutokea usione kitu kipya au usikutwe ukiwa hujui.
SABABU ZA KUMKUMBA MTU:
Zipo sababu nyingi za haya madudu kumkumba mtu hapa nitataja chache tu kwanza:
1: Kukaa na shahawa muda mrefu
2: Kuchezea baharini nyakati za magharibi
3: Kuingia mkataba kwa ajili ya kupata mali
4: Kujichua au kujisaga maeneo ya chooni au maliwato maarufu k**a PUNYETO, (siyo BAFUNI)
5: Kulala uchi huku mwili ukiwa na mafuta peke yako
6: Kulala peke yako ukiwa nusu uchi huku umeweka marashi au air freshener bila kusali
7: Kulala huku kioo kikikuangalia upo uchi
8: Kufanya ngono kinyume
9: Kuchungulia watu wakifanya mapenzi
10: Kukojoa au kumwaga shahawa baharini/kisimani/mtoni/ndani ya mbuyu
11: Kutupiwa jini huyu anakuwa katika mfumo wa popo bawa
DALILI ZITAKAZO KUTAMBULISHA KWAMBA UMEVAMIWA NA JIN MAHABA
1⃣ Kuota unafanya Mapenzi/Ngono Ndotoni.
Mtu yoyote anayefanya ngono/mapenzi katika ndoto huyo ana jini mahaba.
K**a zamani ulishafanya ngono katika ndoto na haujafunguliwa, ujue una jini mahaba.
Kwenye ulimwengu wa mwili jini mahaba akikupenda hata ufanyeje huwezi kumkimbia.
Upende usipende atafanya ngono na wewe mpaka hapo utakapofunguliwa kwenye ulimwengu wa roho.
2⃣ Kutofurahia tendo la ndoa na mwenza wako.
Jini mahaba ana wivu sana hivyo akimwingia mtu hataki mtu huyo awe na mahusiano na Mtu mwingine.
Anachofanya anamuondolea hamu mtu huyo ili asifurahie tendo la ndoa anaposhiriki na mwenza wake.
Mfano; Mume kila anapotaka kushiriki tendo mke analeta visingizio mara sijisikii, naumwa, nanyonyesha, hasira zisizo sababu n.k.
Ukiona hali k**a hii inajitokeza mara kwa mara ujue jini mahaba yuko kazini.
Jini mahaba ni moja ya sababu kubwa ya ndoa nyingi kuvunjika.
3⃣ Kukosa Mvuto kwa mumeo au mkeo.
Kwa walio kwenye ndoa/mahusiano Jini mahaba anakufanya umchukie mwenza wako hata k**a hajakukosea.
Kuna wanawake wanaosema hawana hisia kwa wenza wao, ujue amek**atwa na jini mahaba.
Jini mahaba anatabia ya kuiba mvuto kwa mwenza wako na kuweka mvuto huo kwa mtu mwingine tofauti.
Hivyo unakua unavutiwa zaidi na wanawake au wanaume wa nje kuliko wa ndani.
Hii inapelekea wanandoa kuanguka kwenye uzinzi.
Kwa wale ambao hawajaolewa, umeshasikia mwanamke anakwambia 'wanaume ni mbwa tu', 'siwezi kuolewa na sina mpango', nk.
Huyo sio yeye ni jini mahaba linaongea.
Jini mahaba atahakikisha anamfarakanisha mke kwa mume wake lakini atamfanya kuwa na mvuto kwa wanaume wengine wa nje.
4⃣ Kumchukia mwenza au mpenzi wako.
Jini mahaba humfanya mke/mume amchukie mwenza wake bila sababu za msingi.
Mara nyingi kunakuwa na tabia ya kuonyeshana upendo wakiwa mbali lakini wakiwa pamoja hakuna maelewano.
Eg. mume asipokuwepo mke atammiss sana mumewe lakini akiwepo hana hamu naye.
Kwa wale ambao hawajaoa au kuolewa, wanakuwa na chuki kwa jinsia tofauti na hasa kwa mtu ambaye ana mahusiano naye.
Mbali na chuki jini mahaba husababisha hasira/kisirani na kutosamehe inapotokea wawili hao wametofautiana.
5⃣. Kupenda matendo ya Kingono.
(Sexual addicted)
Mfano; kupenda kuangalia picha au video za ngono, kujichua, kuvutiwa na ngono kinyume na maumbile, kusagana, Nk
Jini mahaba anaweza kumuingilia mtu kinyume cha maumbile au kumfanya mtu awe na tabia za kupenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile/ushoga.
6⃣. Utasa na Kuwa na kiwango kidogo cha Manii.
(Barrenness & Low s***m count for men)
Jini mahaba anaweza kukusababishia utasa kwa kuziba mirija ya uzazi, kuharibu mimba, homon imbalance, upungufu wa damu, cancer, Nk.
Anak**ata kizazi ili kuhakikisha huwezi kupata mtoto na kwa wanaume mbegu za kiume hazizalishi.
Jini mahaba anapofanya mapenzi na mtu huiba viungo vya asili na kupachika viungo feki ili kuharibu kizazi chako.
7⃣. Kuumwa Magonjwa ya mara kwa mara.
Jini mahaba huja na magonjwa ya mara kwa mara Hii ni ili kukuteka kukuunganisha kwenye ufalme wa kipepo.
8⃣. Mwanamke kuwa k**a mwanaume na mwanaume mwanamke.
Jini mahaba wa k**e akimuingilia mwanaume humfanya awe na tabia za k**e. Vivyo hivyo Jini mahaba wa kiume akimuingilia mwanamke humfanya awe na tabia za kiume.
Mfano; Mungu aliumba mwanamke kuwa mpole, anayejali, anayeheshimu, mtiifu, mnyenyekevu, sauti nyororo, kuzaa na kuwalea watoto wake, nk.
Lakini Shetani hubadilisha hii kumfanya mwanamke kuwa mbabe, mkali, asiye na heshima, mgomvi, asiye mnyenyekevu, sauti nzito nk.
Kwa Wanaume, wao huanza kupenda tabia za k**e, kufanya kazi za k**e, mavazi nk.
Katika maradhi ambayo huwashinda matabibu wengi ni haya ya mashetani hawa wa mahaba kwa maana hutakiwa tabia yule kufanya mawili kati ya haya:
1: Kufunga yule jini na kwenda kumtupa mbali (au k**a kafanya mtu, kumpa mwenyewe mzigo wake)
2: Kumuua yule shetani kwa maana si rahisi kumtoa kwa makubaliano aondoke. Ukitaka kukubaliana naye ili aondoke utatakiwa kufanya atakayoamuru; anaweza kukwambia ushiriki jambo lolote la kishetani ili amuondokee (hadi kuweza kuzungumza naye imeshapita kazi kubwa)
Panga la Wachawi & Majini
Ni mafuta yalio-andaliwa waganga zaidi ya 7 kuandaa tiba itakayokuwa Opoo la kukinga na wachawi na majini wabaya watembea usiku na mchana.
Mafuta yana mchanganyiko wa mafuta za zaidi ya 17 na opoo la mangube na usembe mkali zaidi ya 21 kwa kufukuza na kukukinga zidi ya mashetani na wachawi.
Faida ya mafuta ya PANGA LA MAJINI NA WACHAWI.
1. Hukinga mwili wako zidi ya majini wachawi na wanga
2.Hufungua matego katika miji na nyumba
3.Huvunja mazindiko katika miji na nyumba
4.Husafisha nyota na kupandisha nyota
5.Huongeza mvuto mwilini.
6.Hufungua rizki
7.Huondoa uchawi wa kulishwa mwili.
8. Hufukuza jin mahaba
9.Huzuia chuma uete kwenye biashara
10.Huongeza mvuto wa mapenzi
: Ni mafuta mazuri kwa wachimba migodi kukukinga na nguvu za kijini na kichawi pale unapo enda kuatafuta mali.
: Pakaa usiku na mchana mwili mzima. Choma chumbani kwako.. Pia jifukize itakusaidia kufungua mwili na kuondoa vifungo vya uchawi mwili na kutapika uchawi k**a ulilishwa.
Mahitaji ya MAFUTA YA PANGA LA MAJINI NA WACHAWi
Piga | Whatsapp : 0758673897