
20/05/2024
KWA WALE WANAOPENDA MAJI BARIDI..
Kikawaida hakuna shida mtu
anapokunywa maji baridi.
Japo wataalamu wanashauri
kutokunyvwa maji baridi hasa muda
mfupi baada ya kula kwa sababu
Maji baridi hupunguza uwez0 Wa
mwili kumeng'enya chakula.
Unakuta unakula lakini vitu mwili
unashindwa kufyonza virutubisho
kutoka katika hicho chakula.
Vile vile wenye Shida katika koo