LOMI _Afya

LOMI _Afya Kula chakula kama Dawa uepuke kula Dawa kama chakula

Kila Mara Kabla ya kula Tunda lolote kumbuka kuliosha vizuri. NARUDIA Usile tunda lolote kabla hujaliosha vizuri.
13/11/2022

Kila Mara Kabla ya kula Tunda lolote kumbuka kuliosha vizuri. NARUDIA Usile tunda lolote kabla hujaliosha vizuri.

K**a unapenda kula mihogo, kunja ngumi namna hii…✊✊✊halafu jipigepige kifuani huku ukisema… “mihogo ni mitamu…😋😋😋😋”..hiv...
05/11/2022

K**a unapenda kula mihogo, kunja ngumi namna hii…✊✊✊halafu jipigepige kifuani huku ukisema… “mihogo ni mitamu…😋😋😋😋”
..hivi umewahi kula mihogo ya kukaanga iliyochanganywa na kachumbari yanye kapilipili kwa mbaaaali…hatari sana…😋😋😋😋

Tuache utani bwana…mihogo si ya kuchukulia poa. Hizi hapa faida zake

• Mbali na kuwa na wanga mwingi, muhogo una vitamini C nyingi ambayo huimarisha kinga ya mwili dhidi ya magonjwa.
• Muhogo una madini ya chuma, vitamini A, B na pamoja na vitamini C.
• kisamvu cha muhogo kina protini nyingi kuliko mboga za majani za aina yoyote
• Muhogo una madini ya kalsiamu ambayo huimarisha mifupa
Usiichukulie poa mihogo mtani…

ANGALIZO: Hakikisha mihogo na kachumbari zimeandaliwa katika mazingira safi na salama.

CHANZO | Taasisi ya Chakula na Lishe (TFNC)

Je unafahamu umuhimu wa ulaji wa mbogamboga?
23/10/2022

Je unafahamu umuhimu wa ulaji wa mbogamboga?

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LOMI _Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share