Club Afya

Club Afya Maternity and Baby Shop
Tupo Magomeni Mapipa
Tupigie 0622 752 509

Tunatoa Elimu ya Afya ya Uzazi
Kwa Wajawazito na Wanawake
Join Group la Wajawazito WhatsApp πŸ‘‡πŸ½

https://chat.whatsapp.com/CFjo81bAzB2KXY8V5Yj6Nd

02/11/2024

Ku join Group letu la Wajawazito Whatsapp ni bure.

Tuna post masomo, Dr wetu anajibu maswali, na utakutana na wenzako pia.

Click link hapo chini. Au nifuate Whatsapp 0652 811 075

https://chat.whatsapp.com/CFjo81bAzB2KXY8V5Yj6Nd

Estrogen ni kundi la homoni muhimu kwa ajili ya maendeleo na utendaji kazi wa mfumo wa uzazi wa mwanamke.Hasa huzalishwa...
29/07/2024

Estrogen ni kundi la homoni muhimu kwa ajili ya maendeleo na utendaji kazi wa mfumo wa uzazi wa mwanamke.

Hasa huzalishwa na ovari, kwa kiasi kidogo kutoka kwa tezi za adrenal na, wakati wa ujauzito, na placenta.

Umuhimu wa Estrogen Kwenye Mimba:

πŸ‘‰ Hurekebisha Mzunguko wa Hedhi:
--> Hudhibiti ukuaji wa ukuta wa mfuko wa uzazi

πŸ‘‰ Upevushaji wa Mayai:
--> Husaidia kukomaa kwa follicles za ovari.

πŸ‘‰ Utoaji wa k**asi kwenye shingo ya kizazi:
--> Huchochea ute wa mlango wa uzazi, kusaidia mbegu kusafiri.

πŸ‘‰ Hudumisha Utando wa Uterasi:
--> Huhakikisha utando mzito na wenye virutubishi kwa ajili ya kiinitete.

πŸ‘‰ Husaidia Mimba za Mapema:
--> Hutunza ujauzito hadi pale placenta ikianza kufanya kazi.

Follow

==========================

βœ” Join Group letu la Wajawazito Whatsapp

======================
πŸ‘‰πŸ½ Tuna Duka la wajawazito na watoto, Magomeni Mapipa. Na tunauza kwa bei za Kariakoo.

πŸ‘‰πŸ½ Tuna Vifaa vya kujifungulia, Nguo za watoto, receiving blankets, beseni, net godoro, n.k

βœ” Tembelea website yetu kujua zaidi.
🌐 www.clubafya.co.tz
πŸ“ž Tupigie 0622752509

Tuambie upo wapi hapo?🌟 Trimester 1 - wiki 1 - 13 / Mwezi 1 - 3🌟 Trimester 2 - Wiki 14 - 27 / Mwezi 4 - 6🌟 Trimester 3 -...
25/07/2024

Tuambie upo wapi hapo?

🌟 Trimester 1 - wiki 1 - 13 / Mwezi 1 - 3

🌟 Trimester 2 - Wiki 14 - 27 / Mwezi 4 - 6

🌟 Trimester 3 - Wiki 28 - 42 / Mwezi 7 - 9

πŸ‘‰πŸ½ Like and Share

==========================

βœ” Join Group letu la Wajawazito Whatsapp

======================
πŸ‘‰πŸ½ Tuna Duka la wajawazito na watoto, Magomeni Mapipa. Na tunauza kwa bei za Kariakoo.

πŸ‘‰πŸ½ Tuna Vifaa vya kujifungulia, Nguo za watoto, receiving blankets, beseni, net godoro, n.k

βœ” Tembelea website yetu kujua zaidi.
🌐 www.clubafya.co.tz
πŸ“ž Tupigie 0622752509

Tuambie Birth Flower ya Mtoto wako?πŸ‘‰πŸ½ Like and Share
22/07/2024

Tuambie Birth Flower ya Mtoto wako?

πŸ‘‰πŸ½ Like and Share

Kuna sababu nyingi zinazoweza kuathiri kiwango cha maziwa unachoweza kuzalisha k**a stress, mvurugiko wa hormones, jinsi...
18/07/2024

Kuna sababu nyingi zinazoweza kuathiri kiwango cha maziwa unachoweza kuzalisha k**a stress, mvurugiko wa hormones, jinsi unavyo mnyonyesha mtoto wako n.k. Lakini ukubwa wa matiti yako sio sababu moja wapo.

πŸ‘‰πŸ½ Like and Share

---------------------------

βœ” Join Group letu la Wajawazito Whatsapp

15/07/2024

Jinsi ya kumbembeleza mtoto wako aache kulia tumia hio njia ya Dr Robert C. Hamilton, MD.

Like & Share na mwenzako

======================
πŸ‘‰πŸ½ Tuna Duka la wajawazito na watoto, Magomeni Mapipa. Na tunauza kwa bei za Kariakoo.

πŸ‘‰πŸ½ Tuna Vifaa vya kujifungulia, Nguo za watoto, receiving blankets, beseni, net godoro, n.k

βœ” Tembelea website yetu kujua zaidi.
🌐 www.clubafya.co.tz
πŸ“ž Tupigie 0622752509

Upo wapi hapo? 😊
12/07/2024

Upo wapi hapo? 😊

Faida za Bamia kwa Mjamzito1️⃣ Huongeza Folate Mwilini:πŸ‘‰πŸ½  Bamia ni chanzo kizuri cha folate. Folate ni muhimu wakati wa...
05/07/2024

Faida za Bamia kwa Mjamzito

1️⃣ Huongeza Folate Mwilini:
πŸ‘‰πŸ½ Bamia ni chanzo kizuri cha folate. Folate ni muhimu wakati wa ujauzito kwani husaidia kuzuia kasoro za mirija ya neva katika fetasi inayokua.

2️⃣ Huongeza Kinga Mwilini:
πŸ‘‰πŸ½

3️⃣ Husaidia Kupata Choo:
πŸ‘‰πŸ½ Kiwango cha juu cha Fiber katika bamia kinaweza kusaidia kuzuia constipation, ambalo ni suala la kawaida wakati wa ujauzito.

4️⃣ Huongeza Maji Mwilini:
πŸ‘‰πŸ½ Bamia ina kiwango cha juu cha maji. Kukaa na maji mengi ni muhimu kwa afya kwa ujumla na kunaweza kusaidia kudhibiti uvimbe na masuala mengine yanayohusiana na ujauzito.

5️⃣ Ina Balance Kiwango cha Sukari Mwilini:
πŸ‘‰πŸ½ Baadhi ya tafiti zinaonyesha kwamba bamia inaweza kusaidia kudhibiti viwango vya sukari ya damu, ambayo ni ya manufaa kwa kuzuia ugonjwa wa kisukari wakati wa ujauzito.

-------------------------------------
πŸ‘‰πŸ½ Tuna Duka la wajawazito na watoto, Magomeni Mapipa. Na tunauza kwa bei za Kariakoo.

πŸ‘‰πŸ½ Tuna Vifaa vya kujifungulia, Nguo za watoto, receiving blankets, beseni, net godoro, n.k

βœ” Tembelea website yetu kujua zaidi.
🌐 www.clubafya.co.tz
πŸ“ž Tupigie 0622752509

03/07/2024

Kuchanika Wakati wa Kujifungua

πŸ‘πŸ½ Like and Share

K**a una swali uliza hapo chini πŸ‘‡πŸ½

01/07/2024

Kupaka poda watoto

-------------------------------

πŸ‘‰πŸ½ Tuna Duka la wajawazito na watoto, Magomeni Mapipa. Na tunauza kwa bei za Kariakoo.

πŸ‘‰πŸ½ Tuna Vifaa vya kujifungulia, Nguo za watoto, receiving blankets, beseni, net godoro, n.k

βœ” Tembelea website yetu kujua zaidi.
🌐 www.clubafya.co.tz
πŸ“ž Tupigie 0622752509

Unakubaliana na hio? 😁-------------------------------πŸ‘‰πŸ½ Tuna Duka la wajawazito na watoto, Magomeni Mapipa. Na tunauza k...
24/06/2024

Unakubaliana na hio? 😁

-------------------------------

πŸ‘‰πŸ½ Tuna Duka la wajawazito na watoto, Magomeni Mapipa. Na tunauza kwa bei za Kariakoo.

πŸ‘‰πŸ½ Tuna Vifaa vya kujifungulia, Nguo za watoto, receiving blankets, beseni, net godoro, n.k

βœ” Tembelea website yetu kujua zaidi.
🌐 www.clubafya.co.tz
πŸ“ž Tupigie 0622752509

Address

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Club Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Club Afya:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram