23/04/2022
CHANGAMOTO HIZI UKIWA NAZO NI NGUMU KUWEZA KUPATA UJAUZITO, PATA SULUHISHO LA UHAKIKA .
HEALTH PERSONNEL 0744899512
Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake huziona ni za kawaida na kuzipuuza lakini baada ya muda huona madhara makubwa yanayogharimu afya zao za uzazi.
Hapa nimekuwekea baadhi ya dalili ambazo hupaswi kuzipuuza pale zinapokutokea.👇
1. Kupata Maumivu makali chini ya
kitovu yanayo ambatana na maumivu
ya kiuno,
2. Kuhisi maumivu na hali ya
kuchomachoma wakati wa haja
ndogo,
3. Miwasho sehemu za siri ndani au nje
ya uke,
4. Kutokwa na ute ukeni usio wa
kawaida, ute huu unaweza kuwa wa
njano, mweupe, kijani, kahawia, au
uliochanganyika na damu hizi ni dalili
za maambukizi katika via vya uzazi,
5. Kupata maumivu makali wakati wa
tendo la ndoa,
6. Kuhisi k**a kuna kitu kinasukumwa
kinachouma wakati wa tendo la ndoa,
7. Kutokwa na hedhi bila mpangilio,
8. Kupata maumivu makali sana wakati
wa hedhi,
9. Kutokwa na damu ya hedhi yenye
mabonge au nyeusi sana,
10. Kutokwa na damu ya hedhi mfurulizo
bila kukata zaidi ya siku 7 na
kuendelea,
11. Hedhi kujirudia ndani ya mwezi
mmoja zaidi ya mara mbili au tatu,
12. Kutopata hedhi kwa muda mrefu
wakati si mjamzito na bado
hajafikia umri wa kukoma hedhi,
13. Kupata vipele vinavyouma na
kuwasha sehemu za siri,
14. Kuvimba na kuwa mwekundu kati
midomo ya nje ya uke,
15. Uke kuwaka Moto.
16.Uvimbe kwenye kizazi
K**a unapata dalili tajwa hapo juu basi tambua mfumo wako wa uzazi unachangamoto , Wasiliana nami niweze kukuhudimia na kupata ufuatiliaji wakaribu kabisa mpaka pale utakapopona.
PIGA /WHATSAP 0744899512
USHAURI NA TIBA YA MAGONJWA MBALIMBALI BILA UPASUAJI.
�tatizo la kisukari
�tatizo la uzazi kwa wanawake na wanaume
�matatizo ya mifupa
�tatizo la bawasiri nk