HD pharmacy kwa Afya Yako

HD  pharmacy kwa Afya Yako Health is wealth. Medical online

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Innocent Gerad, Saidi Ally
26/01/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Innocent Gerad, Saidi Ally

Brilliant's Health community
01/11/2023

Brilliant's Health community

15/12/2022
15/12/2022

Tezi dume sio ungonjwa inatibika bila upasuaji

Virutubisho ni nini
14/12/2022

Virutubisho ni nini

Tujenge  furaha
20/05/2022

Tujenge furaha

That is
07/05/2022

That is

12/04/2022

Go live
good
Health

15/02/2022

*MUHIMU*
K**a unafahamu mtu anayesumbuliwa na matatizo haya ni dm..direct message nitakusaidia huenda ukawa msaada wake.

🅾️Ganzi ya miguu
🅾️Pcos.. polycystic ovarian cysts au vimbe maji kwenye vifuko vya mayai..
♧Low s***m count
●Maumivu ya viungo haswa wakati wa usiku na asubuh/ kukauka kwa viungo
◇ *Kisukari*
◇ Presha zote
◇Kukosa usingizi.
*◇kukosa hamu ya tendo la ndoa*
*◇Maumivu makali ya mgongo na chini ya kitovu wakati wa period na wakati wa tendo la ndoa*
🅾️ Kukosa Choo au choo kigumu mpaka damu..
♧ Bawasiri .. vinyama kwenye njia ya haja kubwa.
●U T I..
○ Vimbe maji na vimbe damu kwenye mwili pamoja na *fibroids*
● *kutoka kwa mimba au mimba kutoshika.* yaani miscarriage

◇Asthma..

☆Fangasi, harufu mbaya au maji machafu sehem za siri

♡kansa stage 3 na kushuka

♧Tezi dume

◇ Nguvu za kiume, misuli *kulegea*
Dhakari kushindwa kufikisha mshindo zaidi ya mmoja au kwa maumivu makali.
◇vidonda vya tumbo
●Kukosa hamu ya kula chakula. .
K**a unamfahamu mtu mwenye tatizo k**a moja wapo hapo juu unaweza kuwasiliana na mimi au kwa namba hii.. 0627464300/ 0744576188
Tutamshauri na kumwelekeza kwanini yamemkuta na afanye nini ili yamuache.
Afya ndio mtaji wa kwanza wa lazima.
*Share* *care*

This is how things happen
09/02/2022

This is how things happen

Hii ni dalili yakwamba mwili tayari upo kwenye shida
07/02/2022

Hii ni dalili yakwamba mwili tayari upo kwenye shida

11/12/2021

DALILI (15) HATARI KWA MWANAMKE.

Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake huziona ni za kawaida na kuzipuuza lakini baada ya muda huona madhara makubwa yanayogharimu afya zao za uzazi.
Hapa nimekuwekea baadhi ya dalili ambazo hupaswi kuzipuuza pale zinapokutokea.👇

1. Kupata Maumivu makali chini ya
kitovu yanayo ambatana na maumivu
ya kiuno,
2. Kuhisi maumivu na hali ya
kuchomachoma wakati wa haja
ndogo,
3. Miwasho sehemu za siri ndani au nje
ya uke,
4. Kutokwa na ute ukeni usio wa
kawaida, ute huu unaweza kuwa wa
njano, mweupe, kijani, kahawia, au
uliochanganyika na damu hizi ni dalili
za maambukizi katika via vya uzazi,
5. Kupata maumivu makali wakati wa
tendo la ndoa,
6. Kuhisi k**a kuna kitu kinasukumwa
kinachouma wakati wa tendo la ndoa,
7. Kutokwa na hedhi bila mpangilio,
8. Kupata maumivu makali sana wakati
wa hedhi,
9. Kutokwa na damu ya hedhi yenye
mabonge au nyeusi sana,
10. Kutokwa na damu ya hedhi mfurulizo
bila kukata zaidi ya siku 7 na
kuendelea,
11. Hedhi kujirudia ndani ya mwezi
mmoja zaidi ya mara mbili au tatu,
12. Kutopata hedhi kwa muda mrefu
wakati si mjamzito na bado
hajafikia umri wa kukoma hedhi,
13. Kupata vipele vinavyouma na
kuwasha sehemu za siri,
14. Kuvimba na kuwa mwekundu kati
midomo ya nje ya uke,
15. Uke kuwaka Moto.

Nini_ufanye_unapopata_dalili_hizi?
Nitafute inbox nikupe msaada
Au tuma msg MAUMIVU Kwenda 0627464300 share care

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HD pharmacy kwa Afya Yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to HD pharmacy kwa Afya Yako:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram