Javel tiba lishe

Javel tiba lishe Afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume na magonjwa mbalimbali ya watoto
(1)

16/06/2022
09/06/2022


#0623347569

:Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN.


👉Utoaji wa mimba
👉Uwepo wa sumu mwilini
👉kutokula mlo uliokamili au mfumo mbovu wa maisha
👉Family history(upungufu wa ongezeko ya homoni ya progesterone
👉mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.
👉uzito mkubwa
👉Msongo wa mawazo
👉Kutofanya mazoezi
👉Matumizi ya kisasa ya uzazi wa mpango
👉Kukoma kwa hedhi.
*Dalili za kuvurugika kwa homoni*
👉Maumivu wakati wa tendo LA ndoa
👉Kutoshika mimba
👉Mzunguko wa hedhi kubadilika
👉Kuongezeka uzito.
👉Kupungua hamu ya tendo LA ndoa
👉Kupoteza kumbukumbu
👉Hasira za Mara kwa Mara.
👉Damu kutoka nyingi wakati wa hedhi au kutoa damu yenye mabongemabonge
👉Uke kuwa mkavu.
👉kutoka jasho jingi usiku
👉maumivu chini ya kitoto wakati wa hedhi
👉mzio wa vyakula/Allerg kuchaguachagua vyakula.

👉kutoshika ujauzito kwa mda mrefu.
👉Mimba kuharibika Mara kwa Mara.
👉Kuwa mgumba.
👉U.t.I Mara kwa Mara
👉Uvimbe kwenye via vya uzazi wa mwanamke.(fibroids)
👉kuziba kwa mirija ya uzazi.
👉saratani.
Hormone imbalance inatibika ondoa shaka,,jali afya yako
0623347569

04/06/2022

*_HIVI UNAJUA MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA? JE UNAJUA SULUHISHO LAKE? FUATANA NAMI NIKUELEZEE*_ 👇👇👇👇👇

P.I.D(pelvic inflammatory disease) na FIBROIDS inavyotesa wanawake na kuwasababishia ugumba.

P.I.D NI NINI ?

P.I.D ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Ugonjwa huu unaweza kupelekea uharibifu mkubwa kwenye mayai,mfuko wa uzazi,mirija ya uzazi n.k. Pia ugonjwa huu ni moja ya sababu za UGUMBA kwa mwanamke. Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kutotibu magonjwa ya zinaa kwa ufasaha na kuacha wale bakteria kuendelea kusambaa kwenye via vya uzazi wa mwanamke.

Je utajuaje kwamba huenda umeathirika na ugonjwa huu wa P.I.D ?

*DALILI ZA P.I.D*
👉Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au ya juu upande wa kulia
👉Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida na harufu mbaya(wengi hudhani ni fangas kumbe sio)
👉Maumivu makali na kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kutapika na homa
👉Uchovu
👉Kutokwa kwa damu nyingi isiyokuwa na mpangilio wakati wa hedhi au wakati sio wa hedhi( hii dalili kubwa na huwa inafanana sana na fibroids)
👉Ugumba( unatafuta mtoto kwa muda mrefu na hupati)
👉Kukojoa mara kwa mara

*FIBROIDS NI NINI?*
FIBROIDS ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambapo uvimbe huu unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi au nje kwenye ukuta wa kizazi

Je utajuaje k**a una fibroids ?? Hebu angalia dalili zake

*DALILI ZA FIBROIDS*
👉Kutokwa damu nyingi kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi au wakati wa hedhi
👉Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya(wengi wenu huwa mnakimbilia kwamba mna fangas)
👉Maumivu ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe
👉Tumbo kuuma sana chini ya kitovu
👉Hedhi zisizokua na mpangilio na damu hutoka nyingi mpaka kupelekea wengine kupungukiwa damu na kutakiwa kuongezewa damu
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa(hii hupelekea achukie tendo la ndoa)
👉Kukosa kwa choo kikubwa au choo kuwa kigumu(constipation. )
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kukojoa mara kwa mara
👉Ugumba(kuchelewa au kutokupata mtoto)
👉Mimba kutoka mara kwa mara

*KWANINI NIMEAMUA KUELEZEA KUHUSU P.I.D NA FIBROIDS????*

JIBU:
👉Ni kwa sababu wanawake wengi wakiona dalili k**a kutokwa uchafu wanahisi ni FANGAS tu
👉 Wakiona mimba zinatoka mara kwa mara wengi hukimbilia kusema ni ushirikina au muhusika alikua anatoa mimba sana siku za nyuma wakati labda sio hivyo
👉Kingine mwanaume akiona mkewe hataki tendo la ndoa anahisi mkewe anamsaliti kumbe mwenzie anaumwa
👉 Lakini kubwa zaidi nimeeleza haya yote sababu dalili za magonjwa haya mawili yanafanana kwa ukaribu sana.

*TAFITI ZINASEMAJE KUHUSU VIRUTUBISHO LISHE*
Tafiti zinaonyesha kuwa mtu ambaye mimba zinaharibika kwasababu ya P.I.D, uvimbe kwenye KIZAZI, alishawahi kutoa mimba, bas tatfi zinasema atumie bidhaa za virutubisho lishe ambavyo, kwapamoja virutubisho lishe hivi vitakusaidia kuweka sawa mzunguko wa hedhi, pia vitakusaidia kuondoa uvimbe kwenye kizazi, lakin pia zitakusaidia kuondoa tatzo la P.I.D ....

*Ili kupata virutubisho lishe hivi bas unaweza kuwasiliana nami kwa simu namba 0623347569* WhatsApp au kawaida

Ahsante kwa kutembelea kurasa yangu ya Javel tiba lishe. karibu kwa kupata ufumbuzi wa tatizo lolote linalohusiana na Af...
13/04/2022

Ahsante kwa kutembelea kurasa yangu ya Javel tiba lishe. karibu kwa kupata ufumbuzi wa tatizo lolote linalohusiana na Afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume na magonjwa mbalimbali ya watoto.

Ni zamu yako kurudi utotoni na ni haki yako kuishi kwa furaha tena. Karibu sana
13/04/2022

Ni zamu yako kurudi utotoni na ni haki yako kuishi kwa furaha tena. Karibu sana

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Javel tiba lishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Javel tiba lishe:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram