AFYA ZONE

AFYA ZONE afya na tiba

06/12/2020

Maua Almas(Dec 6,2020 at 20:17)(0764178639)
*ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP(DAKTARI WA NGOZI)*
{PRODUCT FROM U.S.A}
*0% chemical*
Ni sabuni ya mitishamba iliyotengenezwa kwa viambata asilia k**a vifuatavyo

*INGREDIENTS (VIAMBATA)*
1.....Wild honey (asali mwitu)
2....Green Tea (mchai çhai)
3.... Grape fruit (mbegu za zabibu)
4.Lisa

*KAZI MUHIMU*
1.Hupambana na mzee na kuondoa makunyanzi

2.Hufanya ngozi kuwa na unyevu unyevu na muinekano nadhifu

3.Huondoa mapunye,chunusi,na mafuta yaliyozidi kwenye ngozi.

4.Inavuta uchafu uliopo ndani ya ngozi,pamoja na uchafu unaosababisha chunusi na mapele.

4.inaomdoa *madoa/makovu* kwenye ngozi

5.Inaondoa seli za ngozi zilizokufa hivyo kufanya ngozi iwe laini na nyororo

6.Inazibua(inafungua) njia za jasho kwenye vinyweleo hivyo kudhibiti tatizo la harufu mbaya ya mwili

7.Inatibu vidonda vya kuungua, jeraha, na vidonda vya kisukari

8.Inaua vijidudu (bacteria) wa kinywa,fangasi,upele na mapunye

9.Inatumika k**a mafuta ya kupaka pia.

10Inatunza ngozi ya mtoto mchanga

11.Ni kinga na tiba 100%kwa matatizo ya ngozi

N.b,..haina kemikali hivyo ni salama kwa rika lolote...

TUPO ILALA MWALIMU HOUSE
au 0764178639

22/11/2020

TEZI DUME NA KANSA YA TEZI DUME NA TIBA YAKE(PIGA- 0764178639)

Uvimbe usio wa Saratani kwenye Tezi dume
Tatizo la tezi dume kupanuka

Tezi dume hupatikana kwa wanaume tu.Tezi hili likiongezeka kwa ukubwa yaani inapopanuka,hasa kwa wanaume wenye umri wa zaidi ya miaka arobaini, hutatiza kukojoa.Ugonjwa huu unazidi kuongezeka duniani kwani watu wanaishi maisha marefu zaidi siku hizi.

Tezi dume ni nini na kazi yake ni nini?

Tezi dumeni kiungo kidogo na ni sehemu moja ya uzazi wa wanaume.Hupatikana chini ya kibofu na mbele ya mwanzo cha njia itoayo mkojo hupitia ndani ya tezi dume.Tezi dume ndiyo hutoa maji yabebayo mbegu (manii)ya mwanaume.

Tezi dume kupanuka

Kupanuka kwa tezi dume ni tatizo la kawaida ambalo halisababishwi na ugonjwa wa saratani(kansa).Huwa ni jambo la kawaida kwa karibu kila mwanaume mzee.Miaka inavyoenda,ndivyo tezi dume huzidi kuwa kubwa; na hufinya njia ya mkojo na kuziba mkojo.Hivyo mkojo hutoka polepole .

Ugonjwa wa kutanuka kwa tezi dume ni ugonjwa wa wanaume wazee.
Dalili za kupanuka kwa tezi dume

Dalili huonekana baada ya umri wa miaka ya hamsini . Karibu wanaume wote wenye umri wa sabini na themanini huwa na tatizo hili.Dalili huanza polepole na kuzidi jinsi miaka inavyoongezeka.Dalili hizi ni k**a zifuatazo:

Kukojoa mara nyingi hasa nyakati za usiku.Hii ni dalili ya mapema sana.
Kulazimika, mara nyingi hasa nyakati za usiku, kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka. Hata pale mgonjwa anahisi kibofu kimejaa. Hii ni dalili ya mapema sana.
Mkojo kutiririka polepole, hukatikakatika na hutumia nguvu kutoka.
Mkojo kushidwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa.
Mkojo kuendelea kutoka kidogokidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo huendelea kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani hulowa.
Kibofu hakiishi mkojo.
Matatizo ya tezi dume iliyotanuka

Tezi dume ikitanuka sana huleta matatizo mengi kwa wagonjwa wengine hali hii isipotibiwa. Matatizo hayo ni k**a yafuatayo:

Mkojo kukosa kutoka kabisa
Wagonjwa wenye tatizo hili lazima wawekewe katheta ili kumimina mkojo.
Madhara kwenye kibofu na figo
Kwa sababu ya kibofu kuwa na mkojo wakati wote, ukuta na misuli yake hupanuka na mwishowe hudhoofika hivi kwamba haiwezi kuzuia mkojo.
Kwa sababu ya kibofu kujaa
mkojo hurudi kwenye figo na mwishowe huharibu figo.
Ugonjwa wa tezi dume husababisha mkojo kutiririka polepole na mtu kukojoa mara nyingi hasa usiku.
Maambukizi na mawe
Kwa sababu kibofu hakimimini mkojo wote kuna hatari kubwa ya maambukizi kwenye njia ya mkojo nakuwa na mawe kwenye kibofu.
Kumbuka
Kutanuka kwa tezi dumehakusababishi ugonjwa wa saratani.

Utambuzi wa kupanuka kwa tezi dume
Historia na dalili zikiashiria uwepo wa hali hii, basi uchunguzi ufuatao hufanywe.
Uchunguzi wa ukubwa wa tezi

Uchunguzi huu hufanywa kwa kuingiza kidole chenye glavu nyuma hadi kwenye tezi dume. Daktari huweza kujua ukubwa na hali yake. Iwapo mtu ana ugonjwa huu tezi dume ni kubwa kuliko kawaida, laini na gumu yote pamoja. Iwapo tezi lina vifundo basi inaweza kuwa na kansa (saratani)au inaweza kuwa na kalsium.

Vipimo vya picha ya ultrasound na kiasi cha mkojo kwenye kibofu

Picha za ultrasound zinaweza kutathmini ukubwa wa tezi dume na kutambua shida zingine k**a kudhoofika kwa tezi,kupanuka kwa njia ya mkojo na kibofu au usaha.Picha hizi pia hutumika kutathmini kiwango cha mkojo unaobaki baada ya kukojoa. Ikiwa kiasi cha mkojo ni chini ya mililita hamsini,basi inaonyesha mkojo wa kutosha unatoka , mililita mia moja hadi mbili au zaidi huonyesha kuna kasoro na basi uchunguzi hufanywe.Kumbuka kipimo cha kidole nyuma na sonografia ni vipimo viwili muhimu kwa utambuzi wa kukua kwa tezi dume.

Kipimo cha nambari ya dalili
(Prostate Symptoms Score or index)
Kipimo hiki chenye chanzo chake Marekani huwezesha kutambua ugonjwa wa kibofu.Maswali yanayohusiana na ugonjwa huu huulizwa ili kutathmini matatizo yaliyopo. Hivyo kiasi cha shida iliyopo hujulikana kwa kuhesabu dalili zilizopo.

Kupima kwa kutumia kidole kwenye njia ya choo kubwa na sonografia ni vipimo viwili muhimu sana vya ugunduzi wa tezi dume lililovimba.
Uchunguzi wa maabarani
Uchunguzi huu hauwezi kusaidia katika kutambua ugonjwa wa tezi dume,bali hutumika kutambua matatizo yanayohusiana nao.Mkojo hupimwa ili kutambua maambukizo,na damu hupimwa ili kutathimini uwezo wa figo.Kuna kipimo tofauti cha saratani ya tezi dume.
Prostate Specific Antigen (PSA) hiki ni kipimo muhimu sana cha damu cha kuchunguza saratani ya tezi dume.

Uchunguzi zaidi-uchunguzi zaidi ili kutathmini kasi ya mtiririko wa mkojo, uvimbe na matatizo mengine ni pamoja na kuchukua kipande cha tezi dume, IVP,CT urogram,cystoscopynk
Je, mtu mwenye tezi dume iliyotanuka anaweza kuwa na saratani pia?

Ndio. Dalili za magonjwa haya mawili hufanana.Kwa hiyo vipimo vya kawaida vilivyotajwa haviwezi kutambua ugonjwa wa saratani.Lazima vipimo maalum vya saratani vifanywe. Vipimo hivi ni kumpima mgonjwa nyuma kwa kidole, kipimo cha damu kuona kiwango cha PSA nakuchukua kipande cha tezi dume (prostate biopsy).

Dalili za tezi kilichopanuka na saratani hufanana.Lazima uchunguzi wa kina ufanywe ili kujua ni ugonjwa upi mgonjwa anaugua kati ya haya mawili.
Matibabu ya tezi dume

TIBA YAKE
TUMIA PROSTRATE RELAX NA PURE AND BROCKEN KUONDOA TEZI DUME NA KANSA YA TEZI DUME

PROSTRATE
√Huondoa kuvimba kwa tezi
√Hurekebisha njia ya mkojo na kuondoa maambukizi ya mkojo
√Huongeza uwezo WA KUFANYA tendon LA ndoa

PURE AND BROCKEN
√HUZUIA KANSA ISISAMBAE
√HUONDOA MAAMBUKIZI YOYOTE
√HUUA SELI ZENYE KANSA

PIGA +255 764 178 639 AU WATSUP KWA NAMBA HIYO

22/11/2020

USIONE AIBU KUTIBU BAWASIRI
Watu wengi wanasumbuliwa na tatizo la kuota kinyama sehemu ya haja kubwa (bawasiri).
(Piga-0764178639)

Kutokana na kupata tatizo sehemu hiyo, wengi huona aibu kuelezea au kwenda hospitali kupata tiba.

Bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya ndani na nje, sehemu ya haja kubwa.

Wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe.

Ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita Hemorrhoids, ilhali kwa Kiingereza unafahamika kwa jina la Piles.

Tatizo hili huweza kumuathiri mtu yeyote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto.

Inakadiriwa kuwa karibu asilimia 50 ya watu wote wenye umri kati ya 30-50 wako katika hatari ya kupata tatizo hili.

Tiba ya bawasiri

Imezoeleka kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula, hakika njia hiyo siyo nzuri na huwa rahisi kujirudia.

AINA ZA BAWASIRI

Bawasiri ya ndani

Aina hii hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na huwa haina maumivu na wengi huwa hawajitambui k**a wana tatizo hili.

Bawasiri ya ndani hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa ndani ya mfereji wa sehemu ya haja kubwa.

Aina hii imegawanyika katika madaraja manne:-

Daraja la kwanza; hii ni bawasiri ambayo haitokei mahali pale panapohusika.

Daraja la pili; hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyewe ndani baada ya kujisaidia.

Daraja la tatu; hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu huweza kurudisha (kinyama) ndani yeye mwenywe.

Daraja la nne: hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi.

Bawasiri ya nje

Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa sehemu ya haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la haja.

Pia, husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha bawasiri iitwayo Thrombosed Hemorrhoids.

Madhara ya bawasiri

Upungufu wa damu (anemia), kupata tatizo la kutokuweza kuhimili choo, upungua nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa.

Madhara mengine ni kuathirika kisaikolojia hasa kwa wanawake, kukosa ari ya kufanya kazi kutokana na maumivu makali na pia huweza kusababisha kifo.

TIBA BORA ZAIDI YA BAWASIRI
NOVEL DIPILE NA CONSTRELAX
Dawa asilia iliyotengenezwa kwa teknologia ya nano teknology inaondoa tatizo hili bila upasuaji
√Imetengenezwa kwa matunda aina ya CITRUS
√Huondoa maumivu na kutoka kwa damu
√Hutibu kabisa bila upasuaji aibu ya daktari

CONSTRELAX
√Hufanya update choose kilaini kwa wale wanaopata choose kigumu
√Husafisha mfumo wako WA chakula na kuondoa sumu zote mwilini

PIGA NAMBA +255 764 178 639

FAHAMU CHUNUSI NI NINI, NA HUSABABISWA NA NINI??Dr_MauaChunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao husababishwa na uwepo na utenda...
22/11/2020

FAHAMU CHUNUSI NI NINI, NA HUSABABISWA NA NINI??

Dr_Maua

Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao husababishwa na uwepo na utendaji kazi wa tezi ya mafuta iliyopo kwenye ngozi chini ya shina la vinyweleo. Tatizo hili la
chunusi huwa ni la kawaida kwa mtu aliyebalehe kwa vile ni katika kipindi hiki ndipo tezi hii ya mafuta iliyopo katika ngozi huanza kufanya kazi.

Chunusi huweza kujitokeza katika maeneo mengi, lakini maeneo ambayo hushambuliwa zaidi na chunusi ni maeneo ya paji la uso,mgongoni, kifuani, mabegani na shingoni.

Chunusi husababishwa na nini?

Kabla ya kufahamu ni jinsi gani chunusi hutokea ni vyema kujua kwa ufupi sayansi ya ngozi kimuundo,

Ngozi ya binadamu ina vitundu vidogo ambavyo huonekana k**a ni vishina vya vinyweleo, vishimo hivyo huelekea sehemu ya ndani ya ngozi mpaka karibu na tezi za mafuta, kati ya vishimo hivyo na tezi za mafuta kuna mifereji ambayo inaunganisha vishimo hivyo pamoja na tezi za mafuta. Kazi ya tezi hizi za mafuta ni kuzalisha kimiminika mfano wa mafuta(sebum) ambayo hufanya kazi k**a gundi kwa kukusanya seli zote zilizokufa ndani ya ngozi na kuzitoa nje ya ngozi kupitia vishimo vinavyojitokeza nje ya ngozi.

Sababu za kutokea kwa chunusi.
Hakuna sababu za uhakika za kwanini chunusi hutokea lakini kwa sasa wataalamu wa afya wanaamini kuna sababu kuu mbili zinazosababisha chunusi mbazo ni;

Kuongezeka kwa homoni ya androgen.

Homoni hii huzalishwa mara tu baada ya mtu kubalehe, kuongezeka kwa homoni hii mwilini kunasababisha kupevuka na kuongezeka kwa tezi ya mafuta ya ngozi hivyo kuongeza uzalishaji wa sebum. Kiwango kikubwa cha sebum kinasababishwa kuharibika kwa kuta za vishimo vya vinyweleo na mifereji yake na hivyo kiwango kikubwa cha sebum kinashindwa kutolewa jambo ambalo hukaribisha vimelea k**a bacteria katika vishimo hivyo.Uwepo wa bakteria katika vishimo unasababisha kutengenezwa kwa uvimbe k**a sehemu ya njia za mwili katika kupambana na vimelea. Uvimbe unaotokea unaweza kuwa wa kawaida au
au kuwa mkubwa kupita kiasi hii inategemea sana na aina ya bakteria waliovamia eneo husika
nyingine zinazoweza sababisha kuharibika kwa vishimo hivini matumizi ya mafuta mazito ya kupaka, mafuta mazito vishimo hivi na hivyo kusababisha mlundikano wa uchafu katika vishimo hivyo. Mlundikano huu wa uchafu unaweza kukaribisha vimelea au unaweza tengeneza uvimbe.
Mabadiliko ya homoni wakati wa ujauzito- mama mjamzito hukumbata na mabadiliko makubwa ya homoni mwilini mwake , mabadiliko haya ya homoni huweza kusababisha uzalishwaji mkubwa wa sebum ambao hupelekea chunusi.

Pia wataalamu wa afya wanataja kuwa tatizo la chunusi laweza kuwa ni la kurithi, kwa maana matatizo yanaweza kuwa ni katika chembe za urithi(vinasaba) katika familia fulani.

CHUNUSI_ZINATIBIKA_NA_KUPONA KABISA
Kwa mawasiliano piga 0764178639

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA ZONE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA ZONE:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram