17/09/2022
SURUHISHO LA MAUMIVU YA PINGIL IZA MGONGO,KIUNO,NA NYONGA.
(0757898003)
WATU WENGI WANAPATA MAUMIVU YA MGONGO KIUNO,MAGOTI NA NYONGA KWA MUDA MREFU BILA KUPATA SURUHISHO LA KUDUMU.
UKWELI NI KWAMBA MATUMIZI YA DAWA ZA KUTULIZA MAUMIVU SIO JIBU LA MAUMIVU HAYO. MAZOEZI HUSAIDIA LAKINI PEKEYAKE SIO TIBA ,WENGINE WANAHUDHULIA KUCHUKUA DAWA HOSPTALI KILA MWEZI HADI MWAKA MZIMA BILA KUPATA SURUHISHO LA KUDUMU, HAKUNA DOZI INAYOTOA SURUHISHO IKAWA NI YA MWAKA ZINAKUPA NAFUU YA TATIZO LAKO LAKINI SIO SURUHISHO LA KUDUMU KUNA WALIOFANYIWA UPASUAJI NA WAMEPATA NAFUU LAKINI BADO WANAPATA MAUMIVU YA VIUNGO.
JE UTUMIE NINI SASA ? KITU CHA KWANZA HAKIKISHA UNAPOPATA MAUMIVU HAYA UNACHUKUA TAHADHARI KWA KWENDA KUPIMA .HII INAKUSAIDIA KUA NA UHAKIKA WA TATIZO LAKO INAKUSAIDIA KUPEWA TIBA KADILI YA TATIZO LAKO.
NIMEWASAIDIA WENGI KUTIBU CHANGAMOTO ZA KUSAGIKA KWA PINGILI ZA MGONGO,KIUNO,NA NYONGA PAMOJA NA UTE KUTEMWA. WAPO WANAOPATA SHIDA ZA MIFUPA KWA SABABU YA AJALI PIA UTASADIWA KADIRI YA TATIZO LAKO.
VIRUTUBISHO SAHIHI VINA AINA NYINGI ZA MADINI YA KUJENGA MIFUPA,KUZALISHA UTE KUZALISHA GEGEDU NDANI YAKE VINA ZINC , CALCIUM,VITAMIN D,MADINI YA CHRONGOTIN,MAGNESIUM ZINC HUZALISHA UTE NA KUONDOA SUMU ZOTE MWILINI.KARIBU KWA USHAURI ZAIDI
NAJUA UMEHANGAIKA USIJIKATIE TAMAA KUMBUKA
"AFYA YAKO NI MAISHA YAKO"
BY DR GASTON
0757898003