Afya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya, Medical and health, Ilala, Dar es Salaam.

*UGONJWA WA PID* (Pelvic Inflammatory Disease)au Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke.Magonjwa ya zinaa ndio sab...
31/08/2023

*UGONJWA WA PID* (Pelvic Inflammatory Disease)au Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke.
Magonjwa ya zinaa ndio sababu kuu ya
wanawake kupata maambukizi katika mfumo wa
uzazi yani (PID). Mwanamke 1 kati ya wanawake 8 walipota PID katika wakati wowote ndani ya maisha yao hupata tabu kushika mimba

Dr APHOTINA 0743432134

*(PID) NI NINI?*
PID ni maambukizi katika mfumo wa uzazi wa
mwanamke na mara nyingi husababishwa na
magonjwa ya zinaa k**a gonorrhea na
chlamydia ila kuna aina ya maambukizi mbali na
magonjwa ya zinaa yanaweza kusababisha
maambukizi ya PID.

*JE! MWANAMKE HUAMBUKIZWAJE PID?*
Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza
kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na:
- K**a una ugonjwa wa zinaa na haijatibiwa
- Kufanya ngono zembe isiyo salama (yani kulala
na wanaume tafauti tafauti)
- Kuwa na mpenzi ambaye ana wanawake wengi
nnje
- K**a umekuwepo na historia ya PID hapo
nyuma
- Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara
baada ya kujifungua (au postpartum period)
- Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya
kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post
abortion) au mara baada ya mimba kutoka
(miscarriage)
- Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa
uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa
mpango
- Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya
PID
- Kutumia (Vaginal Dauche)

*UTAJUAJE UKO NA (PID)?*
Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID.
Miongoni mwa dalili hizi ni:
- Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa
maeneo ya chini ya kitovu
- Kupata maumivu ya mgongo
- Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za
siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya.
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kupata maumivu au kutokwa na damu wakati
wa tendo la ndoa
- Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi
- Kupata homa
- Kupata damu innje ya siku zako zako za-
kawaida kupata damu ya hedhi
- Wakati fulani kuhisi kichefuchefu k**a
mwanamke mja mzito na kutapika

*VIPIMO VYA PID*
Hakuna vipimo maalum kudhibitisha mwanamke
ameathirika ila Dactari hujua mwanamke
ameathirika baada ya kuchukua historia ya
muhusika na kufanya vipimo vingine k**a:
- Kuchunguza mkojo ili kufahamu k**a mgonjwa
ana mimba. Kipimo hiki ni muhimu hasa kwa
mwanamke aliye katika umri wa kuzaa au
mwenye uwezo wa kubeba mimba
- Uchunguzi wa mkojo kwenye darubini ili
kutambua aina za vimelea vinavyomletea
mgonjwa uambukizi. Aidha mkojo huweza
kuoteshwa katika maabara kwa ajili ya kutambua
aina nyingine za vimelea viletavyo uambukizi huo.
- Kupima damu kwa ajili ya kuchunguza jinsi aina
mbalimbali za chembe za damu zilivyoathiriwa na
uambukizi huo au k**a kuna mwingiliano na
magonjwa mengine yaliyojificha. Kipimo hiki kwa
kitaalamu huitwa (Full Blood Picture).
- Kuchukua utando unaozunguka shingo ya uzazi
na kuuotesha kwa ajili ya utambuzi wa aina za
vimelea viletavyo maambukizi hayo. Kipimo hiki
huitwa (Cervical culture)
- Aidha ni muhimu pia kufanya vipimo vingine kwa
ajili ya utambuzi wa magonjwa yaambukizwayo
kwa njia ya kujamiiana, k**a vile virusi vya
ukimwi na kisonono.
- Mgonjwa pia anaweza kufanyiwa ultrasound ya
nyonga ili kuangalia k**a kuna athari yeyote
katika mfumo wake wa uzazi.

*JE PID INAWEZA KUTIBIWA?*
Jibu ni ndio k**a itagunduliwa mapema inaweza
kutibiwa na ikaisha, ila ieleweke k**a tayari
ilikuwa imeharibu njia za uzazi uharibifu ule
haiwezi kurekebishwa. Kila mara ukichelewesha
kutibu PID ndivyo itaharibu mfumo wako wote wa
uzazi sasa ni muhimu ukiona mojawapo wa dalili
nilizozitaja utembelee daktari ili upate tiba. Hata
k**a utatibiwa na zile dalili zikapotea hakikisha
kila mara unashauriana na daktari wako na
ukipata mume mwingine ni muhimu umueleze ili
mpate matibabu msi-ambukizane mara kwa
mara. Ijulikane k**a ulikuwa na PID awali
inaweza kurudi mara kwa mara.

*MATIBABU*
Mara mgonjwa anapogunduliwa kuwa
ameathiriwa na ugonjwa huu, dawa za jamii ya
antibayotiki huweza kutumika kwa ajili ya kuua
vimelea vya ugonjwa .
Ieleweke pia mara nyingi ugonjwa hujirudia mara
kwa mara k**a mwanamke atapewa tiba na
mume asitibiwe. Na k**a maambukizi imekuwa
sugu inabidi muathiriwa amueleze daktari ili
apate kutumia anti-biotics kwa mda mrefu kuliko
kawaida. Lakini muhimu sana mwanaume apewe
dawa wakati mwanamke anatibiwa. Ikiwa
mwanamke peke yake atapata tiba pindi atakapo
lala na mwanaume yule yule maambukizi
yatarejelea.
*MADHARA YAKUTO-FWATA MATIBABU*
- Maumivu ya mfuko wa uzazi wakudumu
- Utapata ugumu wa kushika mimba
- Ectopic pregnancy (mtoto kuwa innje ya mfuko
wa uzazi)
- Kuziba kwa njia ya uzazi

*JINSI YA KUZUIA MAAMBUKIZI*
Kuna njia kadhaa za kuzuia maambukizi katika
mfumo wa uzazi. Njia hizi ni pamoja na:
- Njia hakiki ya kujizuia na maambukizi haya ni
kuwacha ngono zembe na kufanya ngono salama
- Kuwahi kuwaona wataalamu wa afya mara dalili
za ugonjwa huu zinapoanza kujitokeza au pindi tu
unapogundua kuwa mwenzi wako ana dalili za
magonjwa ya zinaa au anatembea na wanawake
wengine
- Kufanya vipimo mara kwa mara hasa vya
mfumo wa uzazi, pamoja na vipimo vya
maambukizi ya magonjwa yanayosambazwa kwa
njia ya ngono (STI) khususan ugonjwa wa
chlamydia ufanyie vipimo kila mwaka mara 1
- Kutofanya ngono mara baada ya kujifungua,
mimba kutoka au mara baada ya kutoa mimba ili
kuhakikisha njia ya shingo ya uzazi imefunga
vema.
TUNAPATIKANA MIKOA YOTE TANZANIA NZIMA ,HAKUNA HAJA YA KUSAFIRISHIWA DAWA,MPIGIE DOCTOR AKUPE MAELEKEZO YA OFISI ZILIPO.
Ahsante.0743432134

FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA SAHIHI YA KUEPUKANA  NAYO.KARIBUNI. +255763383264Dr GROLY.Kila mwanaume anazaliwa na Tez...
25/08/2023

FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA SAHIHI YA KUEPUKANA NAYO.

KARIBUNI. +255763383264
Dr GROLY.
Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.

Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

UKUAJI WA TEZI DUME.

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.
Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.
Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; Na 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.
Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

II. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jami kuhusu afya bora na Virutubisho.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:
- Ukosefu wa lishe kamili na upungufu wa Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa sumu nyingi na mafuta mengi mwilini hasa katika mishipa na ogani za uzazi
- Kutokufanya mazoezi
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo (Stress )
- Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuwaji wa korodani,matatizo ya kimaumbile ya Korodani
- Historia ya Familia (Kurithi)
- Mazingira (Ethnicity)n.k

III. DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME

Tatizo la Tezi Dume si tatizo la kutokea tuu siku moja na mara moja tuu na ndo maana tunasisitiza sana matumizi ya Suppliments (Virutubisho) kwa mwanaume yeyote anaejari Afya yake. Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), atambue alianza kupata tatizo hilo kwa muda mrefu sana, Wengi wao hueleza dalili za tatizo hili huanza kuziona si chini ya miaka 3.
Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa, ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).

Saratani ziko stage nne.
Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako
mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali

- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika

- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa kuzuia mkojo , pindi unapohisi kukojoa
- Kushindwa kuzuia haja kubwa
(kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kujaa gesi mara kwa mara kwa mara

Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.

MADHARA:
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma : hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo

V. SULUHISHO KWA TEZI ILIYOTANUKA

a) Suluhisho Linalopendwa na
Watu wengi pindi wanapopatwa na madhara ya Tezi dume ni Dawa na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.
Tezi iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana.
Kuna njia 3 za kudhibiti Tezi iliyotanuka
1. Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari:
Inashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali k**a madawa, upasuaji na Tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mbadala.
2. Madawa
“Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi Dume yaligunduliwa miaka 30 iliyopita, yanasababisha athari kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha magoti. Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za Ulaya.”
– Johnathon Waxman , Cancer Specialist, Hammer Smith Hospital, London
3. Upasuaji
Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea “70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo.”
– Johnathon Waxman
Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na manufaa.

b) Suluhisho la kudumu (Bora)

JE NINI WAWEZA KUFANYA KUJIKINGA NA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA TEZI DUME??.

SOMA HAPA:
Miili yetu hihitaji virutubisho muhimu ili kuimarisha Kinga na Kuulisha mwili wetu.

Vitu gani vya kuzingatia kuilinda tezi dume?

1. Kula mboga mboga na matunda kwa wingi kulingana na kundi lako la damu yako.
2. Punguza au acha kuvuta sigara
3. Punguza au acha utumiaji wa pombe kali.
4. Punguza kukaa kwa mda mrefu sehemu moja kwa siku.
Fanya mazoezi kwa wingi.(Sitting is a new smoking)
5. Kutovaa nguo za kubana
6. Vaa chupi za cotton na sio material yeyote.
7. Kuhakikisha Uume uwe una erect mara kwa mara
8. Na mwisho Zingatia Matumizi ya Virutubisho. Utumiaji wa virutubisho ( Supplements) hasa vinavyohusika na Tezi dume, Uzazi kwa mwanaume(Nguvu za kiume) pamoja na ogani zote za uzazi.

Tezi Dume inatanuka kwasababu ya upungufu wa madini na virutubisho mwili unavyohitaji.
Kwa watu wenye uhitaji wa kujikinga na pia wenye changamoto hii ya kutanuka kwa Tezi Dume, na mfumo wa uzazi mwanaume ,na
Kampuni tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu . Supplements hizi ni vyakula, siyo madawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza mfumo bora wa mwili na uzazi wenye afya bora na nadhifu.

Supplements hizi (Virutubisho) vina mchanganyiko wa Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals .
Pia Program zetu za lishe zimethibitishwa na mashirika ya kuthibiti ubora wa viwango vya bidhaa duniani. Na kwa hapa Tanzania, zimethibitshwa na mamlaka ya chakula na madawa (TFDA).

TUNAPATIKANA
DAR ES SALAAM
ILALA BOMA NA MIKOA YOTE TANZANIA NZIMA PIGA SIMU KWA DOCTOR AKUPE MAELEKEZO.

Wasiliana nami: +255763383264

KARIBUNI .. KWA AFYA YA MWANAUME

*UGONJWA WA PID* (Pelvic Inflammatory Disease)au Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke.Magonjwa ya zinaa ndio sab...
17/08/2023

*UGONJWA WA PID* (Pelvic Inflammatory Disease)au Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke.
Magonjwa ya zinaa ndio sababu kuu ya
wanawake kupata maambukizi katika mfumo wa
uzazi yani (PID). Mwanamke 1 kati ya wanawake 8 walipota PID katika wakati wowote ndani ya maisha yao hupata tabu kushika mimba

Dr SHARON 0626579526

*(PID) NI NINI?*
PID ni maambukizi katika mfumo wa uzazi wa
mwanamke na mara nyingi husababishwa na
magonjwa ya zinaa k**a gonorrhea na
chlamydia ila kuna aina ya maambukizi mbali na
magonjwa ya zinaa yanaweza kusababisha
maambukizi ya PID.

*JE! MWANAMKE HUAMBUKIZWAJE PID?*
Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza
kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na:
- K**a una ugonjwa wa zinaa na haijatibiwa
- Kufanya ngono zembe isiyo salama (yani kulala
na wanaume tafauti tafauti)
- Kuwa na mpenzi ambaye ana wanawake wengi
nnje
- K**a umekuwepo na historia ya PID hapo
nyuma
- Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara
baada ya kujifungua (au postpartum period)
- Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya
kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post
abortion) au mara baada ya mimba kutoka
(miscarriage)
- Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa
uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa
mpango
- Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya
PID
- Kutumia (Vaginal Dauche)

*UTAJUAJE UKO NA (PID)?*
Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID.
Miongoni mwa dalili hizi ni:
- Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa
maeneo ya chini ya kitovu
- Kupata maumivu ya mgongo
- Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za
siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya.
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kupata maumivu au kutokwa na damu wakati
wa tendo la ndoa
- Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi
- Kupata homa
- Kupata damu innje ya siku zako zako za-
kawaida kupata damu ya hedhi
- Wakati fulani kuhisi kichefuchefu k**a
mwanamke mja mzito na kutapika

*VIPIMO VYA PID*
Hakuna vipimo maalum kudhibitisha mwanamke
ameathirika ila Dactari hujua mwanamke
ameathirika baada ya kuchukua historia ya
muhusika na kufanya vipimo vingine k**a:
- Kuchunguza mkojo ili kufahamu k**a mgonjwa
ana mimba. Kipimo hiki ni muhimu hasa kwa
mwanamke aliye katika umri wa kuzaa au
mwenye uwezo wa kubeba mimba
- Uchunguzi wa mkojo kwenye darubini ili
kutambua aina za vimelea vinavyomletea
mgonjwa uambukizi. Aidha mkojo huweza
kuoteshwa katika maabara kwa ajili ya kutambua
aina nyingine za vimelea viletavyo uambukizi huo.
- Kupima damu kwa ajili ya kuchunguza jinsi aina
mbalimbali za chembe za damu zilivyoathiriwa na
uambukizi huo au k**a kuna mwingiliano na
magonjwa mengine yaliyojificha. Kipimo hiki kwa
kitaalamu huitwa (Full Blood Picture).
- Kuchukua utando unaozunguka shingo ya uzazi
na kuuotesha kwa ajili ya utambuzi wa aina za
vimelea viletavyo maambukizi hayo. Kipimo hiki
huitwa (Cervical culture)
- Aidha ni muhimu pia kufanya vipimo vingine kwa
ajili ya utambuzi wa magonjwa yaambukizwayo
kwa njia ya kujamiiana, k**a vile virusi vya
ukimwi na kisonono.
- Mgonjwa pia anaweza kufanyiwa ultrasound ya
nyonga ili kuangalia k**a kuna athari yeyote
katika mfumo wake wa uzazi.

*JE PID INAWEZA KUTIBIWA?*
Jibu ni ndio k**a itagunduliwa mapema inaweza
kutibiwa na ikaisha, ila ieleweke k**a tayari
ilikuwa imeharibu njia za uzazi uharibifu ule
haiwezi kurekebishwa. Kila mara ukichelewesha
kutibu PID ndivyo itaharibu mfumo wako wote wa
uzazi sasa ni muhimu ukiona mojawapo wa dalili
nilizozitaja utembelee daktari ili upate tiba. Hata
k**a utatibiwa na zile dalili zikapotea hakikisha
kila mara unashauriana na daktari wako na
ukipata mume mwingine ni muhimu umueleze ili
mpate matibabu msi-ambukizane mara kwa
mara. Ijulikane k**a ulikuwa na PID awali
inaweza kurudi mara kwa mara.

*MATIBABU*
Mara mgonjwa anapogunduliwa kuwa
ameathiriwa na ugonjwa huu, dawa za jamii ya
antibayotiki huweza kutumika kwa ajili ya kuua
vimelea vya ugonjwa .
Ieleweke pia mara nyingi ugonjwa hujirudia mara
kwa mara k**a mwanamke atapewa tiba na
mume asitibiwe. Na k**a maambukizi imekuwa
sugu inabidi muathiriwa amueleze daktari ili
apate kutumia anti-biotics kwa mda mrefu kuliko
kawaida. Lakini muhimu sana mwanaume apewe
dawa wakati mwanamke anatibiwa. Ikiwa
mwanamke peke yake atapata tiba pindi atakapo
lala na mwanaume yule yule maambukizi
yatarejelea.
*MADHARA YAKUTO-FWATA MATIBABU*
- Maumivu ya mfuko wa uzazi wakudumu
- Utapata ugumu wa kushika mimba
- Ectopic pregnancy (mtoto kuwa innje ya mfuko
wa uzazi)
- Kuziba kwa njia ya uzazi

*JINSI YA KUZUIA MAAMBUKIZI*
Kuna njia kadhaa za kuzuia maambukizi katika
mfumo wa uzazi. Njia hizi ni pamoja na:
- Njia hakiki ya kujizuia na maambukizi haya ni
kuwacha ngono zembe na kufanya ngono salama
- Kuwahi kuwaona wataalamu wa afya mara dalili
za ugonjwa huu zinapoanza kujitokeza au pindi tu
unapogundua kuwa mwenzi wako ana dalili za
magonjwa ya zinaa au anatembea na wanawake
wengine
- Kufanya vipimo mara kwa mara hasa vya
mfumo wa uzazi, pamoja na vipimo vya
maambukizi ya magonjwa yanayosambazwa kwa
njia ya ngono (STI) khususan ugonjwa wa
chlamydia ufanyie vipimo kila mwaka mara 1
- Kutofanya ngono mara baada ya kujifungua,
mimba kutoka au mara baada ya kutoa mimba ili
kuhakikisha njia ya shingo ya uzazi imefunga
vema.
TUNAPATIKANA MIKOA YOTE TANZANIA NZIMA ,HAKUNA HAJA YA KUSAFIRISHIWA DAWA,MPIGIE DOCTOR AKUPE MAELEKEZO YA OFISI ZILIPO.
Ahsante.0626579526

FAHAMU ZAIDI KUHUSU VIDONDA VYA TUMBODR MTAWA 0717418778.*VYAKULA HATARI KWA VIDONDA VYA TUMBO*1. PombeUnywaji wa pombe ...
29/07/2023

FAHAMU ZAIDI KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO
DR MTAWA 0717418778.
*VYAKULA HATARI KWA VIDONDA VYA TUMBO*

1. Pombe
Unywaji wa pombe unaweza kuathiri na kuharibu kuta za tumbo na utumbo. Hali hii inaweza kuongeza hatari ya kuweza kupata vidonda vya tumbo. Ama inaweza kusababisha hali ya mgonjwa kuwa mbaya zaidi.

2. Kahawa;
Kahawa inaweza kusababisha kuongezeka kwa uzalishwaji wa tindikali za tumboni (stomach acid). tindikal hizi zikizalishwa kwa wingi tumboni zinaweza kuchubuwa ukuta wa tumbo na hatimaye kusababisha vidonda vya tumbo

3, Vyakula vyenye mafuta na fati kwa wingi.
4, Pilipili kali vyema kupunguza kuzitumia
5.. Vyakula vyenye chumvi nyingi
6. Vyakula vya kuoka
7.. Vyakula vyenye uchachu
8. Wacha kuvuta sigara

*SABABU ZA VIDONDA VYA TUMBO SUGU*

Vidonda vya tumbo ambavyo haviponi na matibabu huitwa vidonda sugu. Kuna sababu nyingi kwa nini kidonda kinaweza kushindwa kupona, pamoja na:
1. kutokuchukua dawa kulingana na maelekezo
2. Kuwepo kwa bakteria sugu. Ukweli kwamba aina fulani za H. pylori ni sugu kwa antibiotics (dawa).
3. Matumizi ya mara kwa mara ya tumbaku (sigara)
4. Matumizi ya mara kwa mara ya dawa za kupunguza maumivu - NSAIDs na aspirini ambayo huongeza hatari ya vidonda.
5. Matumizi ya dawa isiyo sahihi. Vidonda vya tumbo vitibiwekutokana na asili. K**a asili ni bakteria kwanz amtu apewe dawa ya kuuwa bakteria.
TUPIGIE UPATE HUDUMA YA KUDUMU .TUPO MIKOA YOTE TANZANIA NZIMA.
VIDONDA VYA TUMBO NA MATATIZO YOOTE YA TUMBO TUNAWEZA KUKUSHAURI NA KUKUSAIDIA UKAPONA KABISA.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0717418778
DR MTAWA.

JE? UNAMATATIZO KATIKA  MMENG'ENYO WA CHAKULA/MFUMO WA CHAKULA.Mfumo wa chakula ni jumla ya viungo vya mwili vinavyofany...
09/07/2023

JE? UNAMATATIZO KATIKA MMENG'ENYO WA CHAKULA/MFUMO WA CHAKULA.

Mfumo wa chakula ni jumla ya viungo vya mwili vinavyofanya kazi ya kuingiza chakula mwilini,kusaga,kukisafirisha chakula ndani ya mwili,kuondoa lishe inayotakiwa na mwili na nyingne kuondolewa nje k**a uchafu.

VIUNGO VINAVYOHUSIKA KATIKA MFUMO WA MMENG'ENYAJI WA CHAKULA.
Umio,ulimi,INI,kinywa,kongosho,utumbo mpana na mwembamba,mfuko wa nyongo na tumbo,na rektamu.

MFUMO WA MMENG'ENYA WA CHAKULA IMARA.
Ni kitendo cha kuwa na mifumo wa mmeng'enyaji wa chakula unaofanya kazi yake vyema na ufanisi zaidi.

DALILI ZA MFUMO WAKO WA CHAKULA HAUPO SAWA.

👉🏼 kutopata choo mda mrefu (ukila Mara tatu upate choo pia tatu)

👉🏼 ukienda haja kubwa hutakiwi kusubiria,kupata maumivu na kulazimisha ( yaani kiwe laini na kufungamana k**a ndizi ) kikitoka k**a cha mbuzi ni tatizo.

👉🏼 kinyesi kuwa na harufu Kali sana na rangi nyeusi.Inaashiria kuoza kwa uchafu huo ndani ya tumbo kwa kukaa mda mrefu au bila kutoka kwa wakati.

👉🏼 kuwa na tumbo kubwa lenye umbo la U.

MAGONJWA AU MATATIZO YATOKANAYO NA MFUMO WAKO KUTOKUWA SAWA.

👉🏼 vidonda vya tumbo.

👉🏼 magonjwa ya INI na Figo.

👉🏼 mapafu kufeli.

👉🏼 bawasiri.

👉🏼 kisukari na presha.

👉🏼 kichwa kuuma sana.

👉🏼 kuonekana na uso wa uzee ikiwemo chunusi.

👉🏼 Kansa ya tumbo na ya njia ya haja kubwa.

👉🏼 kukosa nguvu za kiume.

👉🏼 kiungulia na tumbo kujaa gesi.

👉🏼 acid mwilini.

👉🏼 Tatizo la kupata mtoto kutokana na tumbo kulalia sehemu za uzazi kwa wanawake.

👉🏼 kutopata choo.

JINSI YA KUIMARISHA MFUMO HUU KWA MATIBABU YA AWALI KABLA YA KUPATA MATIBABU YENYEWE FANYA HIVI.

👉🏼 Tumia maji ya binzali nyembamba.

👉🏼 maji mengi.

👉🏼 mazoezi.

👉🏼 papai,parachichi,alovera na mlonge.

👉🏼 mazoezi.

K**a mfumo wako utakuwa imara kuna aslimia 95% kutopata ugonjwa wowote fuata maelekezo na tiba kwa uwezo wa mungu utakuwa SAWA.

Dr Agnes health and beauty TIBA SAHIHI
+255625558700
+222673870150
PIA UNAWEZA KUJIUNGA KWENYE GROUP LA AFYA KUPATA ELIMU ZAIDI KUPITIA LINK HII HAPO CHINI.
https://chat.whatsapp.com/HB128FYZpQv4XhypfTeMEm

UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO  (PEPTIC ULCER0673870150 DR AGNESS. 👉🏿 Vidonda Vya Tumbo ni nini?• Vidonda vya tumbo (Pepti...
17/05/2023

UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCER
0673870150 DR AGNESS.

👉🏿 Vidonda Vya Tumbo ni nini?

• Vidonda vya tumbo (Peptic Ulcers) ni ugonjwa unaompata mtu ambapo kunatokea vijitundu au michubuko katika kuta za ndani za viungo vya mfumo wa uyeyushaji chakula.

• Michubuko hiyo huweza kutokea katika eneo la mfuko wa tumbo, katika duodenum au katika eneo la koo.

Inakadiriwa kuwa asilimia 5 hadi 10 ya watu hupatwa na ugonjwa huu angalau mara moja katika maisha yao.

• Huu ni ugonjwa ambao unaweza kumrudia mtu baada ya kupona endapo chanzo chake hakikudhibitiwa.

• K**a ugonjwa huu utamrudia mgonjwa , mtu huyu atakuwa amejiweka kwenye hatari kubwa ya kupata madhara makubwa zaidi k**a kutokwa na damu au kutokea tundu kubwa katika kuta za mfuko wa tumbo.

👉🏿 Dalili za Ugonjwa huu.

• Kukosa hamu na Uwezo Wa Tendo la Ndoa.

• Kuchoka choka sana bila sababu maalum.

• Kuuma mgongo au kiuno..

• Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia

• Kizunguzungu.

• Kukosa usingizi.

• Usingizi wa mara kwa mara.

• Maumivu makali sehemu ya mwili.

• Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali.

• Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma k**a sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali

• Kichefuchefu.

• Kiungulia.

• Tumbo kujaa gesi.

•Tumbo kuwaka moto.

• Maumivu makali sehemu kilipo kidonda.

• Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika k**a cha mbuzi

• Kutapika nyongo.

• Kutapika damu au kuharisha.

• Sehemu za mwili kupata ganzi.

• Kukosa hamu ya kula.

• Kula kupita kiasi.

•Kusahahu sahau na Hasira bila sababu.

Chanzo Cha Vidonda vya tumbo ?

• Linapokuja suala la nini husababisha vidonda vya tumbo unaweza ukapata stori nyingi bila idadi, lakini kwa kifupi kabisa; vidonda vya tumbo ni ishara za mwili kupungukiwa maji na k**a matokeo ya asidi kuzidi mwilini kuliko alkaline. Vinaweza pia kuletwa na bakteria ajulikanaye k**a H.Pyroli.

👉🏿 Vitu vifuatavyo vinahusika katika kuleta vidonda vya tumbo mwilini:

👉Matumizi ya muda mrefu ya dawa za kuondoa maumivu.

👉Uvutaji wa sigara.

👉Unywaji wa pombe.

👉Mfadhaiko wa akili utokanao na shida za maisha.

Madhara ya Vidonda vya tumbo.

Uvujaji wa damu ndani ya utumbo:

• Hali hii yaweza kusababishwa na vidonda kuenea hadi kwenye mishipa ya damu na hivyo kufanya damu kuanza kuvuja.

• Hali hii ni hatari sana na inahitaji tiba ya dharura.

• Vidonda vya tumbo huweza kusababisha tundu (kutoboka kwa ukuta wa tumbo) na kufanya vitu vilivyo ndani ya utumbo kutapakaa katika tumbo (abdomen) Hali hii huitwa peritonitis na ni hatari sana na inahitaji matibabu ya dharura.

• Aidha, kuenea huko kunaweza pia kuathiri tezi kongosho na kusababisha madhara katika tezi hiyo, ugonjwa unaojulikana k**a pancreatitis.

• Vidonda vya tumbo vinaweza pia kuenea na kuathiri pia viungo vya jirani k**a vile ini au kongosho (pancrease).

• Kuvimba kwa kuta za tumbo pamoja na makovu yanayosababishwa na vidonda hivi huweza kusababisha kuziba kwa njia ya kupitishia chakula kutoka kwenye tumbo (stomach) kwenda sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo (duodenum) hali ambayo kitaalamu huitwa gastric outlet obstruction.

• Iwapo vidonda vya tumbo vimesababishwa na H. pylori, kuna uwezekano wa kati ya mara tatu hadi ya sita ya mgonjwa kupata kansa ya tumbo (stomach cancer).

♐Vidonda Vya Tumbo Vinatibika na Kupona Kabisa♐
TUNACHOZINGATIA NI UHAKIKA WA KUPONA .MPIGIE DOCTOR PIA AKUPE SHUHUDA YA NAMBA ZA AMBAO WASHAPONA ILI UJIRIDHUSHE.USIJAE TENA NA HILI TATIZO.HAIWEZEKANI WATU WATESEKE MIAKA YOTE HIYO WAKATI SISI TUMESOMEA KUWASAIDIA.KARIBU UPATE UPONYAJI NA UTAKAA SAWA K**A ZAMANI.

Tunapatikana kila mkoa hapa Tanzania
Piga 0673870150

Address

Ilala
Dar Es Salaam
1201

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram