Jali Afya Yako

Jali Afya Yako You're Health is Our Concern ~
Call Us +255655562181 / +255769600821

"JILINDE NA UPOFU WA KIMYAKIMYA (GLAUCOMA)! - TAMBUA NA TIBU MAPEMA GLAUCOMA๐Ÿ‘๏ธโš ๏ธโ€‹Je, unajua kuwa Presha ya Macho haina d...
23/04/2026

"JILINDE NA UPOFU WA KIMYAKIMYA (GLAUCOMA)! - TAMBUA NA TIBU MAPEMA GLAUCOMA๐Ÿ‘๏ธโš ๏ธ

โ€‹Je, unajua kuwa Presha ya Macho haina dalili za wazi mpaka hatua za hatari?

- Usisubiri kuona "ukungu" au kupoteza uwezo wa kuona pembeni ndipo uchukue hatua.
- โ€‹K**a una umri wa miaka 40+, una kisukari, au kuna historia ya ugonjwa huu kwenye familia yako, uko hatarini zaidi!

โ€ข Glaucoma ni adui wa kimyakimya anayeshambulia mishipa ya fahamu ya jicho (Optic Nerve). Isipodhibitiwa, huleta upofu wa kudumu.

โ€‹Dalili za Mapema:

- โ€‹Maumivu ya macho na macho kuwa mekundu.
- โ€‹Kuona ukungu au mawingu.
- โ€‹Kichefuchefu na kutapika (kwa presha ya ghafla).
- Macho Kuwasha na kutoka macho.
- Kutoona mbali au karibu.
- Kupungua uwezo wa kuona. n.k.

โˆš โ€‹Usikubali Nuru Yako Ififie! Tunakuletea virutubisho asilia vyenye teknolojia ya hali ya juu. Bidhaa zetu zimeondolewa sumu na kemikali zote, zikiwa na lengo la kusaidia kurekebisha mifumo ya jicho kwa usalama zaidi.

โ€‹Wasiliana Nasi Leo:

๐Ÿ“ Ofisi zetu zipo Makumbusho, DSM.
๐Ÿ“ž Simu: 0769 600 821
๐Ÿ“ฑ WhatsApp: 0655 562 181
โ€‹๐Ÿ“ Tupate: Kinondoni Manyanya na Makumbusho, Dar es Salaam.
๐Ÿšš Mikoani: Tunatuma popote.

โˆš โ€‹Wahi matibabu leo, linda uwezo wako wa kuona kesho!
โˆš Afya ya macho yako ndiyo nuru ya maisha yako.

โš ๏ธ JE ACID REFLUX INAWEZA KUSABABISHA SARATANI?Ndiyo โ€” acid reflux ya muda mrefu inaweza kusababisha mabadiliko kwenye s...
17/04/2026

โš ๏ธ JE ACID REFLUX INAWEZA KUSABABISHA SARATANI?

Ndiyo โ€” acid reflux ya muda mrefu inaweza kusababisha mabadiliko kwenye seli za umio (Barrettโ€™s Esophagus) na kuongeza hatari ya kupata saratani ya umio k**a haitatibiwa mapema.

๐Ÿ”Ž Dalili za kuangalia:

โ€ข Kiungulia cha mara kwa mara.
โ€ข Asidi kupanda kooni.
โ€ข Maumivu ya tumbo au kifua.
โ€ข Kikohozi cha muda mrefu.
โ€ข Ugumu wa kumeza.
โ€ข Vichomi na kubanwa mbavu.
โ€ข Mafua yasiyokwisha.
โ€ข Kuhisi kichefuchefu.
โ€ข Kuhisi kitu kimekwama kooni.
โ€ข Muwasho kwenye Koo.

๐Ÿ’ก Suluhisho kutoka Good Hope Health Care.

Tunatoa huduma bora za matibabu ya matatizo ya tumbo.
๐ŸŒฟ Gastria Kit yetu imesaidia wengi kumaliza kabisa โœ”๏ธ Acid reflux na kufanya wafurahie kula chochote bila hofu ya maumivu.

Huondoa -
โœ”๏ธ Vidonda vya tumbo.
โœ”๏ธ Kiungulia na gesi tumboni.

(Inatumika kwa ushauri sahihi wa kitaalamu ili kupata matokeo mazuri zaidi).

๐Ÿ“Œ Kumbuka: Usipuuzie dalili โ€” chukua hatua mapema kulinda afya yako.

๐Ÿ“ Good Hope Health Care
๐Ÿ“ž +255 769 600 821 | +255 655 562 181
๐Ÿ“ฒ (SMS, WhatsApp & Call).

Afya yako ni jukumu letu.

๐Ÿ“ข SURA MPYA YA KUDHIBITI TEZI DUME NA KISUKARI!โ€‹๐Ÿ“ขโ€‹Je, unajua kuwa afya ya tezi dume na kisukari huenda sambamba? Usisubi...
11/04/2026

๐Ÿ“ข SURA MPYA YA KUDHIBITI TEZI DUME NA KISUKARI!โ€‹๐Ÿ“ข

โ€‹Je, unajua kuwa afya ya tezi dume na kisukari huenda sambamba? Usisubiri dalili ziwe mbaya, chukua hatua sasa kulinda afya yako na kuishi kwa amani.

โ€‹GOOD HOPE HEALTH CARE tuko hapa kukupa suluhisho la uhakika kwa kutumia utaalamu wa kisasa na huduma zenye upendo.

โ€‹๐Ÿ›ก๏ธ KWANINI UCHAGUE HUDUMA ZETU?

โˆš โ€‹Utaalamu wa Hali ya Juu:
โˆš Tunadhibiti Tezi Dume (BPH) bila hofu.
โˆš โ€‹Usimamizi wa Kisukari:
โˆš Tunakusaidia kurekebisha sukari yako na kuzuia madhara ya muda mrefu.
โˆš โ€‹Ushauri wa Kitaalamu:
โˆš Utapata muongozo wa lishe na mfumo wa maisha unaofaa.

โ€‹"Your Health is our Concern" โ€“ Afya yako ndiyo kipaumbele chetu kikuu.

โ€‹๐Ÿ“ WASILIANA NASI LEO:

โ€‹Usikae na maumivu au hofu moyoni. Piga simu sasa au tufuate kwenye mitandao ya kijamii kwa elimu zaidi:
โ€‹๐Ÿ“ž Simu: +255 655 562 181 | +255 769 600 821
๐ŸŒ Tovuti: www.afyabora.com
๐Ÿ“ธ Instagram: .co.tz
๐Ÿ”ต Facebook:
โ€‹Wahi mapema, Afya yako ni Mtaji wako!

Je, ACID REFLUX NA VIDONDA VYA TUMBO VINAKUNYIMA AMANI?Usikubali kuishi na maumivu kila siku! Ikiwa unakabiliwa na dalil...
09/04/2026

Je, ACID REFLUX NA VIDONDA VYA TUMBO VINAKUNYIMA AMANI?

Usikubali kuishi na maumivu kila siku! Ikiwa unakabiliwa na dalili zifuatazo, Gastria Kit ndio suluhisho lako:

โ€ขMaumivu ya tumbo mara kwa mara.
โ€ขKiungulia kisichoishaโ€ขKichefuchefu na kujaa gesi.
โ€ขUsingizi kukatika kwa sababu ya maumivu.
โ€ขMaumivu yanayoongezeka ukiwa na njaa.
โ€ขKupaliwa na kukosa pumzi ukiwa. usingizini.
โ€ขKuhisi kitu au chakula kimekwama kooni.
โ€ขKikohozi kikavu kisichokwisha.
โ€ขVichomi kwenye mbavu.
โ€ขUtelezi ama uteute mwingi kooni usiokwisha.
โ€ขKuvimba Tonsils au Lymph nodes mara kwa mara.
โ€ขUkavu kooni..
โ€ขKuwa na mate machachu k**a ndimu au limao.
โ€ขMaumivu ya mwili au viungo na uchovu usiokwisha.

Gastria Kit ni tiba asili ya 100% iliyotothibitishwa na mamlaka mbali mbali za chakula na dawa duniani na iliyosajiliwa na TFDA (HERBAL0001/2023), inayokupa unafuu wa haraka na wa kudumu.

Inafanya kazi kwa:

โ€ขKupunguza asidi tumboni.
โ€ขKupunguza maumivu.
โ€ขKusaidia uponyaji wa vidonda.
โ€ขKurejesha afya ya mfumo wa mmeng'enyo.

Watu wengi wamepona kabisa na sasa wanafurahia kula chochote bila hofu ya maumivu.

SASA NI ZAMU YAKO KUCHUKUA HATUA!WASILIANA NASI LEO KWA TIBA NA USHAURI BINAFSI:๐Ÿ“ž +255 769 600 821
๐Ÿ“ž +255 655 562 821

JE UNAJUWA NI KWA NINI WATU WENGI HAWAPONI ACID REFLUX ( GERD)? 1. Kutafuta dawa za kupunguza maumivu tu, sio chanzo cha...
27/11/2025

JE UNAJUWA NI KWA NINI WATU WENGI HAWAPONI ACID REFLUX ( GERD)?

1. Kutafuta dawa za kupunguza maumivu tu, sio chanzo cha tatizo :- Watu wengi hutumia antacids mara kwa mara, lakini hazitibu chanzo โ€” zinapunguza dalili tu kwa muda.

2. Kula vyakula vinavyochochea acid bila kujua
Kahawa, chai, pilipili, mafuta mengi, soda, tangawizi nyingi, limao โ€” watu huendelea kula bila kujua vinaongeza reflux.

3. Kula usiku sana au kulala mara baada ya kula :- Hii ndiyo sababu kubwa watu hawaponi, tumbo halijamaliza kumengโ€™enya.

4. Bacteria H. pylori kutotibiwa _ Watu wengi wana reflux inayoendeshwa na H. pylori, lakini hawajawahi kupima wala kutibu na hawajui hilo.

5. Kupata stress na anxiety mara kwa mara
Stress huongeza ute wa acid na kuathiri mmengโ€™enyo โ€” wengi hawajui kabisa.

6. Uzito mkubwa kupuuzwa _ Kitambi husukuma juu tumbo na kusababisha acid kurudi juu โ€” bila kupunguza uzito, dalili hurudi kwa haraka.

7. Kula chakula kingi kwa mara moja
Over eating hufanya acid reflux kuongezeka.

8. Kutokunywa maji ya kutosha
Maji husaidia kupunguza ukali wa acid, watu wengi hunywa chini ya lita 1 kwa siku.

9. Tatizo la Hiatal Hernia halijajulikana
Wengine wanateseka kwa miaka bila kujua wana ngili ya juu (hiatal hernia).

10. Wanatumia matibabu ya kizamani sana - Kutotumia tiba ya mimea sahihi kwa muda sahihi _ Wengi huanza dozi, wanapona kidogo, wanakata โ€” acid hurudi.

Angalizo _ Dawa za kawaida k**a antacids, PPIs (omeprazole, esomeprazole) hufanya kazi kwa:

โ€ข Kupunguza acid muda mfupi
โ€ข Kuzuia uzalishaji wa acid siku chache

Lakini hazitibu chanzo, ndiyo maana ukiacha tu dalili hurudi kwa haraka. .

โ€ข Tatizo la Acid / Tindikali Ya Tumbo Linatibika na Kupona Kabisa.

-๐Ÿ“ž"Wasiliana nasi kuhusu afya - Kupitia Simu Namba 0655562181 / 0769600821

ยฐAu Kuchart Nasi Moja Kwa Moja Watssapp Bofya link hapo chini ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
http://.wa.me/255655562181

- Pia Waweza Jiunga na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ https://chat.whatsapp.com/C4qdsFaTDTB7tUPplBak8Q

, & Usaidie na Wengine

JE UNAJUWA NI KWA NINI WATU WENGI HAWAPONI ACID REFLUX ( GERD)? 1. Kutafuta dawa za kupunguza maumivu tu, sio chanzo cha...
23/11/2025

JE UNAJUWA NI KWA NINI WATU WENGI HAWAPONI ACID REFLUX ( GERD)?

1. Kutafuta dawa za kupunguza maumivu tu, sio chanzo cha tatizo :- Watu wengi hutumia antacids mara kwa mara, lakini hazitibu chanzo โ€” zinapunguza dalili tu kwa muda.

2. Kula vyakula vinavyochochea acid bila kujua
Kahawa, chai, pilipili, mafuta mengi, soda, tangawizi nyingi, limao โ€” watu huendelea kula bila kujua vinaongeza reflux.

3. Kula usiku sana au kulala mara baada ya kula :- Hii ndiyo sababu kubwa watu hawaponi, tumbo halijamaliza kumengโ€™enya.

4. Bacteria H. pylori kutotibiwa _ Watu wengi wana reflux inayoendeshwa na H. pylori, lakini hawajawahi kupima wala kutibu na hawajui hilo.

5. Kupata stress na anxiety mara kwa mara
Stress huongeza ute wa acid na kuathiri mmengโ€™enyo โ€” wengi hawajui kabisa.

6. Uzito mkubwa kupuuzwa _ Kitambi husukuma juu tumbo na kusababisha acid kurudi juu โ€” bila kupunguza uzito, dalili hurudi kwa haraka.

7. Kula chakula kingi kwa mara moja
Over eating hufanya acid reflux kuongezeka.

8. Kutokunywa maji ya kutosha
Maji husaidia kupunguza ukali wa acid, watu wengi hunywa chini ya lita 1 kwa siku.

9. Tatizo la Hiatal Hernia halijajulikana
Wengine wanateseka kwa miaka bila kujua wana ngili ya juu (hiatal hernia).

10. Kutotumia tiba ya mimea sahihi kwa muda sahihi _ Wengi huanza dozi, wanapona kidogo, wanakata โ€” acid hurudi.

Angalizo _ Dawa za kawaida k**a antacids, PPIs (omeprazole, esomeprazole) hufanya kazi kwa:

โ€ข Kupunguza acid muda mfupi
โ€ข Kuzuia uzalishaji wa acid siku chache

Lakini hazitibu chanzo, ndiyo maana ukiacha tu dalili hurudi kwa haraka. .

โ€ข Tatizo la Acid / Tindikali Ya Tumbo Linatibika na Kupona Kabisa.

-๐Ÿ“ž"Wasiliana nasi kuhusu afya - Kupitia Simu Namba 0655562181 / 0769600821

ยฐAu Kuchart Nasi Moja Kwa Moja Watssapp Bofya link hapo chini ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
http://.wa.me/255655562181

- Pia Waweza Jiunga na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ https://chat.whatsapp.com/C4qdsFaTDTB7tUPplBak8Q

, & Usaidie na Wengine

19/10/2025

๐™Ž๐˜ผ๐˜ฝ๐˜ผ๐˜ฝ๐™ ๐™†๐™๐™ ( ๐™‘๐™”๐˜ผ๐™‰๐™•๐™Š ) ๐™•๐™„๐™‰๐˜ผ๐™•๐™Š ๐™Ž๐˜ผ๐˜ฝ๐˜ผ๐˜ฝ๐™„๐™Ž๐™ƒ๐˜ผ ๐˜ผ๐˜พ๐™„๐˜ฟ ๐™๐™€๐™๐™‡๐™๐™“ / ๐™‚๐™€๐™๐˜ฟ.

Call & WhatsApp +255655 562 181 , +255769600821

1. Vyakula na vinywaji fulani
Vyakula vyenye mafuta mengi

โ€ข Chokoleti
โ€ข Kahawa, chai kali, soda
โ€ข Vitunguu na pilipili
โ€ข Nyanya na vyakula vyenye asidi nyingi
โ€ข Pombe
โ€ข ladha za kuongeza kwenye mboga na baadhi ya vyakula zinazo tokana na kemikali.

2. Tabia za kula.

โ€ข Kula chakula kingi kwa mara moja
โ€ข Kulala au kuinama muda mfupi baada ya kula
โ€ข Kula usiku sana
โ€ข Kutokula kwa ratiba maalum

3. Shinikizo tumboni (abdominal pressure)
Unene/uzito kupita kiasi

โ€ข Mimba
โ€ข Nguo zinazobana sana kiunoni

4. Sababu za kitabibu Kulegea kwa LES (valve ya umio wa chini)

โ€ข Hiatal hernia (sehemu ya tumbo inapanda juu ya diaphragm)
โ€ข Maambukizi ya H. pylori au vidonda vya tumbo
โ€ข Matumizi ya dawa k**a aspirin, ibuprofen, au dawa za arthritis

5. Mtindo wa maisha.

โ€ข Uvutaji wa sigara (husababisha valve kulegea)
โ€ข Msongo wa mawazo (stress)
โ€ข Kukosa usingizi au kuchoka kupita kiasi

โ€ข Tatizo la Acid / Tindikali Ya Tumbo Linatibika na Kupona Kabisa.

-๐Ÿ“ž"Wasiliana nasi kuhusu afya - Kupitia Simu Namba 0655562181 / 0769600821

ยฐAu Kuchart Nasi Moja Kwa Moja Watssapp Bofya link hapo chini ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
http://.wa.me/255655562181

- Pia Waweza Jiunga na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ https://chat.whatsapp.com/C4qdsFaTDTB7tUPplBak8Q

, & Usaidie na Wengine

๐™†๐™’๐˜ผ ๐™‰๐™„๐™‰๐™„ ๐™ˆ๐™’๐˜ผ๐™‰๐˜ผ๐™ˆ๐™†๐™€ ๐™ƒ๐™๐™๐™Š๐™†๐˜ผ ๐˜ฟ๐˜ผ๐™ˆ๐™ ๐™๐™†๐™€๐™‰๐™„ ๐™’๐˜ผ๐™†๐˜ผ๐™๐™„ ๐™’๐˜ผ ๐™๐™€๐™‰๐˜ฟ๐™Š ๐™‡๐˜ผ ๐™‰๐™€๐™๐˜ผ? Hizi hapa ndiyo Sababu kuu za Postcoital Bleeding-Kwa kawai...
17/10/2025

๐™†๐™’๐˜ผ ๐™‰๐™„๐™‰๐™„ ๐™ˆ๐™’๐˜ผ๐™‰๐˜ผ๐™ˆ๐™†๐™€ ๐™ƒ๐™๐™๐™Š๐™†๐˜ผ ๐˜ฟ๐˜ผ๐™ˆ๐™ ๐™๐™†๐™€๐™‰๐™„ ๐™’๐˜ผ๐™†๐˜ผ๐™๐™„ ๐™’๐˜ผ ๐™๐™€๐™‰๐˜ฟ๐™Š ๐™‡๐˜ผ ๐™‰๐™€๐™๐˜ผ?

Hizi hapa ndiyo Sababu kuu za Postcoital Bleeding-

Kwa kawaida mtu mwenye hormonal imbalance anaweza kutokwa damu wakati wa tendo la ndoa (s*x) kwa sababu kadhaa zinazohusiana na mabadiliko ya homoni, hasa estrogen na progesterone.

Hapa kuna maelezo ya kina:

๐Ÿง  1. Upungufu wa homoni ya estrogen
Estrogen husaidia kuweka kuta za uke zikiwa nene, zenye unyevu na zenye elastic.

Wakati kiwango chake kimeshuka (k**a kwenye hormonal imbalance, stress, au baada ya uzazi), ukuta wa uke hukauka na kuwa mwembamba.

Hivyo, wakati wa s*x ukuta huu mwembamba huweza kupasuka kirahisi na kusababisha damu kidogo au maumivu.

๐Ÿฉธ 2. Mabadiliko ya homoni kwenye mzunguko wa hedhi.

Wakati mwingine mwili unapata mabadiliko ya ghafla ya homoni kabla au baada ya hedhi.

Hali hii inaweza kufanya mfuko wa mimba (uterus) kutoa damu kidogo wakati wa tendo la ndoa.

Kwa wanawake wenye hormonal imbalance, hii hutokea mara kwa mara bila ratiba maalum.

๐ŸŒฟ 3. Uchochezi au uvimbe kwenye shingo ya kizazi (cervix).

Homonal imbalance inaweza kufanya tishu za shingo ya kizazi kuwa nyeti na kuvimba (cervical erosion).

Shingo ya kizazi ikiguswa wakati wa s*x, damu hutoka kwa urahisi.

โš ๏ธ 4. Sababu nyingine zinazochangia ni
Maambukizi ya uke au shingo ya kizazi (yeast, PID, trichomonas, n.k.)

Fibroids au polyps kwenye kizazi.

Matumizi ya vidonge vya kupanga mimba visivyo na uwiano wa homoni.

Stress na usingizi duni, ambavyo pia huharibu uwiano wa homoni.

๐Š๐€๐‘๐ˆ๐๐” ๐๐ˆ๐Š๐”๐’A๐ƒ๐ˆ๐„ ๐๐ˆ๐†๐€ & ๐–๐‡๐€๐“๐’๐€๐๐

Callโž–text&smsโž–whatsapp๐Ÿ‘‡

โž– Ili Kupata Ushauri na Msaada Zaidi Kuhusu Matatizo Mbali Mbali Kiafya - Mawasiliano - +255655562181 au +255769600821

โž– Jiunge na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ https://chat.whatsapp.com/C4qdsFaTDTB7tUPplBak8Q

โž– SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ kisha tuandikie maoni yako au ushauri hapo chini

๐Š๐€๐‘๐ˆ๐๐” ๐€๐’๐€๐๐“๐„.

09/10/2025

*UKIWA NA DALILI HIZI UNA UGONJWA WA ACID REFLUX/TINDIKALI YA TUMBO*

(*GERD-GastroEsophagaelRefluxDesease*)

+255655562181 , +255769600821

โ€ข Ni tatizo linalotokea katika mfumo wa mmeng'enyo na kusababisha hitilafu ya chakula au maji kurudi katika koo la chakula (*Umio*) mara baada ya kuwa chakula Hiko kimeshamezwa au Ni kitendo cha kupanda kwa acid ( *tindikali* ) ya tumbo hadi kwenye Koo /Umio la chakula kwa muda mrefu na kusababisha kiungulia ( *HEARTBURN* ).

โ€ข Kiungulia hiki huanza muda mfupi baada kumaliza kula na kuisha baada ya masaa mawili.
โ€ข Pia dalili za tatizo hili kwa watoto hujionesha pale m tototo anapotapika kupita kiasi au kupaliwa mara kwa mara wakati wa kula chakula.

_*Dalili zingine ni k**a*_

โ€ข Tumbo kuunguruma na Kukosa hamu ya kula chakula na kuhisi kichefuchefu.
โ€ข Mdomo kunuka kutokana na kurudi juu kwa chakula cha tumboni chenye tindikali.
โ€ข Kupata hali ya kuunguza kwenye kifua karibu na moyo, hali inayotokea Muda Mfupi baada tu ya kula na kupata shida wakati wa kumeza chakula.
โ€ข Kucheuwa Maji Maji Yenye Tindikali Ukiwa Usingizini Hasa Baada Ya Kulala Muda Mfupi Baada Ya Kula.
โ€ข Kukohoa au kupaliwa mara kwa mara ikiambatana na kuweweseka Kwa Kukosa Pumzi.
โ€ข Mdomo kuwa mchachu muda mwingi.
โ€ขKuvimba Kwa Tezi za Shingoni K**a Vile Tonses na Goita.
โ€ข Mdomo kukauka.
โ€ข Meno kupoteza uimara na kuanza kumomonyoka kutokana na uwepo wa tindikali.
โ€ข Tumbo kujaa Gesi , Kupata Choo K**a Tope Kunakoambatana kujamba sana.
โ€ข Tumbo Kuunguruma Hasa Muda Mfupi Baaada Ya Kula.

โ€ข Tatizo la Acid / Tindikali Ya Tumbo Linatibika na Kupona Kabisa.

-๐Ÿ“ž"Wasiliana nasi kuhusu afya - Kupitia Simu Namba 0655562181 / 0769600821

ยฐAu Kuchart Nasi Moja Kwa Moja Watssapp Bofya link hapo chini ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
http://.wa.me/255655562181

- Pia Waweza Jiunga na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ https://chat.whatsapp.com/C4qdsFaTDTB7tUPplBak8Q

, & Usaidie na Wengine

UTAJUAJE K**A UNA ACID REFLUX NA  MICHUBUKO TUMBONI? - ( Gastric Ulcers). ~ +255655562181 , +255769600821 ~โ€ข Kifua kwa n...
18/09/2025

UTAJUAJE K**A UNA ACID REFLUX NA MICHUBUKO TUMBONI? - ( Gastric Ulcers).

~ +255655562181 , +255769600821 ~

โ€ข Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. โ€ข Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma k**a sindano na kuacha maumivu makali

โ€ข๐Š๐ข๐œ๐ก๐ž๐Ÿ๐ฎ๐œ๐ก๐ž๐Ÿ๐ฎ
โ€ข๐Š๐ข๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ฅ๐ข๐š
โ€ข๐“๐ฎ๐ฆ๐›๐จ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐š๐š ๐ ๐ž๐ฌ๐ข
โ€ข๐“๐ฎ๐ฆ๐›๐จ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐š๐ค๐š ๐ฆ๐จ๐ญ๐จ
โ€ข Kukosa hamu/ufanisi wa tendo la ndoa.
โ€ข Maumivu makali sehemu kilipo kidonda.
โ€ข Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika k**a cha mbuzi.
โ€ข Kutapika nyongo.
โ€ขKutapika damu au kupata choo chenye damu..
โ€ข Kukosa hamu ya kula.
โ€ข Kusahahu sahau na kupatwa na hasira bila sababu

๐Œ๐€๐ƒ๐‡๐€๐‘๐€ ๐˜๐€ ๐•๐ˆ๐ƒ๐Ž๐๐ƒ๐€ ๐•๐˜๐€ ๐“๐”๐Œ๐๐Ž, (๐๐ž๐ฉ๐ญ๐ข๐œ ๐ฎ๐ฅ๐œ๐ž๐ซ๐ฌ).

โ€ข Hali hii yaweza kusababishwa na vidonda kuenea hadi kwenye mishipa ya damu na hivyo kufanya damu kuanza kuvuja kwenye utumbo.

โ€ข Pia ๐•๐ˆ๐ƒ๐Ž๐๐ƒ๐€ ๐•๐˜๐€ ๐“๐”๐Œ๐๐Ž, (๐๐ž๐ฉ๐ญ๐ข๐œ ๐ฎ๐ฅ๐œ๐ž๐ซ๐ฌ) - huweza kusababisha tundu (kutoboka kwa ukuta wa tumbo) na kufanya vitu vilivyo ndani ya utumbo kutapakaa katika tumbo (abdomen) Hali hii huitwa peritonitis na ni hatari sana na inahitaji matibabu ya dharura.

โ€ข ๐•๐ˆ๐ƒ๐Ž๐๐ƒ๐€ ๐•๐˜๐€ ๐“๐”๐Œ๐๐Ž, vinaweza pia kuenea na kuathiri pia viungo vya jirani k**a vile ini au kongosho (pancrease).

โ€ข iwapo vidonda vya tumbo vimesababishwa na H. pylori, kuna uwezekano wa kati ya mara tatu hadi ya sita ya mgonjwa kupata kansa ya tumbo (stomach cancer).

โ€ขUSHAURI
Vidonda vya tumbo vinatibika na kupona kabisa tuna product nzuri kwa ugonjwa huu wa vidonda vya tumbo haijalishi umeumwa muda mrefu kiasi ganiโ€ข

๐Š๐€๐‘๐ˆ๐๐” ๐๐ˆ๐Š๐”๐’A๐ƒ๐ˆ๐„ ๐๐ˆ๐†๐€ & ๐–๐‡๐€๐“๐’๐€๐๐

Callโž–text&smsโž–whatsapp๐Ÿ‘‡

โž– Ili Kupata Ushauri na Msaada Zaidi Kuhusu Matatizo Mbali Mbali Kiafya - Mawasiliano - +255655562181 au +255769600821

โž– Jiunge na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ https://chat.whatsapp.com/C4qdsFaTDTB7tUPplBak8Q

โž– SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ kisha tuandikie maoni yako au ushauri hapo chini

๐Š๐€๐‘๐ˆ๐๐” ๐€๐’๐€๐๐“๐„.

_*DALILI NA MATIBABU YA UGONJWA WA TEZI DUME*_~ +255769600821 , +255655562181 ~โ€ข Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la k...
27/07/2025

_*DALILI NA MATIBABU YA UGONJWA WA TEZI DUME*_

~ +255769600821 , +255655562181 ~

โ€ข Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume analo, tezi hili lipo chini ya kibofu cha mkojo na linazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume,Jinsi umri unavyo ongezeka tezi dume nalo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida au saratani.

โ€ข Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume: (1) Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis). (2) Kukua kwa tezi dume ambalo sio saratani (Benign Prostatic Hypertrophy-BPH). (3) Saratani ya tezi dume.

_*Dalili*_

โ€ข Dalili huonekana baada ya umri wa miaka ya hamsini . Karibu wanaume wote wenye umri wa sabini na themanini huwa na tatizo hili.
โ€ข Dalili huanza polepole na kuzidi jinsi miaka inavyo ongezeka. Dalili hizi ni k**a zifuatazo:-
โ€ข Kukojoa mara nyingi hasa nyakati za usiku. Hii ni dalili ya mapema sana.
Kulazimika, mara nyingi hasa nyakati za usiku,
โ€ข Mkojo kutiririka polepole, kukatikakatika na hutumia nguvu kutoka au Mkojo kushidwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa.
โ€ข Mkojo kuendelea kutoka kidogokidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo huendelea kutoka hata baada ya kukojoa hivyo kulowesha nguo za ndani.

_*Matatizo ya tezi dume iliyotanuka*_

โ€ข Tezi dume ikitanuka sana huleta matatizo mengi kwa wagonjwa wengine hali hii isipotibiwa. Matatizo hayo ni k**a yafuatayo:
โ€ข Mkojo kushindwa kabisa kutoka na kulazimu mgonjwa awekewe kathetra ili kumimina mkojo.
โ€ข Madhara kwenye kibofu na figo .

_*Matibabu ya Tezi Dume.*_

โ€ข Matibabu ya BPH yameganyika katika sehemu mbili, yale yanayofanywa kwa kutumia dawa na yale yanayofanywa kwa kutumia upasuaji mdogo.
โ€ข Matibabu kwa Njia ya Dawa hutumika kwa lengo la kulifanya tezi dume kusinyaa na kupungua ukubwa wake.
โ€ข Upasuaji mdogo husaidia kuondoa dalili za BPH na hufanyika pale ambapo matibabu kwa njia ya dawa yameshindwa kuonesha mafanikio yeyote.

โ€ข Njia nyingine ni tiba ya kutumia mawimbi ya joto (Transurethral microwave procedures, TUMT).
โ€ข Tiba ya kutumia Joto la maji (Water-induced thermotherapy).

โ€ข Madaktari wengi hushauri kuondolewa kabisa kwa tezi dume iwapo itathibitika kuwa mgonjwa ana BPH.

_* Za Upasuaji wa Tezi dumeAina*_

โ€ข Zipo njia nyingi za upasuaji wa BPH, nazo ni pamoja na upasuaji kwa kupitia kwenye mrija wa mkojo (Transurethral surgery, TURP), upasuaji mkubwa wa wazi (Open surgery), upasuaji wa kutumia nishati kuondoa tishu za tezi dume Laser surgery), na upasuaji wa kutumia joto la fibreoptic probe kuchoma tishu za tezi dume (Interstitial laser coagulation).

_*Madhara Ya Upasuaji*_

โ€ข Kukosa uwezo wa kufikia kishindo yani hutoi shahawa (retrogade ej*******on) wazee wengi hulalamika sana baada ya hizi operation hivyo ushauri nasaha lazima utolewe ili mgonjwa ajue nini madhara yake kabla ya operation.
โ€ข Kuziba kwa njia ya mkojo kutoka na kuumia kwa njia hizo wakati wa kitendo hicho.
โ€ข Baada ya upasuaji mgonjwa anapoendelea kupona kovu linaweza kuziba njia ya mkojo.
โ€ข Shida ya kushindwa kudhibiti mkojo usitoke ovyo (Incontinence): Ni kawaida kwa mgonjwa kushindwa kudhibiti kutoka kwa mkojo katika siku za mwanzo baada ya operesheni.
โ€ข Hata hivyo hali hii hujirekebisha baada ya siku kadhaa kupita.
โ€ข Kutokwa na damu katika siku za awali mara baada ya upasuaji kupitia njia ya mkojo: Kidonda kwenye tezi dume kinaweza kuvuja damu ambayo itaonekana katika mkojo.
โ€ข Kuwa mgumba , Ni kawaida Wanaume kuwa wagumba yaani wasioweza kupata watoto. Kwa kawaida, wakati wa tendo la ngono, mbegu za kiume kutoka kwenye korodani huingia kwenye urethra karibu na kijitundu cha kibofu cha mkojo. Wakati wa tendo la ngono, misuli maalum hufunga kijitundu hicho ili kuzuia mbegu zisiingie kwenye kibofu badala yake zielekee kwenye urethra ya katika uume โ€ข โ€ข Hata hivyo, upasuaji wa tezi dume huondoa misuli hiyo na kufanya mbegu kuingia kwenye kibofu cha mkojo badala ya kuendelea kwenye urethra ya uume. Shahawa hizo hatimaye hutolewa nje ya kibofu pamoja na mkojo.

Njia Sahihi.

Matumizi ya Virutubisho yameonekana kuwa njia Sahihi na salama kutokana na uwezo wake wa kupenya ndani ya sell za tezi dume na kuziboresha hali inayofanya tezi iliyovimba kusinyaa na kurudi katika umbo lake la awali bila kuacha madhara yoyote kwa mgonjwa na kufanya aendelee kufurahia maisha k**a zamani
๐Š๐€๐‘๐ˆ๐๐” ๐๐ˆ๐Š๐”๐’A๐ƒ๐ˆ๐„ ๐๐ˆ๐†๐€ & ๐–๐‡๐€๐“๐’๐€๐๐

Callโž–text&smsโž–whatsapp๐Ÿ‘‡

โž– Ili Kupata Ushauri na Msaada Zaidi Kuhusu Matatizo Mbali Mbali Kiafya - Mawasiliano - +255655562181 au +255769600821

โž– Jiunge na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ https://chat.whatsapp.com/C4qdsFaTDTB7tUPplBak8Q

โž– SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ kisha tuandikie maoni yako au ushauri hapo chini

๐Š๐€๐‘๐ˆ๐๐” ๐€๐’๐€๐๐“๐„.

Address

Kijitontama
Dar Es Salaam
T17

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jali Afya Yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Jali Afya Yako:

Share