Community health

Community health Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Community health, Mental Health Service, Kibaha, Dar es Salaam.

Hili Group ni Kwa watu waliosoma course ya mwaka mmoja yaani Community health workers ni kwaajili ya kusaidiana, kushauliana,kupeana mishe,Michango mbali mbali,

15/07/2022

*KUTOPATA CHOO KWA MUDA MREFU AU KUPATA CHOO KIGUMU - (CONSTIPATION) - SULUHISHO

*"CONSTPATION NI NINI ?

*Tatizo hili la Constipation hupelekea Watu kupata Magonjwa Mengi na Kusababisha Vifo*

*K**a Unapata Choo Mara Moja(1) Kwa SIKU Na Unakula Mara Tatu (3) Upo Kwenye Hatari Kubwa Ya Kupata Magonjwa Yafuatayo

*~Kansa ya Utumbo
*~Uzito uliozidi
*~Bawasiri (Vinyama sehemu ya haja kubwa).
*~Maumivu ya Kiuno , Mgongo' Mabega , Kichwa , Misuli
*~Kukosa usingizi(Insomnia)
*~Kukosa hamu ya kula (Loss of appetite)
*~Tumbo kujaa gesi*
*~Vidonda vya tumbo (Ulcers)

https://wa.me/255779231494

11/07/2022

Faida ya tundra la peas

Kunakazi ya kuuza Duka la Madawa Kwa wale walio Soma Ado Mahali kiluvya kibaha
03/07/2022

Kunakazi ya kuuza Duka la Madawa Kwa wale walio Soma Ado
Mahali kiluvya kibaha

30/06/2022

Address

Kibaha
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Community health posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram