13/10/2023
NILITESEKA NA TATIZO LA MIFUPA, JOINTS NA MGONGO KWA MIAKA MINGI HADI NILIPOIJUA SIRI HII!!
Naitwa Amadi. Nina umri wa miaka 45 sasa. Naishi Masaki Dar es Salaam.
Kwa kifupi sana ni kuwa nimepitia changamoto kubwa sana ya mifupa, joints na MGONGO kwa muda mrefu.
Mwanzo haikuwa shida. Maumivu yalikuwa madogo. Hii ilikuwa ni miaka k**a 6 iliyopita.
Mwaka jana tatizo likawa kubwa mno kiasi kwamba nikawa nashindwa hata kukaa vizuri.
Nilipata ushauri na "matibabu" kadhaa hospitali lakini sikufanikiwa. Nikatafuta matibabu sehemu nyingi lakini nikawa sioni mabadiliko makubwa. Nilikuwa napata nafuu ndiyo lakini ya muda tu. Baada ya mwezi tena maumivu yanarudi.
Nikaanza kukata tamaa!
Lakini miezi michache iliyopita nikaona makala moja hapa mtandaoni ikiongelea mambo ambayo mtu mwenye changamoto ya mifupa anapaswa kuyajua. Nikaisoma na kujifunza sababu NYINGI SANA za kwa nini watu wanaendelea kuteseka na matatizo ya mifupa na joints! Sababu zingine niliona zinanihusu. Mfano kukimbilia DAWA ZA KUTULIZA MAUMIVU (pain killers) ambazo zenyewe zipo kwa ajili ya kumpa mhusika TEMPORARY RELIEF (nafuu ya muda tu) na siyo kudili na chanzo cha tatizo.
Kingine walielezea kuwa watu wengi hawazingatii vitu vidogo k**a vile kiti anachokalia ofisini kipoje, mazoezi anayofanya yapoje na ni lishe gani mhusika ale na Godoro analolalia na mito ipoje. Nk
PIA walinishauri kitu Cha muhimu Sana ambacho sikuwahi kufikiria nadhani Watu wengi wenye maradhi ya mda mrefu wanapitia hili.Waliambia kwamba unapofikia umri kuanzia miaka 35 na kuendekea waga Kuna baadhi ya seli na homoni za mwili hupunguza nguvu ya kufanya kazi vizuri hasa Kinga ya mwili.Ndo maana unakuta Watu wengi wa changamoto ya maungio na Mifupa huwa na tatizo kwa MDA mrefu licha ya kutumia dawa za kuondoa tatizo hilo.
Nilifuata ushauri wao na Kupata huduma Bora ya kuondokana na maumivu ya maungio na Mifupa pamoja na huduma ya kuimalisha seli,homoni na Kinga ya mwili kuwa imara zaidi.Pia ilinisaidia Sana sio kwa changamoto ya maungio na Mifupa tu Bali nilijikuta baadhi ya changamoto nilikuwa nazo zikapona kabisa .
Na sasa nimerejea kwenye maisha yangu vizuri zaidi kazini na nyumbani pia k**a MME WA MTU🔥🔥🔥
0685 270 490