19/08/2025
UNASUMBULIWA NA ACIDIC REFLUX? 🔴
Je, unakumbwa na kiungulia, gesi tumboni, koo kuungua au ladha chungu mdomoni? Hii inaweza kuwa Acidic Reflux (GERD) – hali inayotokea pale tindikali ya tumbo inapopanda juu kwenye umio.
✅ Dalili za Acidic Reflux:-
✔️Maumivu kwenye koo
✔️Kuwa Na Kikohozi kikavu
✔️Kupata badiliko la sauti
✔️Kuhisi kuungua (Moto) kweny koo
✔️Kubeua Kila wakati
✔ Kiungulia mara kwa mara
✔ Maumivu ya kifua na koo kuungua
✔ Gesi na kujaa tumboni
✔ Ladha chungu au chachu mdomoni
✔ Kukosa usingizi kutokana na kiungulia
💡 Suluhisho?
✔ Epuka vyakula vyenye mafuta mengi na viungo vikali
✔ Kula mlo mdogo mara nyingi badala ya milo mikubwa
✔ Epuka kulala mara moja baada ya kula
✔ Tumia matibabu sahihi kupunguza tindikali
⚕ Unahitaji msaada wa kitaalamu? Wasiliana nasi kwa ushauri wa bure na upate suluhisho sahihi kwa afya yako!
📞 Piga simu / WhatsApp: 0658 579 122
👉 Afya yako ni kipaumbele chetu!