Munna_Clinic

Munna_Clinic Tunatoa Suluhisho Dhidi ya Magonjwa ya uzazi na Bawasiri.

JE,NI SWALI GANI NI CHANGAMOTO KWAKO?01:Mzunguko wako maalumu wa Hedhi ni wa siku ngapi?02:Je, Unafahamu kwa ufasaha Sik...
23/12/2022

JE,NI SWALI GANI NI CHANGAMOTO KWAKO?

01:Mzunguko wako maalumu wa Hedhi ni wa siku ngapi?
02:Je, Unafahamu kwa ufasaha Siku zako za hatari?

NIAMBIE KUPITIA WHATSAPP :0718341181. nitakupa ufumbuzi wa swali lako

Nimepokea CASE nyingi za Ugumba kutoka kwa wanawake.... Na nimebaini, ni wengi imetokana na Kuugua PID,PID ni Maambukizi...
22/12/2022

Nimepokea CASE nyingi za Ugumba kutoka kwa wanawake....

Na nimebaini, ni wengi imetokana na Kuugua PID,

PID ni Maambukizi hatari katika via vya uzazi

Na Ni Rahisi kugundua Una PID, mara Baada ya kuona Dalili zifuatazo :

1️⃣Miwasho na Harufu Mbaya ukeni
2️⃣Maumivu/kutokwa na Damu wakati tendo la ndoa
3️⃣Maumivu ya kiuno na Mgongo, unapoingia PERIOD
4️⃣Homa, wakati mwingine na baridi
5️⃣Kupata maumivu wakati wa kukojoa pia kukojoa mara kwa mara
6️⃣Uchafu ukeni

PID ni ugonjwa unaoleta Adhari kubwa Kadri unapochelewa kuutibu

PID inasababisha mirija ya uzazi kuziba, Mvurugiko wa Homoni, Kizazi kujaa maji maji, uvimbe kwenye mayai (ovarian cyst), UGUMBA pia PID ya muda mrefu inapelekea SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

Sasa, PID inatibika,

Unachangamoto ya PID, unahitaji Kushika Mimba au una changamoto yeyote ya uzazi Tumia Fursa hii kupata Huduma kupitia namba Tajwa Hapo chini

Whatsapp /piga :0718341181

Kawaida Wakati wa Hedhi, ukuta wako wa  mji wa mimba (UTERUS) Unatoa Ute muhimu wenye kemikaliKazi kubwa ya huu UTE ni k...
22/12/2022

Kawaida Wakati wa Hedhi, ukuta wako wa mji wa mimba (UTERUS) Unatoa Ute muhimu wenye kemikali

Kazi kubwa ya huu UTE ni kuzuia Damu kuganda pamoja kuzuia Uharibifu katika ukuta wa mji wa mimba (UTERUS)

Unapoona Damu ya Mabonge, ina maana Damu inayotoka kwa kasi na nyingi kutoka ukuta wa mimba imezidi huu UTE wa kuzuia Damu kuganda,

SABABU zifuatazo ndizo vyanzo vina kusababisha utokwe na DAMU YA MABONGE.

01: Uvimbe Kwenye Kizazi
02:Matumizi Ya Njia za kisasa uzazi wa Mpango
03:Mambukizi katika Via vya uzazi (P. I. D)
04:Mimba Kuporomoka

Iwapo unapata Hedhi yenye ya Mabonge ya Damu, unahatarisha zaidi afya yako ya kizazi utapo kuwa kimya

Tumia namba zifuatazo kwa ajili ya kupata MATIBABU, whatsapp/kupiga :0718341181

UTI inayojirudi mara kwa mara, ni vema uchukue hatua za kujikinga pia upate Tiba sahihi ya UTI sugu.Ni wewe unahitaji ku...
21/12/2022

UTI inayojirudi mara kwa mara, ni vema uchukue hatua za kujikinga pia upate Tiba sahihi ya UTI sugu.

Ni wewe unahitaji kuondokana na UTI sugu, Tuma ujumbe Kupitia Whatsapp 0718341181.

Ukweli au Hadithi?Lazima umesikia kutoka kwa mzee katika familia, au hata rafiki mwenye nia njema, kwamba kukata nywele ...
20/12/2022

Ukweli au Hadithi?

Lazima umesikia kutoka kwa mzee katika familia, au hata rafiki mwenye nia njema, kwamba kukata nywele zako wakati wa ujauzito ni kukataza kabisa.

Wengine hata watakuambia kuwa mtoto wako anaweza kuwa na uoni hafifu ikiwa utakata nywele zako wakati wa ujauzito. Ukweli ni kwamba wakati mtoto anazaliwa, inachukua muda kwa uwezo wao kamili wa kuona kukua.
.
Kukata nywele kwako hakika hakuna uhusiano wowote nayo.
.
Hakika kuna imani potofu nyingi zinazozunguka mazoea tofauti wakati wa ujauzito. Lakini sasa, kwa upatikanaji wa habari, unaweza kukataa kwa usalama hadithi ya kutopata kukata nywele wakati wa ujauzito na imani nyingine k**a hizo.
.

Kidokezo cha Afya - BAWASIRI(kinyama Haja Kubwa) Bawasiri ni ugonjwa unaohitaji umakini wa ziada wa mtu binafsi kuepukan...
19/12/2022

Kidokezo cha Afya - BAWASIRI(kinyama Haja Kubwa)

Bawasiri ni ugonjwa unaohitaji umakini wa ziada wa mtu binafsi kuepukana Nao

Haya ni Mambo 05, ukiwa na mazoea ya kuyarudia mara kwa mara, unaongeza nafasi ya kupata Bawasiri

1️⃣Unywaji wa maji usiotosha
2️⃣Kuwa na uzito kupita kiasi
3️⃣Kunyanyua vitu vizito mara kwa mara
4️⃣Kukaa kwa muda mrefu
5️⃣ Kutokula nmatunda na mbogamboga,
Kula vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi k**a vile nafaka zisizokobolewa, tufaha, maharagwe, karanga na mbaazi za kijani kunaweza kusaidia kuzuia Bawasiri .

NB:Kumbuka kuwa na glasi sita hadi nane za maji kwa siku ili kupunguza maumivu kutokana na Bawasiri

Tunatibu Bawasiri kwa dawa ya kupaka na vidonge kwa pamoja, hii ni kwa ajili yako, na ni SALAMA NA UHAKIKA

Kwa Huduma zaidi :Piga/Whatsapp :0625904079

Kuwa na afya, kuwa na furaha! 😊☺️

Unaweza kuendelea kufanya kazi hadi utakapojifungua kulingana na aina ya kazi yako;  hata hivyo, ikiwa una kazi ngumu ki...
19/12/2022

Unaweza kuendelea kufanya kazi hadi utakapojifungua kulingana na aina ya kazi yako; hata hivyo, ikiwa una kazi ngumu kimwili au una matatizo ya ujauzito, daktari wako anaweza kukushauri vikomo fulani kwa ajili yako na mtoto wako ambaye hajazaliwa.

Pia ni muhimu kushiriki mifadhaiko yoyote ya kihisia unayokutana nayo kazini na daktari wako, ambaye anaweza kukushauri iwapo utayaepuka au kugundua njia nyingine za kukabiliana nayo.

Natumai hii imekusaidia!

UTE WA OVULATIONUte special kabisa unazalishwa siku za hatari Tu,haswa Siku ya upevushaji wa yai.Unazalishwa kutoka kwen...
17/12/2022

UTE WA OVULATION

Ute special kabisa unazalishwa siku za hatari Tu,haswa Siku ya upevushaji wa yai.

Unazalishwa kutoka kwenye Shingo ya kizazi(mlango wa kizazi) yaan cervix

unakuwa na sifa Hizi;

-Unateleza
-unavutika Sanaaa yaan unatanuka
-una muonekano kabisaaa k**a Ule ute mweupe Wa Yai

Huwa una PORES,vishimo special kabisaaa kupitishia mbegu za mwanaume.

Ni RAHISI kushika Mimba pindi unapata huu ute

Pindi unatokwa na uchafu ukeni, Una mvurugiko wa siku za hedhi, SI RAHISI ukapata huu ute

UNAKOSA Ute muhimu wa uzazi, tumia namba Tajwa Hapo chini utapata SULUHISHO

Kwa kutuma ujumbe Kupitia Whatsapp :0718341181

Kinyama Haja kubwa kinachotoka, na kurudi chenyewe ndani, au ukarudisha ndani na mkono hii ni BAWASIRI YA NDANIMuda unav...
16/12/2022

Kinyama Haja kubwa kinachotoka, na kurudi chenyewe ndani, au ukarudisha ndani na mkono hii ni BAWASIRI YA NDANI

Muda unavyosogea BILA kupata matibabu, Kinyama kinakua na kujitokeza Nje ya Tundu la haja kubwa, na sasa unaweza ukakishika na ukakiona, hii ni BAWASIRI YA NJE

Bawasiri ya nje inatabia ya kuleta Miwasho, Maumivu pia kuvuja Damu wakati wa kujisaidia

Pia Bawasiri ya nje inaongezeka na kuleta vinyama nje Kadri Unavyochelewa kupata MATIBABU.

Fursa ya kupona mapema Bawasiri ni kuchukua hatua za kitabibu mapema kutibu BAWASIRI

Unahitaji Kupata Ushauri & Tiba sahihi dhidi ya Bawasiri....

Tuma Ujumbe mfupi Kupitia Whatsapp /kupiga Moja kwa moja Kupitia 0625904079

Mimba kutunga Nje ya kizazi ina maana, yai la k**e linalorutubishwa, linajishikiza nje na mfuko wa kizazi (UTERUS)Kitend...
15/12/2022

Mimba kutunga Nje ya kizazi ina maana, yai la k**e linalorutubishwa, linajishikiza nje na mfuko wa kizazi (UTERUS)

Kitendo hiki kinasababishwa na mirija ya uzazi kuharibika na kuvimba au ina umbo lisilofaa,
Sababu nyingine ni ukuaji usio wa kawaida wa yai lililorutubishwa PIA kuwa na Maambukizi ya PID.

Mimba inapotunga nje ya kizazi inatokea katika mirija ya uzazi au sehemu ya chini ya uterasi (cervix), ambayo inaunganishwa na uke.

Awali utaona Damu kidogo inatoka ukeni na unapata maumivu ya nyonga pia utahisi Maumivu ya mabega......

Hali ya Hatari inaongezeka pindi mimba inapozidi kukua katika mirija ya uzazi, KWASABABU...

inapelekea Mirija ya uzazi kupasuka, kuvuja damu kwa wingi ndani ya tumbo pia kupata hali ya kuzimia na mshtuko

Una Historia, mimba kutunga nje ya kizazi au Una maambukizi ya muda mrefu ya PID, Tutakusaidia

Tuma Ujumbe Kupitia Whatsapp /Piga moja kwa moja :0718341181

Tatizo la UGUMBA na Mimba Kuharibika limekuwa linaongezeka zaidiHali inayotia Hofu, huzuni pia kufedheka kwa mwanamke ka...
14/12/2022

Tatizo la UGUMBA na Mimba Kuharibika limekuwa linaongezeka zaidi

Hali inayotia Hofu, huzuni pia kufedheka kwa mwanamke katika MAHUSIANO ...

Na cha kusikitisha, baadhi yao Tayari wamepambana kutumia Dawa tofauti Tofauti bila MAFANIKIO...

Miongoni mwa sababu (05) Hapo chini, ndizo zinasababisha USHINDWE kubeba mimba kwa wakati........

1️⃣Uwepo wa kasoro kwenye upevushaji wa mayai (40% ya wanawake)

2️⃣UHARIBIFU /KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI
unaosababishwa na maambukizi ya PID au Makovu labda kutokana na utoaji mimba katika njia zisizosalama

3️⃣UVIMBE kwenye kizazi :Dalili ni Maumivu chini ya Tumbo, kutokwa Damu nyingi, maumivu wakati wa tendo la ndoa, maumivu Ya mgongo na miguu, kukojoa mara kwa mara

4️⃣PID :Dalili za PID ni uchafu ukeni, maumivu ya tumbo Unapokaribia hedhi, Homa, Maumivu /kutokwa na Damu wakati wa tendo la ndoa, pia Kutokwa na Harufu mbaya ukeni.

5️⃣MVURUGIKO WA HOMONI :Homoni maalumu zinazosaidia Ushike UJAUZITO, zinapovurugika, upevushaji wa mayai huwa ni NADRA kutokea au Kutotokea kabisa.

6️⃣UMRI :Umri Mkubwa wa miaka 45 na kuendelea nafasi ya kushika mimba ni nadra sana kutokea

Ni KWELI hutafikia SULUHISHO(kushika ujauzito) iwapo hutopata matibabu sahihi 😔

ILA una nafasi Bado ya kubeba Mimba,

Kupata SULUHISHO rahisi tuwasiliane kupitia whatsapp/piga 0718341181 TUTAKUSAIDIA.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 21:00
Tuesday 08:00 - 21:00
Wednesday 08:00 - 21:00
Thursday 08:00 - 21:00
Friday 08:00 - 21:00
Saturday 08:00 - 21:00
Sunday 08:00 - 21:00

Telephone

+255718341181

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Munna_Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share