05/01/2020
JE UNAFAHAMU KUHUSU JIPU LA JINO ( DENTAL ABSCESS)
DENTAL ABSCESS; ni kuwepo kwa usaa kwenye jino ama sehemu zinazo zunguka jino
SABABU ZA KUTOKEA KWA JIPU LA JINO
1maambukizi kwenye jino
2 kung'oa gego la tatu na kutokea inflation
3 kuingia kwa maambukizi baada yakung'oa jino
4.kuingiza bacteria wakati wa kuchoma sindano ya ganzi
Itaendelea....... Je itajuaje hili ni jipu la jino
Je unajua madhara ya jipu la jino
TUFUATILIE
Instagram
Facebook # afya jamii
WhatsApp 0621915576 0713949408
6 January 2020.
By Dr S.A nyarigo.