05/09/2023
✨Ugonjwa wa ge***al Warts ni hali ya kuota vinyama kwenye ngozi au utando laini unaozunguka maeneo ya sehemu za siri, vinyama hivyo Vinaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa mkojo (urethra), v***a, shingo ya kizazi (cervix), au maeneo ya kuzunguka njia ya haja kubwa au ndani yake, ni ugonjwa unaoenezwa kwa njia ya kujamiiana.Ugonjwa huu pia hujulikana kwa kitaalamu k**a “Condyloma acuminatum.”
👉Ugonjwa huu husambazwa kwa mgusano wa ngozi kwa ngozi hasa wakati wa ngono, japo migusano mingine ya maeneo athirika isiyohusisha ngono inaweza pia kuwa chanzo cha kusambaa kwake.
👉Virusi wanaosababisha ugonjwa huu huwa na uhusiano wa moja kwa moja na kutokea kwa saratani ya mlango wa kizazi, saratani ya koo, uke, uume pamoja na saratani ya njia ya haja kubwa, hivyo ni vyema wagonjwa wakatibiwa haraka na kwa usahihi ili kuepusha changamoto hizi.
👉Mara baada ya kuambukizwa, ugonjwa huu huweza kuchukua mpaka muda wa wiki sita hadi miezi 6 kwa masundosundo kuwa dhahiri, ingawa baadhi ya wagonjwa wanaweza kukaa hata miaka kadhaa bila kuwa na dalili yeyote ile.
✨Tabia Hatarishi Zinazoweza Kupelekea Kupata Ugonjwa Wa Ge***al Warts:
Zifuatazo ni tabia hatarishi zinazomuweka mtu katika hatari ya kupata ugonjwa wa ge***al warts ambazo ni pamoja na;
1) Kuwa Na Wapenzi Wengi.
🔥Ikiwa una wapenzi wengi (multiple sexual partners) na hautumii kinga (condom) wakati wa kushiriki ngono basi unajiweka katika hatari ya kupata ugonjwa wa ge***al warts.
2) Kufanya Ngono Isiyo Salama Na Mwathirika Wa Hpv.
🔥Ikiwa unashiriki ngono isiyo salama na mtu aliyeathirika na virusi wa Hpv basi unajiweka katika hatari kubwa ya kupata ugonjwa wa ge***al warts. Pia kufanya ngono kwa kutumia mdomo inakuweka katika hatari ya kupata warts au kuota vinyama sehemu za mdomo.
3) Ngono katika umri mdogo.
🔥Watu wanaoanza ngono mapema wapo kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata ge***al warts kutokana na kinga za mwili kua chini sana.
4) Matumizi Makubwa Ya Sigara Na Pombe.
🔥Tafiti zinaonesha kwamba watu wenye matumzi makubwa ya pombe na sigara wanajiweka katika hatari ya kupata ugonjwa wa ge***al warts.
5) Upungufu wa kinga mwilini (immunosuppression)
MATIBABU
👉wasilliana nasi 👇
📲🗨 0674 624 000
Follow 👉
🙏🙏🙏