06/01/2026
DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUPANDA KWA ACID KWENYE KOO LA CHAKULA
[ ACID REFLUX-GERD ]
zungu
●Tandika-Dar es salaam
0688 638 481
__________________
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️
1.🔗 Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🔗 Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🔗 Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🔗Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🔗Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🔗Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🔗 Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🔗 Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🔗Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🔗 Kupata kikokozi kisichoisha
11.🔗 Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.🔗Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🔗Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🔗 Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🔗 Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🔗 Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🔗Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🔗 Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🔗 Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🔗Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🔗 Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🔗Kichefuchefu na kutapika.
23.🔗 Miwasho ya ngozi mwilini
24.🔗Masikio kupiga kelele/kuwa mazito.
25.🔗 Baadhi ya viungo vya mwili kutetemeka/kucheza mfano vidole na chini ya macho.
26.🔗 Mdomo kuwa mchungu/Mchachu
27.🔗 Presha kupanda mara kwa mara ikiambatana na dalili zingine za Acid reflux.
zungu
AJAM HERBAL CLINIC
TANDIKA -DAR ES SALAAM
---------------------------------------------------------