
23/01/2024
Tezi dume ni nini?
Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji meupe mepesi yenye unato kidogo(manii). Majimaji haya husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi wakati wa tendo la ndoa
IPO WAPI?
Tezi dume iko kwenye shingo ya kibofu cha mkojo, inauzunguka mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na na mrija wa mkojo wa uume (urethra) na iko mbele kidogo ya utumbo mpana ndani ya fupa la nyonga.
DALILI ZA KUVIMBA TEZI DUME
✍️ Udhaifu katika utoaji wa mkojo, mkojo hauishi.
✍️ Kwenda kukojoa mara kwa mara.
✍️ Kukojoa mkojo uliochanganyika na damu.
Damu kwenye mkojo nakushindwa kumaliza mkojo ni ishara tosha ya kuwa tezi dume imeathirika.
✍️ Kushindwa kukojoa.
Udhaifu katika utoaji wa mkojo pia kunaweza kutokea kwa kuvimba kwa tezi dume bila ya saratani.
✍️ Maumivu ya kiuno na mifupa ya nyonga.
Wagonjwa wengi huanza maumivu ya nyonga k**a ni dalili za awali.
VIPIMO vya TEZI DUME
✍️ kuna vipimo vya aina tatu kufanya uchunguzi wa Tezi dume
1️⃣. Kipimo cha damu.
Hiki ni kipimo kinachopimwa kwa njia ya damu, kipimo hiki kinahusisha upimaji wa kiwango cha protein inayoitwa “prostate specific antigen”(PSA) protein hii ikizidi basi mgonjwa tezi yake imevimba.
2️⃣ kipimo cha Ultrasound
Hiki kipimo kinasaidia kujua tezi limetanuka kwa kiwango gani . Uzito wa tezi dume la kawaida ni 20-25gm ikizidi hapo ni tatizo, lakin tutaona upana wake ambao uhalisia ni 4cm na urefu 3cm ikizidi hapo huyo mgonjwa anagundulika ana BPH( Benign Prostatis Hyperlasia)
3️⃣ CT Scan au MRI
Hiki ni kipimo kikubwa na kinatumika mara nyingi mgonjwa akishapata changamoto ya tezi dume kwa muda mrefu kuhakikisha k**a hana vimelea vya saratani.
NINI TIBA YA TEZI DUME!?
1. Upasuaji
2. Virutubisho.
Hizo ndio njia pekee za kutatua changamoto ya Tezi dume.
✍️ Kitaalamu hatushauri mwanaume kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume maana madhara yake ni makubwa na ni hatarishi kwa afya ya mwanaume k**a nitakavyoonesha hapa chini👇👇
Channgamoto za UPASUAJI WA TEZI DUME
1. Baada ya upasuaji, mwanaume atashindwa kuzuia mkojo kutoka hivo kutembea huku ananuka mkojo. Ni aibu kwakweli.
2. Uwezekano mkubwa wa mwanaume Kupoteza nguvu za kiume.
3. Kuvaa pampasi kwa muda usiopungua miezi 6
4. Mwanaume aliyefanyiwa upasuaji hataweza kushiriki tendo la ndoa na mke wake kwa muda usio pungua miezi 6.
5 asilimia 80 za tezi dume kuvimba tena na kumuumiza mgonjwa zaidi ya mara ya kwanza.
6. Hatari zaidi ni huyu mgonjwa kuwa na uwezekano wa kupata vimelea vya saratani ya tezi dume kwa urahisi sana.
PIGA AU TUMA UJUMBE: +255 0676 326 502